Alama mpya za ufaulu zapingwa

Alama mpya za ufaulu zapingwa

Hakuna new ideas alizoleta Mchome. What is new about those failure classes?

Naamini hata Mchome anajua hili ni changa la macho, lakini amekubali kufurahisha magamba wanaompa kula.

Huu ni usanii tu kutoka serikali ya kisanii.
 
Dawa ya kufeli ni kupunguza viwango? hii ni kali, Hongera professor Mchome kwa kushusha thamani ya elimu yetu
 
.
African wake up! Kila jambo linaloanzishwa mna kazi yakutafuta reference kwa wenzenu na ndio maana hadi bungeni kila kitu unasikia Ooh wenzetu wa ulaya wanafanya hivi, mara wenzetu hawafanyi hivi.!

No need to reinvent the wheel chifu.

Kama wenzetu wana ideas nzuri kwanini tusizikopi kwa manufaa ya taifa letu.

China, Japan, S. Korea etc. hawaku reivent the wheel, walichofanya ni kukopi some ideas na kuzimould ili kufit mazingira ya nchi hizo.

Mbona hujalalama hiyo Big Results Now kuwa copied kutoka Asia?!? Mnacopy bila kumould hizo ideas zifit mazingira ya TZ!!! Matokeo yake ndiyo hayo sasa.

Better Resign Now

sasa kwa tz imefikia hatua hadi kutoa reference hata kwa nchi za wa Africa wenzetu ambao baadhi ya idea zao hawakukopi/copy kwa mtu.

Unaongea nini arifu? Mbona hulalami kwa bunge letu kuendelea kutumia mfumo wa Commonwealth? Kwa sheria zetu kuwa za mfumo wa Commonwealth?

Hivi kama ZA wanafanya vizuri, TZ ikikopi kutakuwa na ubaya? Unataka kukomaa kuivent ideas ambazo hazina maana!!?

.Nina imani idea ya Prof: Mchome ingekuwa imeanzishwa na wazungu nakuleta manufaa basi ingechukuliwa kama reference kwetu.

Ndiyo maana idea kama hiyo haijaanzishwa na mzungu! Idea kama hiyo haiwezi kuleta manufaa mahala popote hata kwa miaka 1,000!!!

Tukubali new ideas ndio tutakwenda mbele, otherwise tukiendelea hivi hatutafika na tutaendelea kuwa wa mwisho siku zote.

Huwezi kukubali tu kitu eti kwa kuwa kinaitwa new idea!! Itategemea na idea hiyo imetengezwa kwa misingi na malengo gani!!

Idea ya kupunguza alama za ufaulu na kuita daraja ziro kama 'ufaulu usioridhisha' ndiyo unataka tuikubali?!?

.TEMBO WANAKWISHA TZ SABABU YA RIGIDITY OF STAKEHOLDERS,. LOOK" HON KAGASHEK HAS INTRODUSED AN IDEA LEAD AN OPERATION TOKOMEZA UJANGILI , BUT THE PARLIAMENT HAVE INTERVENED. So ukiangalia kwa undani zaidi utagundua kuwa ni regidity.

Kwa hiyo hata kama watu wasio 'majangili' wakiwa harassed na kuuliwa unataka tukubali tu?!?

Operesheni tokomeza ujangili ingefanyika pale wizarani! Ndipo penye majangili! Kagasheki mwenyewe alikiri hivyo mbele ya waandishi wa habari!

Sasa kwenda kuonea wanyonge ndio nini?

Hivi mwananchi wa Ikoma akiua tembo kwa ajili ya pembe, unaamini yeye ndiye anayepeleka pembe hizo Thailand? Zinapita wapi hadi kufika Thailand? Yeye atapata wapi uwezo wa kuwa na mtandao mkubwa wa kusafirisha pembe hizo hadi Thailand?

Majangili wapo wizarani, halmashauri na bandarini. Kagasheki anajua hilo, lakini anaonea wanyonge!!

My fellow tz let join hands with those who dare.

It depends on what do those people dare for!! If they dare to *** our system, then we can't join hands with them!

I would advise you to join hands with those who dare to crash and change the corrupt and failed system!
 
nadhani seriksali imetumia busara. imepunguza mujukumu kwa mwanafunzi nakwa mwalimu pia!
kinachotakiwa ni watu kuelewa vijana wa sasa hivi nitofauti na miaka yanyuma
kunahitaji mabadiliko kuwa handle
 
Hii thread ni ya maana sana kwa mustakabali wa nchi yetu na ni kipimo muhimu sana cha kushindwa kwa concept ya big resul now lakini wana JF wao maisha yao ni kuandika kuhusu chadema na viongozi wake matokeo yake tunashindwa kuwa magreat thinkers wa kubadirisha mifumo mibovu ya maendeleo kwenye nchi yetu
 
Lakini wadau walishirikishwa. wakuu wa shule binafsi, viongozi wa vyuo vikuu binafsi na umma. Mabaraza ya ushauri vyuo vikuu.Tassisi ya Elimu nk.
40% CA ikisimamiwa vizuri mfumo huu ni mzuri.
Nadhani wewe ndio ulishirikishwa! Sisi tuko vyuoni huku, lakini nwz tunazipata magazetini!
 
.

African wake up! Kila jambo linaloanzishwa mna kazi yakutafuta reference kwa wenzenu na ndio maana hadi bungeni kila kitu unasikia Ooh wenzetu wa ulaya wanafanya hivi, mara wenzetu hawafanyi hivi.! sasa kwa tz imefikia hatua hadi kutoa reference hata kwa nchi za wa Africa wenzetu ambao baadhi ya idea zao hawakukopi/copy kwa mtu. Nina imani idea ya Prof: Mchome ingekuwa imeanzishwa na wazungu nakuleta manufaa basi ingechukuliwa kama reference kwetu. Tukubali new ideas ndio tutakwenda mbele, otherwise tukiendelea hivi hatutafika na tutaendelea kuwa wa mwisho siku zote. TEMBO WANAKWISHA TZ SABABU YA RIGIDITY OF STAKEHOLDERS,. LOOK" HON KAGASHEK HAS INTRODUSED AN IDEA LEAD AN OPERATION TOKOMEZA UJANGILI , BUT THE PARLIAMENT HAVE INTERVENED. So ukiangalia kwa undani zaidi utagundua kuwa ni regidity. My fellow tz let join hands with those who dare.

The daring should aim at the improvement of process and mechanism not the observables!!!!!!!
Kama kuamka ndio huku basi aliyelala yuko makini kuliko aliyeko macho!!!!!!
 
huyo sifuni mchome ni product ya udsm, kasoma degree and masters hapo hapo (law) akaenda marekani for phd. Na amewahi kuwa dean hapo kitivoni udsm.

Jamaa ana akili sema watz hawataki mabadiliko which is th big problem now. Kama mabadiliko yana facts za kisayansi lazma tuyakubali hayo mabadiliko.
yaani unapongeza hii kitu? Unawezaje kufananisha mfumo wa grading wa vyuo na sekondari? Hivi tunaelekea wapi? Siasa za wazi kiasi hiki hata huelewi? Pole sana!
 
Huyo Sifuni mchome ni product ya UDSM, kasoma degree and masters hapo hapo (law) akaenda marekani for phD. Na amewahi kuwa dean hapo kitivoni udsm.

Jamaa ana akili sema watz hawataki mabadiliko which is th big problem now. Kama mabadiliko yana facts za kisayansi lazma tuyakubali hayo mabadiliko.

shida sio una vyeti vingapi, shida ni kuwa unatumiaje elimu yako kulikomboa taifa lako. hizo pass hazina tija yoyote kwa taifa
 
nadhani seriksali imetumia busara. imepunguza mujukumu kwa mwanafunzi nakwa mwalimu pia!
kinachotakiwa ni watu kuelewa vijana wa sasa hivi nitofauti na miaka yanyuma
kunahitaji mabadiliko kuwa handle

Hamna busara katika hili ni siasa au kukurupuka!!!!Semeni ukweli ili wakipita huku wajue nini tunafikiria sio kila jambo ku praise tu waungwana!!!!

Kuna siku walimu wamelalamika juu ya majukumu yao????!!!! Wanayolalamikia hyafanyiwi kazi ila haya ya kubuni sio???!!!!

Vijana wanabadilika yes and so should the system; sio assessment tu wakati process ina cease!!!!!

