Al Huda, Sykes na Siasa za Tanzania

Yes!kumbe unafahamu kuwa dini yako ni batili, huwezi kupata haki, haki yako yako ni kuchinjwa tuu!
Ninyi ni dini ya shetani, mnachafua hali ya hewa duniani, rudini nyumbani kwenu jehanamu kwa shetani
.

wenzako wanajaribu kila kukichwa lakini wanashindwa.

hebu wape mbinu zako ili kuifuta dini hii.
 
Ngonja nikwambie, mapambano na shetani aka ibillisi alias uislamu ni jukumu letu, ukitaka kujua mbinu ingia kwenye anga zetu kutie kidogo.
 
JK Nyerere na awamu ya kwanza.
Hakika JKN aliachiwa nchi ikiwa shwari kabisa hakukuwa na vita wala nini. Chakula kilikuwa kingi sana na nchi ilikuwa na maendeleo makubwa kiuchumi. yeye aliifilisi nchi kwa kujifanya mwema sama kusaidia nchi nyingine za majirani kupata uhuru. Aliumia rasilimali nyingi za nchi kwenye ukombozi wa Afrika.

Umeshindwa kujikomboa wewe, so hukupenda akomboe wengine? Ukombozi wa Bara la Africa ulikuwa ni muhimu kwa kila mwafrika,ikumbukwe kuwa movement na akili ya kuikomboa Tz JKN alipata support kutoka kwa waafrika pia.Orodha ni ndeefu...

hakika mpaka anakimbia madarakani nchi ilikuwa mufilisi. hakuna pesa hakuna vitu madukani kuanzia nguo mpaka vyakula vilukuwa kwa foleni. yeye ndie aliyekuwa muasisi wa ulanguzi.

JKN alikuwa mlanguzi?duuu hii dhambi laana?

Alhaj Mwinyi,

Huyu alikuwa na kazi kubwa ya kurudisha imani za wananchi kwenye nchi yao. Alifungua mipaka ya RUKSA kila kitu. hapo mitumba, vyakula na mahitaji yakawa mengi sana na nchi ikawa powa kabisa na ndipo waTZ wakaanza kuonekana wasafi na wenye mvuto kwa jamii.

Imani ipi kwa wananchi!! For your information huyu ndiye limbukeni akiyetaka kuibadilisha Tz iwe tHE uNITED iSLAMIC rEPUBLIC oF tANZANIA, ni imani ipi?au imani katika misingi ya dini yenu ya kishetani?
Huyu hata akifa leo hakuna mkristu,nasema mkristu aliye na source ya uozo wake atatia timu au kuomboleza juu ya kifo chake.

MKAPA,

yeye falsafa yake ni uwazi na ukweli. hakika huyu mwana taaluma mwenzangu alileta suala la kugawa mashirika ya umma kwa wachache na kufanikiwa kuasisi UFISADI.

Yes!huyu alikuwa kichwa, nchi ilipiga hatua,alikuwa habahatishi.
Kwa sehemu yake aliiba alichoweza kuiba, na atahukumiwa hapahapa duniani.

Mwasisi wa ufisadi ni limbukeni Mwinyi.
Ushahidi ni pale JKN alipotamka hadhari kuwa ikulu inanuka rushwa
Huyu pia aliuza madawa ya kulevya na mkewe.

Kwa ufupi Mkapa was smart na atakumbukwa kwa hilo.

JM Kikwete,

Awamu yake ameanza na mengi ikiwa pamoja na Udini ikiwa pamoja na kuondoa magugu ya ufisadi uliopandwa na wanzake.

Ameanza na udini?udini aliupanda Mwinyi,kumbuka hilo.
Isitoshe hana lolote analofanya kwenye udini,ni kilaza tuu huyu.
Hana ubavu wowote juu ya udini, solution ya udini ipo mikononi mwa watu wenyewe.

Yeye mwenye ni fisadi, ajiondoe hayo magugu ya ufisadi kwanza then ataweza kuondoa magugu ya wenzake.

All in all, huyu ni bishoo tuu,kazi yake kujirusha na mademu, after ten yrs end of stori.

Mimi naona ana nafasi kubwa sana kama ataamua kuondoa mambo hayo na kuiweka TZ kuwa maisha bora kwa kila mtu,

Nahisi unaona kwa makengeza.
 
Hii kwangu mimi hawa watu hapo juu ndio sababu ya msingi ya kuvunja muungano. Hawa wazanzibara ni sumu mbaya sana kwenye taifa hili. Inakuwa vigumu sana kupata maendeleo ukiwa umezungukukwa na mafisadi halafu wakaongezeka na wa dini kama hawa jama hapo juu.
Sumu mbaya sana kwa taifa hili huijuwi au umeisahau?
Wacha nikukumbushe. Mwaka 1967 Baba Yako wa Taifa alianzisha "upuuzi" aliouita "Azimio La Arusha" kwa Tanzania Bara, "sumu ya maendeleo ya taifa hili" wakasema "...upuuzi huo mwisho Chumbe... haiwezekani mtu asiwe na japo banda la kufugia kuku..."
Hakuishia hapo, mwaka 1978-9, Baba yako wa Taifa, aliwashwa na nini sijuwi, akaamka na kusema " nia anayo, sababu anayo na uwezo anao.." wa kuitia umasikini Tanzania, kwa kuanzisha vita vya kipumbavu na Uganda, alipofisidi senti zote kwa vita hivyo, alisema "..anawahurumia watoto wa Tanzania kwa hivyo tujifunge mikanda..." na kweli miezi 18 ya kujifunga mikanda ikawa miaka mpaka leo, umasikini uwa papo na yeye baba yako wa taifa hakuufunga mkanda wake na wanawe, na kwa maziko yake tu taifa likapoteza mamilioni ya fedha kuaanda tu kuufukia "mzoga" wake Butiama kule. Gharama zote hizo hazifikii ya zile Saudi Arabia na Syria walipowazika viongozi wao wakuu wa kitaifa.
Sumu nyengine ni hicho chama cha Mafisadi,mnachojidai kukiponda kwa unafiki hapa JF, ikifika uchaguzi nyooooote jungu moja mnakishabikia na wengine mnatumia kalamu zenu kukipigia kampeni, kwa hiyo sumu ya Maendeleo ya taifa hili ni nyinyi wenyewe, kama huna wa kumtupia mzigo wa lawama nenda kahiji kaburi la Baba yako wa taifa Butiama. Na kama udini wameanzisha kina Kilaini na waraka wao wa kiaskofu cum mwongozo wa chama cha siasa kisichosajiliwa bado cha kanisa Peoples' Party.
 
