Akina dada muwe mnajiandaa kisaikolojia

Akina dada muwe mnajiandaa kisaikolojia

Hah Ha haa. Hukuzima taa mdau? Ungeingizia gizani angeshangaa ishazama.
 
Hahhahahha,vunja ukimya ongea nae,btw mbona wahesabu gharama,unamnunua???
Nani alikwambia kuna cha bure siku hizi? Kanuni inayotumika ni "kula uliwe". Hata hivyo mhusika mkuu (mm) alifanikiwa kula bila kuliwa.
 
Hahhahahha,vunja ukimya ongea nae,btw mbona wahesabu gharama,unamnunua???
Nani alikwambia kuna cha bure siku hizi? Kanuni inayotumika ni "kula uliwe". Hata hivyo nasikitika mhusika mkuu (mm) alifanikiwa kula bila kuliwa.
 
Weka picha

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Sikutaka kumkomesha,bali nilitaka malipo halali kwa hudma nilizotoa kwake. Ndiyo maana nasema unapokuwa unakula cha mtu uwe umejiandaa kisaikolojia kwa lolote utakalokumbana nalo, iwe kibamia au mhogo wa jang'ombe.

hahaha! Eti mhogo wa jang'ombe! loh!
 
Hehehe, si na wewe ungemuambia wakati unamtongoza kuwa Una xxl? Ungesema wala ysingejihangaisha kutumia vijisenti vyako.
Sikutaka kumkomesha,bali nilitaka malipo halali kwa hudma nilizotoa kwake. Ndiyo maana nasema unapokuwa unakula cha mtu uwe umejiandaa kisaikolojia kwa lolote utakalokumbana nalo, iwe kibamia au mhogo wa jang'ombe.
 
Safi sanaaaa....Nampa pongezi huyo dada!!Ndo ukome kuhonga honga ovyo,

Kama unashida ya papuchi kiasi hicho oa mke wako uwe unajiseviaaaa
 
kwi kwiiiiiiiiiiiiiiiiiii

nimempenda bure huyo bibie...
popote alipo kula 5 mwanangu.
 
Unakunywa pombe zangu tena kwa fujo sana, Natumia pesa zangu kukodi taxi, Natumia pesa zangu kukodi chumba tena hotel ya maana ili kukufurahisha wewe. Tunafika chumbani unaanza "Likubwa mimi siwezi".

Shenzi kabisa, ulipokuwa unaniingiza gharama wewe ulitegemea nini? Ulidhani mimi mjomba wako? Ndiyo maana nasema muwe mnajiandaa kisaikolojia kwamba chochote utakachokutana nacho utakuwa tayari kukabiliana nacho.

Mhusika ukisoma uzi huu ujue jana umeniudhi sana, shenzi x 10


Mkuu ebu weka sawa mwisho wa siku ilikuaje bila bila ama, namaanisha alikuboa tu malalamiko tu ila mechi ulishinda
 
Lipunguze hilo likubwa,utamfanya shimo mwenzio!!!!!
 
kwi kwiiiiiiiiiiiiiiiiiii

nimempenda bure huyo bibie...
popote alipo kula 5 mwanangu.

Hahahaaa kajionea cha kutenguana maungo nini... maana issue nyingine noumer...! Lol fuso ikishakatiza akijakupanda kibajaji itakuwaje
 
Hahahaahh wengine wanalalamika vibamia hawataki,,wengine mihogo hawaiwezi
Umepatikana haswaaaaa faida za zinaa izo MUFLIS
 
Safi sanaaaa....Nampa pongezi huyo dada!!Ndo ukome kuhonga honga ovyo,

Kama unashida ya papuchi kiasi hicho oa mke wako uwe unajiseviaaaa
Kwani unadhani sina mke? Hapo nilikuwa kwenye mchepuko tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom