Game Theory
Platinum Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 835
Kwa ninavyo fahamu sheria za tanzania haziruhusu mgeni kumiliki chombo cha habari kwa 100% nafikiri ni moja ya sababu, ndio maana hata BBC Idhaa ya kiswahili na idhaa ya kiswahili ya china wana studio zao nairobi. Na kuna siku mkuu wa idhaa ya kiswahili wa china alikuwa nasema wao walitaka kuweka studio zao nchini lakini sheria ya vyombo vya habari iliwabana.
IPP MEDIA kwani siyo ya Mengi by 100 %?