Umeshindwa kujikomboa wewe, so hukupenda akomboe wengine? Ukombozi wa Bara la Africa ulikuwa ni muhimu kwa kila mwafrika,ikumbukwe kuwa movement na akili ya kuikomboa Tz JKN alipata support kutoka kwa waafrika pia.Orodha ni ndeefu...

JKN alikuwa mlanguzi?duuu hii dhambi laana?

Imani ipi kwa wananchi!! For your information huyu ndiye limbukeni akiyetaka kuibadilisha Tz iwe tHE uNITED iSLAMIC rEPUBLIC oF tANZANIA, ni imani ipi?au imani katika misingi ya dini yenu ya kishetani?
Huyu hata akifa leo hakuna mkristu,nasema mkristu aliye na source ya uozo wake atatia timu au kuomboleza juu ya kifo chake.

Yes!huyu alikuwa kichwa, nchi ilipiga hatua,alikuwa habahatishi.
Kwa sehemu yake aliiba alichoweza kuiba, na atahukumiwa hapahapa duniani.

Mwasisi wa ufisadi ni limbukeni Mwinyi.
Ushahidi ni pale JKN alipotamka hadhari kuwa ikulu inanuka rushwa
Huyu pia aliuza madawa ya kulevya na mkewe.

Kwa ufupi Mkapa was smart na atakumbukwa kwa hilo.

Ameanza na udini?udini aliupanda Mwinyi,kumbuka hilo.
Isitoshe hana lolote analofanya kwenye udini,ni kilaza tuu huyu.
Hana ubavu wowote juu ya udini, solution ya udini ipo mikononi mwa watu wenyewe.

Yeye mwenye ni fisadi, ajiondoe hayo magugu ya ufisadi kwanza then ataweza kuondoa magugu ya wenzake.

All in all, huyu ni bishoo tuu,kazi yake kujirusha na mademu, after ten yrs end of stori.

Nahisi unaona kwa makengeza.

You're Extremist Nut.
 
Sumu mbaya sana kwa taifa hili huijuwi au umeisahau?
Wacha nikukumbushe. Mwaka 1967 Baba Yako wa Taifa alianzisha "upuuzi" aliouita "Azimio La Arusha" kwa Tanzania Bara, "sumu ya maendeleo ya taifa hili" wakasema "...upuuzi huo mwisho Chumbe... haiwezekani mtu asiwe na japo banda la kufugia kuku..."
Hakuishia hapo, mwaka 1978-9, Baba yako wa Taifa, aliwashwa na nini sijuwi, akaamka na kusema " nia anayo, sababu anayo na uwezo anao.." wa kuitia umasikini Tanzania, kwa kuanzisha vita vya kipumbavu na Uganda, alipofisidi senti zote kwa vita hivyo, alisema "..anawahurumia watoto wa Tanzania kwa hivyo tujifunge mikanda..." na kweli miezi 18 ya kujifunga mikanda ikawa miaka mpaka leo, umasikini uwa papo na yeye baba yako wa taifa hakuufunga mkanda wake na wanawe, na kwa maziko yake tu taifa likapoteza mamilioni ya fedha kuaanda tu kuufukia "mzoga" wake Butiama kule. Gharama zote hizo hazifikii ya zile Saudi Arabia na Syria walipowazika viongozi wao wakuu wa kitaifa.
Sumu nyengine ni hicho chama cha Mafisadi,mnachojidai kukiponda kwa unafiki hapa JF, ikifika uchaguzi nyooooote jungu moja mnakishabikia na wengine mnatumia kalamu zenu kukipigia kampeni, kwa hiyo sumu ya Maendeleo ya taifa hili ni nyinyi wenyewe, kama huna wa kumtupia mzigo wa lawama nenda kahiji kaburi la Baba yako wa taifa Butiama. Na kama udini wameanzisha kina Kilaini na waraka wao wa kiaskofu cum mwongozo wa chama cha siasa kisichosajiliwa bado cha kanisa Peoples' Party.

Hakika maneno yako ni sahihi kabisa.

UNAJUA WABARA WANAJIFANYA HAWAJUI NINI CHANZO CHA YOTE. LAKINI SISI TUKIWAELEZA TATIZO NI UKATOLIKI UNATAKA KUITAWALA TANZANIA INGAWA WAO NI CHINI YA 20% YA WATANZANIA WOTE. WALIZOEA KUDEKEZWA NA JKN NA KUJIONA WAO NDO WATAWALA NA BORA KULIKO WAISLAM, WAAGLIKANA, WLUTHERI NA NK.

HAKIKA WAKATOLOKI WASIPO ANGALIWA BASI LITAKUWA BALAA KUBWA SANA HUKO TANZANIA. WE ANGALIA KILA ANAEPINGANA NA WARAKA WAO WANAMWANDAMA KWA KEJELI NA MATUSI.

HAKIKA BARA WATAANGAMIA SABABU YA WAKATOLIKI.
 
Duuh kuna wana chuki lakini wewe kama chuki ingekua shule wewe ungekua kiranja mkuu
 
Ameanza na udini?udini aliupanda Mwinyi,kumbuka hilo.
Isitoshe hana lolote analofanya kwenye udini,ni kilaza tuu huyu....
.

Kosa kubwa alilofanya Mwinyi ni kurudisha shule za kidini. Nyerere alitambua madhara ya dini kuendesha shule na kuzitaifisha zote. Kila siku shule hizi za dini zinafyatua "products" zilizopikwa kidini.
 
Kwa nini hauamini? Mbona ametajwa kama source ya historia kamili ya jinsi Nyerere alivyowadhulumu waislamu haki zao. Kuanzia kumpiku Abdulwahid, kuiua [/SIZE][/FONT]East African Muslim Welfare Society (EAMWS), kuwabambikia Bakwata n.k. Au wote hao wanamsingizia? Kinachopingwa si kuukataa umasiha wa hao uliowataja bali kuingiza kipengele kuwa wanafanya hivyo kwa sababu hawawapendi waislamu! Huo ndio upuuzi, ujinga,ufisadi n.k.