Hilo halina tija!!!
 
Naomba mnisaidie kujua zaidi wana jf,hivi wamebadilisha mitaa ya elimu au nn kimefanyika?,maana naona comments hapo juu ya Jesca Charles kuwa itamsaidia kwa kuwa wamebadilisha mitaala.Ila watanzania wenzangu kitu ujinga ni janga kubwa sana,mimi nasomesha watoto,mmoja kamaliza mwaka jana secondary,mwingine anaanza mwaka kesho form I, i feel the pains of this unrealistic decision by government.

Inauma mkuu ndio maana tupo hapa kuwaeleza ukweli maana wamo humu wamejifunika!!!!

Hili gari linahitaji overhaul wao wanafunga mufler mpya!!!!!
 
Kwa hiyo nchi za wenzetu wana classification za kuongeza ukubwa wa goal post kama yetu?

Angalia za High Schools US

A----90-100%

B----80-89%

C----70-79%

D----60-69% (still a pass)

F----0-59% (failure)

US pia wana mfumo tofauti kwa honour students; siyo kama Tanzania inavyofanya. Hounour students grading zao ni:

A----93-100%

B----85-92%

C----77-84%

D----70-76%

F----69% and below

Ukitafuta GPA kwa US

A----4

B----3

C----2

D----1

F----0

Ingawa shule nyingine uongeza .33 kwa grade iliyo ya juu na kutoa .33 kwa grade ya chini.

Cheki grading za Scotland kwa sekondari

A----70% and above (excellent)

B----60-69% (very good)

C----50-59% (improvement needed)

D---45-49% (close fail)

F----below 45% (fail/no award)

Cheki za England kwa A-level

A----80% and above

B----70-79%

C----60-69%

D----50-59%

F----below 49%

Hizi ni za bondeni

A----80% and above

B----70-79%

C----60-69%

D----50-59%

E----40-49%

F----35-39%

FF---- 30 - 34%

G----20 - 29%

H----10 - 19%

I----0 - 9%

Lakini kuanzia E hadi I ni mbwembwe tu kwani wameweka madaraja ya ufaulu kwa mitihani ya mwisho ni:

Normal pass----50-59%

Pass with merit----60-79%

Distinction----80% and above

Sasa fananisha na uharo ulioletwa na wizara iliyochini ya wasomi (Dr. Kawambwa, Prof. Mchome, Prof. Temu, Prof. Balalusesa, Prof. Mbenda)

