JS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2009
- 2,064
- 499
Hatuko pro-active in anything. Tumelala tu bado usingizi wa pono ambao kuamka kwake ni ngumu. Tunachojua ni siasa tu ambazo nazo ni za ubabaishaji. Si rahisi makampuni makubwa yaje hapa kuwekeza kama Aljazeera umeme wenyewe wa kuombea mvua inyeshe ili mabwawa yajae maji. Si Dar tu kwani hata Arusha panafaa lakini sera zetu mbovu, rushwa. Yani we still have a long way to go even after 50 yrs of independence kupata kama Aljazeera iweke mitambo yake hapa kwetu.