omarilyas
JF-Expert Member
- Jan 24, 2007
- 2,130
- 145
Kwa hiyo Mtandao kwa kutumia vyombo vya habari ulikuwa unawaonea wakristo? Kama jibu ni ndio, mbona kuna mchanganyiko wa dini kwa victims wa mtandao?
Acha kukurupuka, kwani Salim, Kitine na wengineo ambao sikuwataja ni wakristo?
omarilyas