Uzuri ni kwamba huwezi kuwa na kisingizio cha kufeli Ulaya,hakuna wizi wa mitihani hivyo ukifaulu we ni kichwa kweli,hakuna mitihani ya 'kishenzi'ya kupima kukariri bali ya kupima uelewa.Hakuna walimu wenye vinyongo na hasira za kipuuzi.Hata wakiweka hizo grade wako sahihi.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Naunga mkono hoja. Nimeshindwa kumwelewa Mulugo anapotetea hivyo viwango eti hawajashusha lakini wameondoa tu mlundikano. Kama D ilikuwa inaanzia 35, je kuifanya ianzie 20 siyo kushusha viwango? Kama C ilikuwa inaanzia 50, je kuifanya ianzie 40 siyo kushusha viwango? Kama A ilikuwa inaanzia 81 kuifanya ianzie 75 siyo kushusha viwango? Kwa mujibu wa matokeo ya majaribio ya mfumo huo, kama yangetumika kwa matokeo ya K4 mwaka 2012 ufaulu ungekuwa 93%. Sasa kama bila kufanya mtihani mwingine wizara inaweza kucheza na viwango vya ufaulu na ukapanda toka asilimia 43 hadi 93, je huko siyo kushusha viwango vya ufaulu? Ona jedwali la majaribio[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD]
[TABLE="width: 795"]
[TR]
[TD]AINA YA WATAHINIWA
[/TD]
[TD]MWAKA
[/TD]
[TD]DARAJA
[/TD]
[TD]ME
[/TD]
[TD]%
[/TD]
[TD]KE
[/TD]
[TD]%
[/TD]
[TD]WOTE
[/TD]
[TD]% YA WOTE
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]S
[/TD]
[TD]2012
[/TD]
[TD]I
[/TD]
[TD]6,148
[/TD]
[TD]3.01
[/TD]
[TD]2859
[/TD]
[TD]1.7
[/TD]
[TD]9,007
[/TD]
[TD]2.42
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]S
[/TD]
[TD]2012
[/TD]
[TD]II
[/TD]
[TD]17,617
[/TD]
[TD]8.63
[/TD]
[TD]7940
[/TD]
[TD]4.73
[/TD]
[TD]25,557
[/TD]
[TD]6.87
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]S
[/TD]
[TD]2012
[/TD]
[TD]III
[/TD]
[TD]35,678
[/TD]
[TD]17.48
[/TD]
[TD]19920
[/TD]
[TD]11.87
[/TD]
[TD]55,598
[/TD]
[TD]14.95
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]S
[/TD]
[TD]2012
[/TD]
[TD]I - III
[/TD]
[TD]59,443
[/TD]
[TD]29.12
[/TD]
[TD]30719
[/TD]
[TD]18.3
[/TD]
[TD]90,162
[/TD]
[TD]24.24
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]S
[/TD]
[TD]2012
[/TD]
[TD]IV
[/TD]
[TD]132,687
[/TD]
[TD]65.01
[/TD]
[TD]125782
[/TD]
[TD]74.95
[/TD]
[TD]258,469
[/TD]
[TD]69.5
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]S
[/TD]
[TD]2012
[/TD]
[TD]I - IV
[/TD]
[TD]192,130
[/TD]
[TD]94.13
[/TD]
[TD]156501
[/TD]
[TD]93.25
[/TD]
[TD]348,631
[/TD]
[TD]93.74
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]S
[/TD]
[TD]2012
[/TD]
[TD][/TD]
[TD]11,962
[/TD]
[TD]5.86
[/TD]
[TD]11323
[/TD]
[TD]6.75
[/TD]
[TD]23,285
[/TD]
[TD]6.26
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Analysis ya Wizara kuhusu matokeo ya majaribio ya mfumo mpya
[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Takwimu katika Jedwali la 3 zimeonesha kuwa kwa kutumia muundo mpya watahiniwa ambao wangefaulu kwa ufaulu
mzuri yaani wale walio kati ya Daraja la I-III ni asilimia 21.22 na wale watakaopata ufaulu hafifu yaani Daraja la IV ni asilimia 70.04. Wanafunzi ambao wangepata ufaulu usioridhisha kabisa ni asilimia 6.26. Kwa mantiki hii mfumo huu uliowazi kwa wote hauna athari ya kuwafanya hata wale ambao hawana uwezo wa kielimu waonekane wana ufaulu mzuri. Hii ina maana bado Taifa linawajibika kuwekeza nguvu zake katika kuimarisha elimu ya sekondari ili idadi kubwa ya wanafunzi iondoke kutoka ufaulu dhaifu na usioridhisha na kuingia kundi la wale wenye ufaulu mzuri na zaidi. Lakini pia ubora wa mfumo ni matokeo ya vitu vingi ikiwemo usimamizi mzuri, umakini na uadilifu ili mfumo uwe na tija

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
No need to reinvent the wheel chifu.

Kama wenzetu wana ideas nzuri kwanini tusizikopi kwa manufaa ya taifa letu.

China, Japan, S. Korea etc. hawaku reivent the wheel, walichofanya ni kukopi some ideas na kuzimould ili kufit mazingira ya nchi hizo.

Mbona hujalalama hiyo Big Results Now kuwa copied kutoka Asia?!? Mnacopy bila kumould hizo ideas zifit mazingira ya TZ!!! Matokeo yake ndiyo hayo sasa.

Better Resign Now

Unaongea nini arifu? Mbona hulalami kwa bunge letu kuendelea kutumia mfumo wa Commonwealth? Kwa sheria zetu kuwa za mfumo wa Commonwealth?

Hivi kama ZA wanafanya vizuri, TZ ikikopi kutakuwa na ubaya? Unataka kukomaa kuivent ideas ambazo hazina maana!!?

Ndiyo maana idea kama hiyo haijaanzishwa na mzungu! Idea kama hiyo haiwezi kuleta manufaa mahala popote hata kwa miaka 1,000!!!

