Alama mpya za ufaulu zapingwa

Alama mpya za ufaulu zapingwa

B kuanzia 50%!
div 2 kuishia 24!!
div 3 kuishia 31 sikumbuki vzr!!

Mtu akipata masomo 7 maksi 50% tu kila moja anakua na ufaulu wa division 1 point 14?! Kweli huoni bado kuwa hapa viwango wameviweka ili kudanganya watu kwa ufaulu wa kuchonga?!

Inahitaj bidii kidogo tu kufanya hilo!

Kweli hapo huoni ni kulazimisha matokeo?!
BRN ni siasa tu, huwezi kupata matokeo haraka bila kutengeneza means ambazo zinatatua tatizo!! Eti unadeal na matokeo ili kupata matokeo mazuri kwa haraka?! Badala ya kutatua mzizi wa tatizo?!

Mungu atupe maisha mkuu utagundua ninalosema! Elimu yetu imeharibiwa na walichofanya hawa watu!

Mkuu kuna tatizo kubwa kwenye elimu yetu, nadhani tunakoelekea ni kuzuri kabisa, hayo madaraja yanapangwa na wizara. Ukienda chuo kikuu utakuta hayo hayo na pia chuo kikuu kama una masomo sita yenye unit tatu tatu, ukipata 50 kila somo unapata umefaulu pia. Tofauti ipo wapi?

Ninachopinga ni kusema miaka minne mtoto aliyokaa shuleni alipata sifuri, can u imagin? ina maana kila mtihan aliingia kuandika jina akatoka? Na kama ni hivyo hata darasani alikuwa hawezi kujibu swali?
 
Entry qualifications za chuo unaziongeleje kwa system hii mpya??!!!
 
Unafaulisha kwa mfano huu!!!!

Kama ng'ombe akiwa na uzito wa kilo 50-100 huuzwa shiling 100,0000 halafu ukasema ushushe lower boundary mpaka 35kgs na bei ibaki ile ile maana yake ni kuwa ng'ombe wengi zaid wataenda mnadani kweli lakini hawatakuwa na uzito unaohitajika kwa matumizi ya wengi!!!!

Yaani mechi ngumu sasa umetanua goal post ili timu ishinde na kufuzu wakati mashindano ya kimataifa magoli ni yake madogo!!!!!!

Mkuu huu mfano wako ni mzuri, but come down to earth let's discus, hivi kufanya B kuanzia 50 inasababish mtu afaulu? Kama ni hivyo mbona vyuoni madaraja ni haya haya na bado wanalalamika wanafeli? Hapo UDSM watoto kila sept wanalia wameshindwa kufikisha marks 40 C wanarudi mamia kwa mamia kurudia supplementary examz? Unajua hakuna hoja eti kushusha madaraja ni kufaulisha.

Watanzania lazma tukubali maboresho,tusiwe wahafidhina kiasi hiki.
 
Kweli hapa ni kupanua goli ili upate kufunga goli kirahisi zaidi. Kama lengo ni kuboresha sidhani kama kipaumbele cha kwanza ni kupanua wigo wa kufaulu. Hata kama hili limo kwenye moja ya mapendekezo ya kuboresha ufumo wetu wa elimu ya sekondari/msingi basi si la kwanza pengine limepangwa 25. Swali ni kwanini utekeleze pendekezo hafifu ili hali lile linaloweza kutatua tatizo likiachwa? Wadau hao waliotoa maoni yao, kama ni kweli walitakiwa waongeze viwango vya kufaulu mfano wangesema F=0-39, D= 40-49, C=50-59 nk.
 
Mkuu hilo halina ukweli kabisa, si unajua watanzania wamekuwa wakibeza kila kitu.

Pia kuna hii tabia, mtoto akipata sifuri, sio tuu serikali imeshindwa bali hata wazazi nao wameshindwa. Mzee Mwanakijiji kalizungumzia vizuri sana.

Mkuu standard hizi mpya ni mpya kwa tanzania, lakini nchi za wenzetu hata watoto wa nursery anajua b plus inaanzia ngap

Watoto hao wanaojua hiyo kitu at a nursery school level pia ni product ya BRN????
 
Last edited by a moderator:
Entry qualifications za chuo unaziongeleje kwa system hii mpya??!!!

Sasa hapa values nazo zinabadilika. Value ya div one will remain to stay, but value ya div two itakuwa shaken, value ya div three inafifia, value ya four inaondoka, value ya div five inakuwa hakuna kabisa, ila atlist inakuwa sio sifuri. Ile sifuri imepewa tafsida sasa.
 
Mkuu huu mfano wako ni mzuri, but come down to earth let's discus, hivi kufanya B kuanzia 50 inasababish mtu afaulu? Kama ni hivyo mbona vyuoni madaraja ni haya haya na bado wanalalamika wanafeli? Hapo UDSM watoto kila sept wanalia wameshindwa kufikisha marks 40 C wanarudi mamia kwa mamia kurudia supplementary examz? Unajua hakuna hoja eti kushusha madaraja ni kufaulisha.

Watanzania lazma tukubali maboresho,tusiwe wahafidhina kiasi hiki.

Netted!!!!!

Shusha hiyo C hapo mlimani ili ianzie 30 then utajua naongelea nini hapa na mkuu Bob Lee Swagger
 
Sasa hapa values nazo zinabadilika. Value ya div one will remain to stay, but value ya div two itakuwa shaken, value ya div three inafifia, value ya four inaondoka, value ya div five inakuwa hakuna kabisa, ila atlist inakuwa sio sifuri. Ile sifuri imepewa tafsida sasa.

Profesa mzima na kamati na kila kitu wanafanya kazi ya kuipa sifuri tafsida??????!!!!!

Mkuu sixgates,please jamani we should have mercy on this country and her sibblings!!!!!!
 