Ndugu yangu inaelekea sekta ya uandishi wa habari hauifahamu ama umeamua tu kuitumia makala hiyo kuhalalisha mtazamo wako. Ni muhimu kujua kuwa Tanzania kama katika nchi nyingi duniani kuna UHANDISI WA HABARI ambao kazi yake haitofautiani na wale wahubiri wa dini wanaotumia nusu sentensi ya Biblia ama Msahafu kuhalalisha misimamo yao. Ndio maana mimi kwa kuwa nawajua wote Ally na Abbas na kwa kuwa najua malengo yake na mitazamo ya gazeti la Al Huda, sijakimbilia kuamini kuwa wazee hawa wawili wamefikia kum-attack Nyerere waziwazi. Najua kuwa ingawa wana tofauti zao na Mwalimu lakini pia wanamheshimu na kuthamini sana mchango wa Mwalimu zaidi ya kiongozi yeyote yule katika historia ya nchi yetu.

Kuhusu kuvunja East African Muslim Walfare Society na kuanzisha Bakwata, hata mimi ambaye najiona kama ni mmoja wa "wajinga"(kwa muono wa wanaojiona werevu) wachache ambao wanaamini Mwalimu ndio nguzo pekee ya UTANZANIA tuliyobaki nayo na walio tayari kusimama bila ya woga wala unafiki kulinda sifa na mafanikio ya Mwalimu nchini, naamini alifanya makosa makubwa na zaidi kuanzisha BAKWATA ambayo ndiyo miaka nenda miaka rudi adui mkubwa wa maendeleo ya waislamu kama jamii kubwa nchini na hata kutishia usalama wa taifa letu huko tuendako. Sababu za kuvunja EAMWS na kuanzisha kibaraka BAKWATA hazina tofauti na ambavyo Kanisa la Katoliki (naomba unielewe kuwa sio wakristo ama wakatoliki) limekuwa likifanya miaka yote na haswa pale rais asipokuwa mmoja wao.

Hili la waraka ni moja kati ya mambo madogo sana ya kutishia utawala kama ambayo kanisa kama asasi limekuwa likiyafanya ambayo ama kwa kujua au kutojua yamekuwa yakihatarisha maslahi ya watawala na zaidi kwangu mimi yakipanda mbegu za chuki miongoni mwa jamii za kitanzania na kuhatarisha amani yetu ambao wengi tunapenda kuipigania na wakati huohuo tunaivunja.

Kinachopingwa si kuukataa umasiha wa hao uliowataja bali kuingiza kipengele kuwa wanafanya hivyo kwa sababu hawawapendi waislamu! Huo ndio upuuzi, ujinga,ufisadi n.k.

Mtazamo kuwa wanajiogamba kuwa wanapinga ufisadi wanafanya hivyo kwa sababu hawawapendi waislamu sio mtazamo wangu kwani najua zaidi nini kinachoendelea katika siasa za nchi yetu, lakini huo ndio mtazamo wa walio wengi ndani ya jamii ya kiislamu nchini. Lakini pia ujue kuwa wengi wa wanaojidai kuwa wapinga ufisadi wamekosa MORAL AUTHORITY ya kusema hayo kwani wao pia ni mafisadi wa kutupwa, iwe ufisadi wa kijamii, kiroho, kisiasa na hata kiuchumi. Wengi wao hapo kabla walikuwa nab ado wanaendelea kuwa wachangiaji na walinzi wa kuu wa mfumo fisadi kwa kupamba kwa mapambio ya kuvutia madhabahu ya mfumo fisadi huu.

Na kanisa ama Mama Maria walipaswa kutambua hilo na kuwa makini zaidi kwa hatua wanazochukua na kina nani wanashirikiana nalo katika hatua hizo kama kweli nia yao ya dhati ni kuwasaidia WATANZANIA kuondokana na janga hili la UFISADI (sina wasiwasi na hilo kwa upande wa Mama Maria). Na kwa taarifa yako mimi sio mpuuzi, fisadi wala mjinga kama unavyodhani bali uelewa na utaalamu wa siasa ndio kazi yangu niliosomea, kuipenda na kuitumikia kwa dhati.

Lakini haouoni kuwa unamnyang'anya haki yake ya kikatiba ya kusema atakalo na kushirikiana na kundi lolote atakalo ili mradi havunji sheria? Labda utuambia ni kwa namna gani kushirikiana na hao uliowataja kunavuruga UTANZANIA. Na huo UTANZANIA unapimwaje?

Mama Maria akiwa kama mke wa BABA WA TAIFA anapaswa kuwa makini na nafasi yake katika jamii. Yeye ni STATESWOMAN na wengi tunamuangalia kama kimvuli cha MWALIMU ambaye ni kiongozi wa watanzania wote. Anapotoa matamko ya kisiasa katika hadhira kama aliyokuwepo na watu kama alioambatana nao ni wazi ujumbe wake utatafsiriwa vibaya kama vile kuhalalisha muono wa hadhara hiyo na alioambatana nao kama MENGI ambaokatika jamii ni DIVISIVE factor. Hilo pia lipo kwa upande wa ALLY na ABBAS SYKES ambao kama waasisi wa TANU ambayo ni asasi muhimu katika ujenzi wa UTANZANIA wanapaswa pia kuwa juu zaidi ya misimamo ya kimakundi inapokuja masuala ya siasa za nchi yetu. Haki wanayo lakini wote (MAMA MARIA na kina SYKES) wanapaswa kuwa makini sana na jinsi wanavyotumia haki hiyo na kutekeleza majukumu yao tofauti na wewe unayetumia jina la kivuli hapa.

Hatuzizadharau ndiyo maana tunazipinga kwa sauti kubwa. Na kama kweli waislamu wengi ndivyo wanavyoamini basi ni wajibu wetu sote tunaolitakia mema taifa letu kufanya hivyo, wamisheni na waislamu.

Kwanza wamisheni ni kundi gani na linahusikaje katika mjadala huu? Inawezekana kuwa kweli unalitakia mema taifa letu lakini mema hayo hayawezi kupatikana kwa kuwa na mitizamo ya dharau, kejeli na shutuma kwa wenye fikira zilizotofauti na wewe.

Historia ipi? Historia ya kugandamizwa na kutotendewa haki waislamu na wakristu? Hauoni huko ndiko kuandika upya historia ambako kutatupeleka pabaya. Niambie ni wapi ambapo waislamu kama jumuia hawakutendewa haki na uongozi wa kikristu! Kama dhulma, tulitendewa wote. Waislamu, wamisheni, wahindu n.k. Ndiyo,hawalioni tatizo la ufisadi kama ni hivyo wanavyoamini. Ufisadi kwao basi ni neno linaloambatana na wamisheni. Wakina Benjamin, Edward, Basil, Daniel na sio wakina Jakaya, Mustafa, Ali na wengine. Ndivyo wanavyotaka tuelewe.

Kwanza ni lazima ujue uandishi wa historia kamwe hauwezi kuwa kitu kisichobadilika. HISTORIA wakati wote huandikwa na wenye nguvu (STRONGMEN) kwa minajili ya maslahi yao na ndivyo ilivyokuwa na bado ilivyo katika Tanzania yetu. Historia ya Tanganyika iliandikwa ikimzunguka MWALIMU (STRONGAMANS THESIS) na TANU na baadaye CCM wakati wa historia ya Zanzibar iliandikwa ikimzunguka KARUME na Mapinduzi ya 1964. Katika enzi hizi ambazo kwa kiasi fulani zinatoa mwanya kwa wenye ushahidi na mitizamo tofauti na historia iliyopo kutoa mitazamo yao, ni kitu cha kawaida kutokea watu wanopingana na kila tunachodhani kuwa ndio ukweli na hilo ni moja ya misingi ya maendeleo katika jamii yoyote ile.

Huu ndiyo uongo ambao ni hatari. Corruption haikuanza na Kikwete wala Mwinyi wala Nyerere. Bila shaka hata wakati wa ukoloni palikuwa na corruption. Tofauti ni scale. Kudai kuwa watanzania walikuwa corrupt wakati wa Julius halafu wakasafishika wakati wa Ali halafu wakarudi tena wakati wa Benjamin na kusafishika wakati wa Jakaya ni upuuzi. Neno ruksa Mwinyi hakupewa bure.

Tanzania ya sasa ni Tanzania iliyoanza baada ya ukoloni. Kuanza kusafisha enzi za Mwalimu kwa kutumia mfano wa enzi za ukoloni ni kumdhalilisha Mwalimu. Hivyo basi Ufisadi ulianza kuchipua enzi za mwalimu lakini yeye alikuwa decisive na akatumia Azimio la Arusha na baadae akasaidiwa na SOKOINE na vita ya uhujumu uchumi kupambana na vichipuzi hivyo. Ni wazi wote walishindwa na alipokuja Mwinyi na sera za Ruksa vichipuzi vikakua, Mkapa akavistaawisha na sasa unaota mizizi...kuanzia katika siasa, dini hadi familia....na bahati mbaya tumekosa jemedari wa kweli na mwenye usafi wa kutotiliwa shaka kama hawa tuliokuwa nao ambao mnajaribu kutulazimisha tuitikie nyimbo zao bila kuuliza maswali mazito

Mawaziri wake kama Marehemu Kighoma Malima hawakuwa safi. Mahoteli kama Sea Cliff, White Sands, Golden Tulip (kibali kilitoka wakati wa Mwinyi), Sheraton n.k. yalijengwa kwa kupimda sheria na palikuwa na kila dalili ya corruption. Watu kama wakina Gulamali, Premji walikuwa wakitamba kwa mikataba iliyotia shaka.

Yaani unaonyesha jinsi gani muono wako ulivyo finyu katika suala hili la UFISADI kwa kudhani ni suala la PERSONALITY na pengine imani zao. Ufisadi ni suala la kimfumo na tunachokiona hapa ni tofauti za kizenzi tu na jinsi gani ulivyoshughulikiwa. Kuna ufisadi wa enzi za Ujamaa, Ufisadi wa enzi za ruksa, ufisadi wa enzi za uwazi na ukweli na sasa tupo katika ufisadi wa Ari Mpya...

Hivi mbona wanaotajwa sana kuhusu ufisadi sasa hivi ni wakina BENJAMIN,EDWARD, BASIL, DANIEL, ANDREW and company? Mbona wakina DAUDI na IDRIS watu wanakaa kimya? Tuseme hii ni conspiracy ya kuwachafua wamisheni? La hasha. Ni wapi ambapo wakina Benjamin na wenzake wamepatikana na hatia ya hayo wanayoshutumiwa? Na hata kama wakipatikana na hatia, kanisa halimtengi mwanakondoo aliyepotea. Ni haki ya Kanisa kuwapongeza waumini wake. Na ni taratibu zinazokubalika kwa wamisheni kufanya misa ya kumshukuru Mungu kwa fadhila zake. tatizo liko wapi basi kwa Benjamin na familia yake kufanya misa ya kushukuru kukamilisha kazi aliyopewa na watanzania salama? Kama alivurunda wakati huo, hilo ni swala lingine. lakini alikamilisha na kukabidhi iliyo na amani kwa anaemfuata. Si viongozi wengi wa kiafrika wameweza kufanya hivyo. Kama Ali Hassan alitoa sadaka alipokamilisha n'gwe yake hakuna atakaemlaumu. Ndiyo taratibu za imani yao na huko tusiwaingilie.

Pole sana. Halafu nawe unajiona upo katika mapambano dhidi ya ufisadi? Si ajabu wengine wakaita haya ni Mapambano ya mafisadi na sio mapambano dhidi ya ufisadi...

Kwa nini ashindwe kuyaweka wazi? Lakini mbona hamtaki kusema tatizo la waraka liko wapi? Kwamba kila ambacho mapadili watakachokifanya ni lazima waangalie wasiwaumize waislamu? Hata kama ni kwa maslahi ya waumini wao na hawavunji sheria? Wenye busara na uvumilivu wangeuangalia huu waraka kama ulivyo. Waraka kwa waumini wao kuwaongoza katika kupata kiongozi bora bila kuangalia dini yake. Au waraka unasema lazima awe mkatoliki? Au mnaamini kuwa asiye mkatoliki hawezi kutimiza vigezo vilivyomo kwenye waraka huo. Msitake kutupeleka kubaya.Hii nchi ni yetu sote, wamisheni, waislamu, wahindu, mabudha, wabaha'i, rasta, wanaofuata tamaduni, wasio na dini, wasio amini Mungu n.k. Hakuna mwenye haki zaidi ya mwenzie.

Mzee Kingunge anaweza kuwa na style yake na mimi Omarilyas nikawa na style yangu. Kumbuka Mzee Kingunge ana asasi za kisiasa zilizo juu yake wakati mimi sina hilo hivyo nipo tayari kuibua yote hata yale ambayo wengi wanaogopa ama wanaona haya kuyaibua.Tatizo sio yaliyomo katika waraka bali ni hali ya mahusiano ya kijamii, mazingira ya kisiasa na historia ya mahusiano kati ya URAIS wa Tanzania na Kanisa la Katoliki ambayo kwa pamoja yanaleta maswali mengi kuhusu nia haswa ya Waraka huo hivi sasa. Lakini pia si uwongo kuwa kuna baadhi ya sentensi ama maagizo yaliyomo katika waraka na pia maelekezo ya KIUCHUNGAJI yaliyoambatana na waraka huo yanatia shaka kama vile lile la kuhusu vigezo vya nani wa kuchaguliwa. Maana ni wazi wapo Waislamu wanaoamini kuwa mradi tu wewe ni mkristo basi umepotoka na hauwezi kuwa muumini wa kweli kwa Mwenyezimungu na wapo wakristo wanaoamini kwa dhati kabisa kuwa mradi wewe tu ni muislamu basi kamwe hauwezi kuwa muumini wa kweli wa Mwenyezimungu. Na bahati mbaya wengi wetu ndivyo tumefundishwa kuanzia misikitini na makanisani hadi majumbani kuwa na mitizamo hiyo.

