Akina dada wachoyo sana.

Akina dada wachoyo sana.

Mwanaume unatamani kusifiwa kwa uzuri?seriously?tafuta pesa ndugu,sifa kaumbiwa mwanamke,me hakuna kitu nakichukia kama kuambiwa nimependeza.
 
tukiwasifia huwa mnapotezea hivi. mfano katoka saluni unamsifia baby umependeza anajibu aah kawaida tu.
 
Back
Top Bottom