Huwezi kukubali tu kitu eti kwa kuwa kinaitwa new idea!! Itategemea na idea hiyo imetengezwa kwa misingi na malengo gani!!

Idea ya kupunguza alama za ufaulu na kuita daraja ziro kama 'ufaulu usioridhisha' ndiyo unataka tuikubali?!?

Kwa hiyo hata kama watu wasio 'majangili' wakiwa harassed na kuuliwa unataka tukubali tu?!?

Operesheni tokomeza ujangili ingefanyika pale wizarani! Ndipo penye majangili! Kagasheki mwenyewe alikiri hivyo mbele ya waandishi wa habari!

Sasa kwenda kuonea wanyonge ndio nini?

Hivi mwananchi wa Ikoma akiua tembo kwa ajili ya pembe, unaamini yeye ndiye anayepeleka pembe hizo Thailand? Zinapita wapi hadi kufika Thailand? Yeye atapata wapi uwezo wa kuwa na mtandao mkubwa wa kusafirisha pembe hizo hadi Thailand?

Majangili wapo wizarani, halmashauri na bandarini. Kagasheki anajua hilo, lakini anaonea wanyonge!!

It depends on what do those people dare for!! If they dare to *** our system, then we can't join hands with them!

I would advise you to join hands with those who dare to crash and change the corrupt and failed system!
 
Attachments

Jamaa wanataka kupotezea eti wanazungumzia mambo ya Div 5 na Div 0 badala ya kutoa maelezo kuhusu tangazo lote. Lukuvi amesema taarifa ya Mchome si taarifa ya Serikali, je, ina maana kuwa alichotangaza Prof Mchome kila kitu ni batili? Watoto wetu wanafanya mtihani tuambiwe kama wataendelea kupanuliwa magoli kama alivyotangaza Mchome au tufuate ya Lukuvi na Mulugo?
 
Halafu bado wanajiita "Serikali sikivu" wakati wanaharibu kila sekta nchini. Wataalamu wanaoweza kuipa Serikali hii ushauri mzuri wa kuboresha elimu nchini tunao kibao lakini hawasikilizwi, matokeo yake wanasiasa ambao hawajui chochote kuhusu elimu wanaendeleza usanii wao ambao unazidi kushusha kiwango cha elimu nchini.
Usaniii ni mwingi sana maana Mulugo ameshaikana Div 5 naye Lukuvi ameikana statement yote aliyoitoa Prof Mchome Katibu Mkuu siyo msemaji wa serikali, sana kwa nini wanatuchanganya namna hiyo?
 
Naunga mkono hoja. Nimeshindwa kumwelewa Mulugo anapotetea hivyo viwango eti hawajashusha lakini wameondoa tu mlundikano. Kama D ilikuwa inaanzia 35, je kuifanya ianzie 20 siyo kushusha viwango? Kama C ilikuwa inaanzia 50, je kuifanya ianzie 40 siyo kushusha viwango? Kama A ilikuwa inaanzia 81 kuifanya ianzie 75 siyo kushusha viwango? Kwa mujibu wa matokeo ya majaribio ya mfumo huo, kama yangetumika kwa matokeo ya K4 mwaka 2012 ufaulu ungekuwa 93%. Sasa kama bila kufanya mtihani mwingine wizara inaweza kucheza na viwango vya ufaulu na ukapanda toka asilimia 43 hadi 93, je huko siyo kushusha viwango vya ufaulu? Ona jedwali la majaribio[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD][TABLE="width: 795"]
[TR]
[TD]AINA YA WATAHINIWA[/TD]
[TD]MWAKA[/TD]
[TD]DARAJA[/TD]
[TD]ME[/TD]
[TD]%[/TD]
[TD]KE[/TD]
[TD]%[/TD]
[TD]WOTE[/TD]
[TD]% YA WOTE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]S[/TD]
[TD]2012[/TD]
[TD]I[/TD]
[TD]6,148[/TD]
[TD]3.01[/TD]
[TD]2859[/TD]
[TD]1.7[/TD]
[TD]9,007[/TD]
[TD]2.42[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]S[/TD]
[TD]2012[/TD]
[TD]II[/TD]
[TD]17,617[/TD]
[TD]8.63[/TD]
[TD]7940[/TD]
[TD]4.73[/TD]
[TD]25,557[/TD]
[TD]6.87[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]S[/TD]
[TD]2012[/TD]
[TD]III[/TD]
[TD]35,678[/TD]
[TD]17.48[/TD]
[TD]19920[/TD]
[TD]11.87[/TD]
[TD]55,598[/TD]
[TD]14.95[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]S[/TD]
[TD]2012[/TD]
[TD]I - III[/TD]
[TD]59,443[/TD]
[TD]29.12[/TD]
[TD]30719[/TD]
[TD]18.3[/TD]
[TD]90,162[/TD]
[TD]24.24[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]S[/TD]
[TD]2012[/TD]
[TD]IV[/TD]
[TD]132,687[/TD]
[TD]65.01[/TD]
[TD]125782[/TD]
[TD]74.95[/TD]
[TD]258,469[/TD]
[TD]69.5[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]S[/TD]
[TD]2012[/TD]
[TD]I - IV[/TD]
[TD]192,130[/TD]
[TD]94.13[/TD]
[TD]156501[/TD]
[TD]93.25[/TD]
[TD]348,631[/TD]
[TD]93.74[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]S[/TD]
[TD]2012[/TD]
[TD][/TD]
[TD]11,962[/TD]
[TD]5.86[/TD]
[TD]11323[/TD]
[TD]6.75[/TD]
[TD]23,285[/TD]
[TD]6.26[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Analysis ya Wizara kuhusu matokeo ya majaribio ya mfumo mpya[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Takwimu katika Jedwali la 3 zimeonesha kuwa kwa kutumia muundo mpya watahiniwa ambao wangefaulu kwa ufaulu
mzuri yaani wale walio kati ya Daraja la I-III ni asilimia 21.22 na wale watakaopata ufaulu hafifu yaani Daraja la IV ni asilimia 70.04. Wanafunzi ambao wangepata ufaulu usioridhisha kabisa ni asilimia 6.26. Kwa mantiki hii mfumo huu uliowazi kwa wote hauna athari ya kuwafanya hata wale ambao hawana uwezo wa kielimu waonekane wana ufaulu mzuri. Hii ina maana bado Taifa linawajibika kuwekeza nguvu zake katika kuimarisha elimu ya sekondari ili idadi kubwa ya wanafunzi iondoke kutoka ufaulu dhaifu na usioridhisha na kuingia kundi la wale wenye ufaulu mzuri na zaidi. Lakini pia ubora wa mfumo ni matokeo ya vitu vingi ikiwemo usimamizi mzuri, umakini na uadilifu ili mfumo uwe na tija
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Nitarudisha vyeti vyangu NECTA ili nami matokeo yangu yapangwe kwa kutumia mfumo huo wa mseleleko
 
Wote waliomo ndani ya Serikali hii hawakustahili kabisa kuwemo Serikalini akiwemo Rais na Waziri Mkuu. Madudu chungu nzima leo wanasema hivi kesho tena wanapindisha, Wakuu wao wa kazi Rais na Waziri Mkuu kimyaaa!!!!

Usaniii ni mwingi sana maana Mulugo ameshaikana Div 5 naye Lukuvi ameikana statement yote aliyoitoa Prof Mchome Katibu Mkuu siyo msemaji wa serikali, sana kwa nini wanatuchanganya namna hiyo?
 
Alama mpya za ufaulu naona zimeshafeli. Mchome amepata division 0 kwa kazi hii mbaya. Yaani Professor mzima unarekebisha mfumo wa elimu uliogubikwa na ukosefu mkubwa wa waalimu na vitabu kwa kutangaza alama mpya za ufaulu?

Lukuvi naye amejizolea division 0. Hajui kwamba Katibu Mkuu ni msemaji wa wizara? Hawa watu JK amewapata wapi? Au JK naye anastahili division 0 kwenye Uongozi?

When will 2015 arrive? We need to consign all these guys to the dustbin of History. That is where they belong.
 
Nchi imekuwa ni ya majanga na elimu ndiyo JANGA KUU LA TAIFA tunatengeneza taifa la MBUMBUMBU badala ya kuboresha mifumo yetu
 
Back
Top Bottom