Amandla......

Hii Amandla hata Jacob Zuma anaisema pia tena kwa mikogo kibao...
 
Ndugu yangu inaelekea sekta ya uandishi wa habari hauifahamu ama umeamua tu kuitumia makala hiyo kuhalalisha mtazamo wako. Ni muhimu kujua kuwa Tanzania kama katika nchi nyingi duniani kuna UHANDISI WA HABARI ambao kazi yake haitofautiani na wale wahubiri wa dini wanaotumia nusu sentensi ya Biblia ama Msahafu kuhalalisha misimamo yao. Ndio maana mimi kwa kuwa nawajua wote Ally na Abbas na kwa kuwa najua malengo yake na mitazamo ya gazeti la Al Huda, sijakimbilia kuamini kuwa wazee hawa wawili wamefikia kum-attack Nyerere waziwazi. Najua kuwa ingawa wana tofauti zao na Mwalimu lakini pia wanamheshimu na kuthamini sana mchango wa Mwalimu zaidi ya kiongozi yeyote yule katika historia ya nchi yetu.
Kwa hiyo unachotaka kutuambia ni kuwa wazee hao ni wanafik? Wanaweza kumsemea vibaya Mwalimu nyuma ya mgongo wake lakini hadharani hawawezi? Inawezekana kabisa kuwa mwandishi wa habari ame wa 'quote out of context' na kuwawekea maneno vinywani mwao. Lakini kama ni hivyo kwa nini wasisahihishe rekodi na kusema wazi kuwa wamesingiziwa? Ni watu kama nyinyi mlio karibu nao ndiyo mnaotuletea maneno ambayo pengine wasingetaka wahusishwe nayo hadharani. Ni nyinyi mnao dai mko karibu nao ndiyo mnaotuambia kuwa wana kinyongo na waislamu kuwekwa pembeni na Nyerere. Sisi yote hayo tusingeyajua bila watu kama nyie kuyaleta hadharani. Na yameanza kabla hata ya huyu mwandishi wa Al Huda kuyaandika ndiyo maana yanapewa credibility. Na kama wazee hawa wanayasema pale wanapojua kuwa jumuia haitawasikia basi ni hatari zaidi kuliko kuyasema wazi.

Kuhusu kuvunja East African Muslim Walfare Society na kuanzisha Bakwata, hata mimi ambaye najiona kama ni mmoja wa "wajinga"(kwa muono wa wanaojiona werevu) wachache ambao wanaamini Mwalimu ndio nguzo pekee ya UTANZANIA tuliyobaki nayo na walio tayari kusimama bila ya woga wala unafiki kulinda sifa na mafanikio ya Mwalimu nchini, naamini alifanya makosa makubwa na zaidi kuanzisha BAKWATA ambayo ndiyo miaka nenda miaka rudi adui mkubwa wa maendeleo ya waislamu kama jamii kubwa nchini na hata kutishia usalama wa taifa letu huko tuendako. Sababu za kuvunja EAMWS na kuanzisha kibaraka BAKWATA hazina tofauti na ambavyo Kanisa la Katoliki (naomba unielewe kuwa sio wakristo ama wakatoliki) limekuwa likifanya miaka yote na haswa pale rais asipokuwa mmoja wao.

Hili la waraka ni moja kati ya mambo madogo sana ya kutishia utawala kama ambayo kanisa kama asasi limekuwa likiyafanya ambayo ama kwa kujua au kutojua yamekuwa yakihatarisha maslahi ya watawala na zaidi kwangu mimi yakipanda mbegu za chuki miongoni mwa jamii za kitanzania na kuhatarisha amani yetu ambao wengi tunapenda kuipigania na wakati huohuo tunaivunja.
Mbona mzigo wote wa kuivunja EAMWS mnataka kumtupia Nyerere? Mnakataa kuona mchango wa uroho na kutovumiliana uliomo katika baadhi ya waislamu? Tofauti hizi ndiyo mpaka leo zinarudisha nyuma maendeleo katika jamii ya waislamu. Mnasahau kuwa hiyo EAMWS ilionekana ya wahindi ( Ismailia) na waarabu zaidi na hivyo kupingwa na baadhi ya waislamu weusi? Mbona wakina Sheikh Abdallah Chaurembo nao walikipinga? Mbona Sheikh Abeid Karume nae alikilaani? Hao wote ni wakatoliki? Si Kanisa Katoliki, si wakatoliki, si wakristu na hata wakati akiwa hai, si Mwalimu Nyerere pekee ndiyo waliopelekea kufa kwa EAMWS. Na hata kama Nyerere aliona EAMWS ni tishio kwake, haiwezekani ikawa yeye aliona ni tishio kwa utawala wake lakini si umisheni wake?

Unadai kuwa Kanisa Katoliki limekuwa likipanda mbegu za chuki katika jamii yetu bila kutoa mifano. Na wale ambao kila kukicha kwa vipaza sauti, wanatangaza si mafunzo juu ya dini yao bali kebehi na matusi juu ya dini nyingine, hao hauoni kuwa wanapandikiza chuki katika jamii? Niambie ni lini na wapi hao wakatoliki wametukana au kukebehi dini au dhehebu lingine?

Mtazamo kuwa wanajiogamba kuwa wanapinga ufisadi wanafanya hivyo kwa sababu hawawapendi waislamu sio mtazamo wangu kwani najua zaidi nini kinachoendelea katika siasa za nchi yetu, lakini huo ndio mtazamo wa walio wengi ndani ya jamii ya kiislamu nchini. Lakini pia ujue kuwa wengi wa wanaojidai kuwa wapinga ufisadi wamekosa MORAL AUTHORITY ya kusema hayo kwani wao pia ni mafisadi wa kutupwa, iwe ufisadi wa kijamii, kiroho, kisiasa na hata kiuchumi. Wengi wao hapo kabla walikuwa nab ado wanaendelea kuwa wachangiaji na walinzi wa kuu wa mfumo fisadi kwa kupamba kwa mapambio ya kuvutia madhabahu ya mfumo fisadi huu.

Na kanisa ama Mama Maria walipaswa kutambua hilo na kuwa makini zaidi kwa hatua wanazochukua na kina nani wanashirikiana nalo katika hatua hizo kama kweli nia yao ya dhati ni kuwasaidia WATANZANIA kuondokana na janga hili la UFISADI (sina wasiwasi na hilo kwa upande wa Mama Maria). Na kwa taarifa yako mimi sio mpuuzi, fisadi wala mjinga kama unavyodhani bali uelewa na utaalamu wa siasa ndio kazi yangu niliosomea, kuipenda na kuitumikia kwa dhati.
Hii 'holier than thou attitude' ndiyo inayotusumbua. Kanisa katoliki halikulenga waraka wake kwa watanzania wote bali wale ambao wanawajibika kwao. Tatizo bado silioni maana hakuna mahali ulipoweza kuelezea ni kwa namna gani waraka huo unaweza kuwa divisive? Kwani Mama Maria amewahi kujificha kuwa yeye ni mkatoliki? Sasa kuna tatizo gani yeye akitetea kitu kilicholetwa na viongozi wake ( wa kiroho ) ambacho haoni ni kwa namna gani kinaingilia uhuru wa yule asiye mkatoliki?

Mama Maria akiwa kama mke wa BABA WA TAIFA anapaswa kuwa makini na nafasi yake katika jamii. Yeye ni STATESWOMAN na wengi tunamuangalia kama kimvuli cha MWALIMU ambaye ni kiongozi wa watanzania wote. Anapotoa matamko ya kisiasa katika hadhira kama aliyokuwepo na watu kama alioambatana nao ni wazi ujumbe wake utatafsiriwa vibaya kama vile kuhalalisha muono wa hadhara hiyo na alioambatana nao kama MENGI ambaokatika jamii ni DIVISIVE factor. Hilo pia lipo kwa upande wa ALLY na ABBAS SYKES ambao kama waasisi wa TANU ambayo ni asasi muhimu katika ujenzi wa UTANZANIA wanapaswa pia kuwa juu zaidi ya misimamo ya kimakundi inapokuja masuala ya siasa za nchi yetu. Haki wanayo lakini wote (MAMA MARIA na kina SYKES) wanapaswa kuwa makini sana na jinsi wanavyotumia haki hiyo na kutekeleza majukumu yao tofauti na wewe unayetumia jina la kivuli hapa.
Nakubaliana na wewe kwa kiasi fulani. Sidhani kuwa Mama Maria tunaweza kumuita Stateswoman. Hata wakati wa uhai wa mume wake hakujiingiza kwenye siasa. Hakuwa kama Hillary wa Bill Clinton. Alikuwa mke wa Mwalimu, period. Haya mengine tunataka kumpachika sisi. Wakina Sykes walikuwa active kwenye siasa, kwa hiyo wanayoyasema yana uzito tofauti na anayoyasema Mama Maria. Lakini pamoja na kusema hivyo, nakubali kuwa wote jukwaa lao ni kubwa katika nchi yetu na wanapaswa kuwa waangalifu katika yale wanayoyasema, hadharani na hata wakiwa wenyewe.

Kwanza wamisheni ni kundi gani na linahusikaje katika mjadala huu? Inawezekana kuwa kweli unalitakia mema taifa letu lakini mema hayo hayawezi kupatikana kwa kuwa na mitizamo ya dharau, kejeli na shutuma kwa wenye fikira zilizotofauti na wewe.
Wamisheni ni watu kama mimi ambao tulisomea shule za misheni au tulibatizwa katika dini iliyoletwa na wamisheni. Sasa hiyo kejeli, dharau na shutuma zinahusiana nini na mimi kujiita mmisheni? Ni wapi ambapo nimekuonyesha yote hayo unayoyasema?

Kwanza ni lazima ujue uandishi wa historia kamwe hauwezi kuwa kitu kisichobadilika. HISTORIA wakati wote huandikwa na wenye nguvu (STRONGMEN) kwa minajili ya maslahi yao na ndivyo ilivyokuwa na bado ilivyo katika Tanzania yetu. Historia ya Tanganyika iliandikwa ikimzunguka MWALIMU (STRONGAMANS THESIS) na TANU na baadaye CCM wakati wa historia ya Zanzibar iliandikwa ikimzunguka KARUME na Mapinduzi ya 1964. Katika enzi hizi ambazo kwa kiasi fulani zinatoa mwanya kwa wenye ushahidi na mitizamo tofauti na historia iliyopo kutoa mitazamo yao, ni kitu cha kawaida kutokea watu wanopingana na kila tunachodhani kuwa ndio ukweli na hilo ni moja ya misingi ya maendeleo katika jamii yoyote ile.
Kwani nani kapinga hicho? Ninachopinga ni kuhusisha ukristu na utawala wa mwalimu. Ninachopinga ni kuiandika upya historia kwa misingi ya udini au ukabila. Na mpaka sasa hakuna ushahidi wa hiyo tafsiri ya hao wanaosema otherwise.

Yaani unaonyesha jinsi gani muono wako ulivyo finyu katika suala hili la UFISADI kwa kudhani ni suala la PERSONALITY na pengine imani zao. Ufisadi ni suala la kimfumo na tunachokiona hapa ni tofauti za kizenzi tu na jinsi gani ulivyoshughulikiwa. Kuna ufisadi wa enzi za Ujamaa, Ufisadi wa enzi za ruksa, ufisadi wa enzi za uwazi na ukweli na sasa tupo katika ufisadi wa Ari Mpya...
Sasa anaetumia lugha ya kebehi ni nani? Hakuna kitu kipya au cha msingi ulichozungumza. Huo ufisadi unafanywa na nani kama si watu? Kibaya ni mfumo au watu wanaoutumia kifisadi?

Pole sana. Halafu nawe unajiona upo katika mapambano dhidi ya ufisadi? Si ajabu wengine wakaita haya ni Mapambano ya mafisadi na sio mapambano dhidi ya ufisadi...
Asante. Nimeisha poa.

Mzee Kingunge anaweza kuwa na style yake na mimi Omarilyas nikawa na style yangu. Kumbuka Mzee Kingunge ana asasi za kisiasa zilizo juu yake wakati mimi sina hilo hivyo nipo tayari kuibua yote hata yale ambayo wengi wanaogopa ama wanaona haya kuyaibua.Tatizo sio yaliyomo katika waraka bali ni hali ya mahusiano ya kijamii, mazingira ya kisiasa na historia ya mahusiano kati ya URAIS wa Tanzania na Kanisa la Katoliki ambayo kwa pamoja yanaleta maswali mengi kuhusu nia haswa ya Waraka huo hivi sasa. Lakini pia si uwongo kuwa kuna baadhi ya sentensi ama maagizo yaliyomo katika waraka na pia maelekezo ya KIUCHUNGAJI yaliyoambatana na waraka huo yanatia shaka kama vile lile la kuhusu vigezo vya nani wa kuchaguliwa. Maana ni wazi wapo Waislamu wanaoamini kuwa mradi tu wewe ni mkristo basi umepotoka na hauwezi kuwa muumini wa kweli kwa Mwenyezimungu na wapo wakristo wanaoamini kwa dhati kabisa kuwa mradi wewe tu ni muislamu basi kamwe hauwezi kuwa muumini wa kweli wa Mwenyezimungu. Na bahati mbaya wengi wetu ndivyo tumefundishwa kuanzia misikitini na makanisani hadi majumbani kuwa na mitizamo hiyo.
Na ulichotaka kusema haswa nini? Kwamba hao ambao wanaoamini kuwa mtu asiye wa dini yake amepotoka kwa hiyo hastahili kuwa kiongozi ndio watapata nguvu zaidi kutokana na waraka huu? Unaamini kweli kuwa Mwinyi, Mkapa na Kikwete walishinda kutokana na kura za watu wa dini zao peke yao? Unaamini kweli kuwa Julius na Benjamin walipewa urais na Kanisa Katoliki? Na hao nao walichaguliwa kutokana na waraka kama huu? Kama unaamini hivyo basi hakuna kitu ambacho kanisa Katoliki kitakachoweza kufanya usikitilie shaka. Sasa kwa vile watu kama nyinyi mpo basi unategemea Kanisa liache kutekeleza majukumu yake kwa wafuasi wake? Kuna mantiki gani hapo?

Hii Amandla hata Jacob Zuma anaisema pia tena kwa mikogo kibao...
Wengi tu wanaitumia. Si Zuma au Fundi Mchundo peke yao. Mimi nimeiga tu.

Amandla.......
 
Last edited:
Ukweli ni kwamba wakina Sykes walikuwa viongozi wa Tanganyika African Association ambayo kimsingi ilkuwa ni club wa waafrika (waliosoma kiasi) enzi za miaka ya 1950. Vugu vugu ili baadae lilizaa Tanganyika African National Union (TANU) ambacho kilikuwa chama cha siasa. Ukafanyika ushauri ikaonekana Nyerere ndiye mwenye uwezo wa kulisukuma gurudumu la ukombozi mbele kina Sykes wakakaa kando. Sasa hawa ndugu wana kitu kinaitwa 'hangover'. Hangover ni kuwa katika hali ya kitu kilichopita (kama ulevi au madaraka) na hili ndilo tatizo la hawa wazee wetu! Hata Mapalala alianzisha CUF na kina Maalim Seif wakachukua uongozi hatusikii analalama kama kina Sykes. Kwa nini walisubiri Nyerere afe ndio wajitokeze kubishana na hayati!
 
Asante Fundimchundo kwa kutoa hoja kueleza mengi wengi tusiyoyajua.

Ila kwa watu makini, hawa ndugu zetu tungeona matunda yao kwa hatua zao za kimaendelea hivi sasa.

1. Ni vigumu kukuta shule nzuri ya kiislamu, nyingi ni shule mbaya na huwa wanafe;i vibaya mno

2. Ni vigumu kukuta hospitali ya kiislam iliyoradhi kutibu wakristo, kama ambavyo za wakatoliki zinavyofanya kila kona ya nchi.

3. Ni vigumu kukuta mambo ya kimaendeleo na constructive ideas from waislamu wao siku zote ( kudai haki, wanaonewa, tusaidiwe, wavivu, mnapendelea wakristo)

Dunia tunayoenda hao Al Huda wanawapotosha wasomaji wake, kesheni mkisema habari za Nyerere, malecela, wakristo, Huyo JK ameshawauza kwa wazungu miaka mingi, Mwinyi alifungua globalisation.DUNIA YA SCIENCE HII, YA ELIMU HII, YA MASHINDANO HII!,

TUNAKOENDA SIKUZOTE WAISLAMU WATAKUWA WATUMWA WA WAKRISTO NA WAGENI! KAMA KWA AKILI ZENU MNAONA KUENDELEA NI KUPEANA MOYO KUWA 'mnaonewa' ili hali kila kitu mnacho cha kuwaendeleza'

Mtakuwa watumwa wa watoto wa kikristo dunia nzima, na wale waislamu wenye akili na wasomi, hawana muda wa kusoma wala kusikiliza utumbo huo, hawana muda huo, they know reality and reality is what life is!

Mtakimbia kutoka city center, mtaenda tegeta na kisarawe na bagamoyo ,huko mnako mnakimbizwa HAMKAI CHINI NA KUJIULIZA where went wrong, Nyerere ameshafariki though!
 
thank you u have just narrated in a nut shell what is in the heads of our friends muslims.try to be practical stop complaining,because as u complain we are matching foward and when u awake again u find us quite far from u.this is the time stop entertaining madrassa issues and force ur infants to 'swallow' the quran. if u want it like that then keep ur mouth shut, development is not for u, is for people who are serious and determined to acquire it. thanks
 
Kirinjiko Islamic, Mudio Islamic, Nyasaka Islamic

[/QUOTE]TUNAKOENDA SIKUZOTE WAISLAMU WATAKUWA WATUMWA WA WAKRISTO NA WAGENI! KAMA KWA AKILI ZENU MNAONA KUENDELEA NI KUPEANA MOYO KUWA 'mnaonewa' ili hali kila kitu mnacho cha kuwaendeleza'

Mtakuwa watumwa wa watoto wa kikristo dunia nzima, na wale waislamu wenye akili na wasomi, hawana muda wa kusoma wala kusikiliza utumbo huo, hawana muda huo, they know reality and reality is what life is! [/QUOTE]

Huwezi tugawa kwa njia hiyo. Sisi hatutembei na Kinyesi. Ipo siku tutaheshimiana na si mbali. Tukana upendavyo. Ila ufahamu shule tumekwenda na ofisini tupo wote. Tunawajuweni vilivyo. Daudi Mwakawago si Juma Kapuya.