Watoto hao wanaojua hiyo kitu at a nursery school level pia ni product ya BRN????

Ni product ya kitu kingine kizuri zaidi. Hii BRN ungejua waliotengeneza hii model ungetulia uisome na uangalie impact yake. Ni maguru, wamesaidia nchi nyingi sana.
 
Profesa mzima na kamati na kila kitu wanafanya kazi ya kuipa sifuri tafsida??????!!!!!

Mkuu sixgates,please jamani we should have mercy on this country and her sibblings!!!!!!

Hahahaha Mkuu unanichekesha. Ila waalimu waliosoma psychology wanaelewa nini dhumuni la kuipa sifuri tafsida.
 
Kweli hapa ni kupanua goli ili upate kufunga goli kirahisi zaidi. Kama lengo ni kuboresha sidhani kama kipaumbele cha kwanza ni kupanua wigo wa kufaulu. Hata kama hili limo kwenye moja ya mapendekezo ya kuboresha ufumo wetu wa elimu ya sekondari/msingi basi si la kwanza pengine limepangwa 25. Swali ni kwanini utekeleze pendekezo hafifu ili hali lile linaloweza kutatua tatizo likiachwa? Wadau hao waliotoa maoni yao, kama ni kweli walitakiwa waongeze viwango vya kufaulu mfano wangesema F=0-39, D= 40-49, C=50-59 nk.

Pamoja!!!
 
Mi nasema hivi kila mzazi ahakikishe mwane anasoma na kuelewa la sivyo ajaindae kuwa mtimwa tu, hakuna mjinga anayeweza kumwongoza mwerevu katiak dunia hii.
 
Netted!!!!!

Shusha hiyo C hapo mlimani ili ianzie 30 then utajua naongelea nini hapa na mkuu Bob Lee Swagger

Mabadiliko yanaweza kufanyika, hayo madaraja ya ufaulu sio mawe useme hayabadiliki. Yamewekwa na binadamu, na binadamu can change it.

Ila kwa udsm hata wakiweka C ianzie 20 bado watu watasap coz maprofesa watakubania kwenye mitihani.

Same applied. C hata iwe 50, ukatunga mitihani migumu hiyo B utaiona kimeo tuu.
 
Ni product ya kitu kingine kizuri zaidi. Hii BRN ungejua waliotengeneza hii model ungetulia uisome na uangalie impact yake. Ni maguru, wamesaidia nchi nyingi sana.

Mkuu haya makabrasha yapo kibao na matokeo yake yanashawishi sana tu ila tujiuliza katika yote tuliyokwisha pitia lipi limetutoa?????!!!!!!

Tatizo lipo kwa watendaji wetu wakuu,wao ndio wa kuambiwa kwamba wanazamisha jahazi hili!!!!
 
Nadhani kwa wale ambao walikuwa hawaelewi dhana ya Big Result Now somo sasa limeeleweka.Jambo hili lingeanzia Dodoma Bungeni wala tusineshangaa sana maana ni wanasiasa na wengi ni vilaza.Lakini kwa mastaajabu limeletwa na Professor aliyeaminika kuwa na weledi mpana katika Elimu.Nadhani hii ni siasa kuelekea 2014-2015,na hakika mchezo wao ni mauti kwa Taifa!
 
Mabadiliko yanaweza kufanyika, hayo madaraja ya ufaulu sio mawe useme hayabadiliki. Yamewekwa na binadamu, na binadamu can change it.

Ila kwa udsm hata wakiweka C ianzie 20 bado watu watasap coz maprofesa watakubania kwenye mitihani.

Same applied. C hata iwe 50, ukatunga mitihani migumu hiyo B utaiona kimeo tuu.

Ndio maana nataka turekebishe process ili product iwe nzuri basi tunaua wawili kwa jiwe moja
 
Mi nasema hivi kila mzazi ahakikishe mwane anasoma na kuelewa la sivyo ajaindae kuwa mtimwa tu, hakuna mjinga anayeweza kumwongoza mwerevu katiak dunia hii.

Umesema vyema mkuu. Tatizo la watanzania wanawaza vitu vya ajabu ajabu, wanawaza kujenga majumba, kununua magari, kuanzisha mabiashara bt hawafuatilii maendeleo ya watoto wao. Wakishawatupa mashuleni huko wao wananyoosha miguu juu.

Bora usijenge, ukampa kijana wako elimu bora, sababu urithi wa mtoto ni elimu. Wenzetu ulaya walishasahau mambo ya kurithishana nyumba na mashamba kwa sababu mtu anazaliwa kwenye apartment, anakulia kwenye apertment na anafia hapo. Izo nyumba anatoa wapi? Shamba anatoa wapi? Wanachowarithisha watoto wao ni elimu na kukuza vipaji vyao
 
ipogolo mkuu mabadiliko yote yaliyofanyika ni mazuri sema watu hawajaelewa. Na ofcoz panakuwa na standard ambazo zinawachuja watoto wenye uwezo na wanajulikana mapema
Yaani nimebakia nimepumbaa, hii ina maana gani na vigezo sahihi vya vinavyomfanya mwanafunzi aelimike na kuwa tayari kufanya mitihani yake na kupata matokeo bora?
 
Naomba mnisaidie kujua zaidi wana jf,hivi wamebadilisha mitaa ya elimu au nn kimefanyika?,maana naona comments hapo juu ya Jesca Charles kuwa itamsaidia kwa kuwa wamebadilisha mitaala.Ila watanzania wenzangu kitu ujinga ni janga kubwa sana,mimi nasomesha watoto,mmoja kamaliza mwaka jana secondary,mwingine anaanza mwaka kesho form I, i feel the pains of this unrealistic decision by government.
 
Back
Top Bottom