Wawache zinaa na kujiuza.

Halafu wasingekimbia, kilichowakimbiza ni nini? inaonesha polisi walikuwa wakiipiga risasi gari ili isimame na bahati mbaya risasi ikapenya na kumtandika makalio huyo kijana.

Wanaume kutembea na msichana wa miaka kumi na sita ni kosa Tanzania? au akiwa anasoma tu? kwani najuwa kuwa si kosa kuolewa wa miaka kumi na sita na hata wa miaka kumi na nne, labda sheria za ndoa ziwe zimebadilishwa.
Hapo kwenye nyekundu si kweli, tuombe radhi kwa kumdhalilisha mama yetu. Uwe naHoja ya kiswahili inajibiwa kwa kiswahili someni tena mtaelewa ndipo muulize kwa mshangao tena... Kha!
wao polisi walitukuta tayari tunamaliza lakini kutokana na woga tulikimbia ili tusikamatwe," alisema msichana huyo.(Msichana alijua kosa lake) Kipolisi ni kosa na Sheria inamtaka atumia arm kumsimamisha kwa ishara kwanza then risasi chini ya kiuno,
Alisema kwa kuona hali hiyo, mpenzi wake alisimamisha gari kwa kujisalimisha na polisi walipowafikia.
Huelewi na Majibu yote yapo hapo hapo au mleta habari aandike kwa English?
Zinaa hawawezi acha hadi goverment irekebishe uchumi wa ukweli sio wa vitabuni na hii ni urithi wa Dunia Zinaa alianza Hawa
Bahati mbaya! hiyo ni kawaida ya Polisi wetu kusingizia hilo Tuliona kwa Zombe walipiga Juu kwa bahati mbaya zikampata nadhani risasi zao huwa zinaenda juu na kutua kwenye target.
Wanaume kutembea na msichana chini ya miaka 18 ni kosa la ubakaji hat kama amemuoa hii sheria ilishadadiwa nchi nzima ilifahamu na ubakaji ulipungua pengine jk ndio hakujua hilo akidai ni kiherehere chao.
Hao Jamaa ni uzembe wao kutowapoza hao polisi sheria itawashika wote.
Chenge pekee ndio anaweza fanya kosa kisha akaishinda sheria akawa huru Bisha
Hivi cha kushangaza nini hapo?"Jeshi la polisi limekumbwa na kashfa nyingine baada ya askari wake kudaiwa kumpiga risasi msichana wa miaka 16 baada ya kumkuta akivunja amri ya sita ndani ya gari."
Miaka 16??????

huyo mwanamke alikuwa bar...wazazi wake wako wapi? huu ni mfumo duni wa ccm ..mtoto han la kufanya anajiuza..who to blame? CCM and no one else....offcourse kutembea na underage ni kosa kisheria, mteja kaenda bar kakuta malaya kamnunua..au siku hivi wanawake (machangudoa) wanaandikwa miaka yao vifuani?..ccm mnatupeleka wapi? i cant wait hili li CCM kufa
It clearly looks like was a consensus among the two, so how did police get into and opened fire to the girl? There is apparently covering up of some of the information which could otherwise reveal the police weaknesses.

"Jeshi la polisi limekumbwa na kashfa nyingine baada ya askari wake kudaiwa kumpiga risasi msichana wa miaka 16 baada ya kumkuta akivunja amri ya sita ndani ya gari."

Miaka 16??????
Malaya ni Malaya tu awe CUF, CDM, CCM,TLP, wote wanaitwa Malaya
Hivi ni kosa kubanjua kitu yako utakako?

Wawache zinaa na kujiuza.

Halafu wasingekimbia, kilichowakimbiza ni nini? inaonesha polisi walikuwa wakiipiga risasi gari ili isimame na bahati mbaya risasi ikapenya na kumtandika makalio huyo kijana.

Wanaume kutembea na msichana wa miaka kumi na sita ni kosa Tanzania? au akiwa anasoma tu? kwani najuwa kuwa si kosa kuolewa wa miaka kumi na sita na hata wa miaka kumi na nne, labda sheria za ndoa ziwe zimebadilishwa.
It clearly looks like was a consensus among the two, so how did police get into and opened fire to the girl? There is apparently covering up of some of the information which could otherwise reveal the police weaknesses.

Uzi wa kiswahili ujibu kwa kiswahili, ukikuta umeandikwa ung'enge ndo ushushe ung'eng'e wako. Ni ustaarabu rahisi sana, badilika ndugu.
this is not a rape,they had a consensusHow kud it be possible to shoot the girl who was being raped instead of shooting a man? This is rediculous
Huyu akili zake zinamtuma kwamba kiingereza ndio usomi, siku akibahatika kufika Uingereza atasema Waingereza wote wasomi hadi ambao wamelazwa wodi za vichaa, na mpaka watoto wanaonyonya atasema wasomi. kazi ipo ushamba mbaya sana.It clearly looks like was a consensus among the two, so how did police get into and opened fire to the girl? There is apparently covering up of some of the information which could otherwise reveal the police weaknesses.