[/QUOTE]Mtakimbia kutoka city center, mtaenda tegeta na kisarawe na bagamoyo ,huko mnako mnakimbizwa HAMKAI CHINI NA KUJIULIZA where went wrong, Nyerere ameshafariki though [/QUOTE]

Tegeta, Kimara, Mbezi hatwendi na hatupo. Tupo Manzese, Buguruni, Temeke na Kinondoni tumegawana nanyi ila bado idadi yetu ni kubwa. Kuna siku tutaheshimiana tu na matusi yatakwisha.

Wanaume huwa hawaongei sana. Get prapared.
 
thank you u have just narrated in a nut shell what is in the heads of our friends muslims.try to be practical stop complaining,because as u complain we are matching foward and when u awake again u find us quite far from u.this is the time stop entertaining madrassa issues and force ur infants to 'swallow' the quran. if u want it like that then keep ur mouth shut, development is not for u, is for people who are serious and determined to acquire it. thanks

Na wewe unajiona uko serious? Wenzako wanajadili wewe unaleta mipasho...

Unadhani kuharibikiwa kwa mwenzio ndio neema yako, vuta subira uone matokea ya huo ushindi unaoshabikia...

omarilyas
 
Mimi nawachukia watu wanaoendekeza udini! kwani hapa msikitini au kanisani? nenda kwenye jukwaa la dini mkabishane haya mambo yenu.

Mimi binafsi nachukia sana. aliyokuwa anayakataa Nyerere ndiyo haya mnayaleta ya kuangaliana kwa misingi ya dini zenu na kujadili hoja kwa misingi ya dini zenu.

Iam sorry to say this lakini huwa wakati mwingine ninaona kuna upande una inferiority complex kwasababu ya dini yao. sasa tukijitizama katika hiyo misingi tutachukiana na tutashindwa kufanya kazi pamoja huku tukijiapiza kwamba watu wa dini hii watakuwa juu kuliko wa dini nyingine n.k utafikiri mna nguvu za kimungu.

Hebu jamani tupambane kupigania kuondoa umaskini katika taifa letu badala ya kuwa busy na mambo yasiyokuwa na tija.

Dini zinatusaidia kuishi maisha ya kumpendeza mungu hapa duniani kila mmoja katika imani yake lakini haipaswi kutumika kutugawa kwa misingi ya imani ya mtu.

I wish tungekuwa hatuweki thread za namna hii mahali kama hapa au kama zikiwekwa basi ziwekwe kwenye jukwaa la dini huko.
 
asante fundimchundo kwa kutoa hoja kueleza mengi wengi tusiyoyajua.

Ila kwa watu makini, hawa ndugu zetu tungeona matunda yao kwa hatua zao za kimaendelea hivi sasa.

1. Ni vigumu kukuta shule nzuri ya kiislamu, nyingi ni shule mbaya na huwa wanafe;i vibaya mno

2. Ni vigumu kukuta hospitali ya kiislam iliyoradhi kutibu wakristo, kama ambavyo za wakatoliki zinavyofanya kila kona ya nchi.

3. Ni vigumu kukuta mambo ya kimaendeleo na constructive ideas from waislamu wao siku zote ( kudai haki, wanaonewa, tusaidiwe, wavivu, mnapendelea wakristo)

dunia tunayoenda hao al huda wanawapotosha wasomaji wake, kesheni mkisema habari za nyerere, malecela, wakristo, huyo jk ameshawauza kwa wazungu miaka mingi, mwinyi alifungua globalisation.dunia ya science hii, ya elimu hii, ya mashindano hii!,

tunakoenda sikuzote waislamu watakuwa watumwa wa wakristo na wageni! Kama kwa akili zenu mnaona kuendelea ni kupeana moyo kuwa 'mnaonewa' ili hali kila kitu mnacho cha kuwaendeleza'

mtakuwa watumwa wa watoto wa kikristo dunia nzima, na wale waislamu wenye akili na wasomi, hawana muda wa kusoma wala kusikiliza utumbo huo, hawana muda huo, they know reality and reality is what life is!

mtakimbia kutoka city center, mtaenda tegeta na kisarawe na bagamoyo ,huko mnako mnakimbizwa hamkai chini na kujiuliza where went wrong, nyerere ameshafariki though!
feza sekondary school ni ya waislam unasemaje?
 
Asante Fundimchundo kwa kutoa hoja kueleza mengi wengi tusiyoyajua.

Ila kwa watu makini, hawa ndugu zetu tungeona matunda yao kwa hatua zao za kimaendelea hivi sasa.

1. Ni vigumu kukuta shule nzuri ya kiislamu, nyingi ni shule mbaya na huwa wanafe;i vibaya mno

2. Ni vigumu kukuta hospitali ya kiislam iliyoradhi kutibu wakristo, kama ambavyo za wakatoliki zinavyofanya kila kona ya nchi.

3. Ni vigumu kukuta mambo ya kimaendeleo na constructive ideas from waislamu wao siku zote ( kudai haki, wanaonewa, tusaidiwe, wavivu, mnapendelea wakristo)

Dunia tunayoenda hao Al Huda wanawapotosha wasomaji wake, kesheni mkisema habari za Nyerere, malecela, wakristo, Huyo JK ameshawauza kwa wazungu miaka mingi, Mwinyi alifungua globalisation.DUNIA YA SCIENCE HII, YA ELIMU HII, YA MASHINDANO HII!,

TUNAKOENDA SIKUZOTE WAISLAMU WATAKUWA WATUMWA WA WAKRISTO NA WAGENI! KAMA KWA AKILI ZENU MNAONA KUENDELEA NI KUPEANA MOYO KUWA 'mnaonewa' ili hali kila kitu mnacho cha kuwaendeleza'

Mtakuwa watumwa wa watoto wa kikristo dunia nzima, na wale waislamu wenye akili na wasomi, hawana muda wa kusoma wala kusikiliza utumbo huo, hawana muda huo, they know reality and reality is what life is!

Mtakimbia kutoka city center, mtaenda tegeta na kisarawe na bagamoyo ,huko mnako mnakimbizwa HAMKAI CHINI NA KUJIULIZA where went wrong, Nyerere ameshafariki though!

una list ya mwaka gani?? au unataka upate update? sie hatujitangazi mambo yetu taratibu ukitaka ufahamu angalia idadi waislam vyuo vikuu na waulize mmetokea wapi ndio utajua shule zetu ni za mikiani au la, baki hivyohivyo na list unayoifahamu,

sasa tunapambana na masters na phd, tunazo na bado zinaongezeka kwa kasi endelea kuzungumzia historia enzi ya baba wa taifa, kuwa kuna alharamain na kinondoni muslim tu, propaganda za baba zimepita, waliolalal wameamka!!!!!
 
Back
Top Bottom