Akina dada muwe mnajiandaa kisaikolojia

Akina dada muwe mnajiandaa kisaikolojia

Unakunywa pombe zangu tena kwa fujo sana, Natumia pesa zangu kukodi taxi, Natumia pesa zangu kukodi chumba tena hotel ya maana ili kukufurahisha wewe. Tunafika chumbani unaanza "Likubwa mimi siwezi".

Shenzi kabisa, ulipokuwa unaniingiza gharama wewe ulitegemea nini? Ulidhani mimi mjomba wako? Ndiyo maana nasema muwe mnajiandaa kisaikolojia kwamba chochote utakachokutana nacho utakuwa tayari kukabiliana nacho.

Mhusika ukisoma uzi huu ujue jana umeniudhi sana, shenzi x 10

Wewe ndo tatizo kwanini hukumwambia tangu mwanzo kuwa unataka kumgegeda kabla hata hamjaanza kunywa au wakati mnakunywa ungemweleza jinsi unavyotaka mkimaliza kunywa. Nadhani umejifunza siku nyingine hutarudia tena
 

....miaka ya nyuma hivi huko DAR alikuwepo fundi Cherehani aitwaye MAUMBA, yeye alikuwa anatumia mafuta ya ASHANTI..


Dah!!! mafuta ya Ashanti ya zamani sana, naikumbuka sana ile harufu yake nzuri...
 
Dah!!! mafuta ya Ashanti ya zamani sana, naikumbuka sana ile harufu yake nzuri...
Soko la mafuta haya liliisha baada ya Fundi Cherehani Maumba, kugundulika alikuwa akiyatumia kama "lubricant" wakati aki-walawiti watoto wa Shule....

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom