miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
huo mlomo huo utakuponza ohoo!
ha ha ha ha ha mkuu unataka kufanyaje?
huo mlomo huo utakuponza ohoo!
Mimi nini mkuu? Kama ni mimi umepatia, kuna mambo meengi yanasababisha mtu kuolewa/kutokuolewa au kuoa/kutokuoa....ukiangalia kwa sababu za juu juu unaweza ukaungana na mkuu Mgirik katika sababu alizotoa.
Hiyo ni ndoa au business partnership?
- kwanza lazima uwe na miradi isiyopungua miwili mkubwa inayoelewaka
- sura haimati tutavumiliana
- lazima uwe na assets zinoeelwaka
- uwe na mipango na mikakakti ya kuwatunza wanao lazim uiweke mezani niangalia kama unaweza kuwa baba
- ujiandae kunipa zawadi ya nyumba ya kisasa
- kichwani uwe na akili za kutosha si kila kitu kikimbilia kwa wazazi na ndugu ..
How is monile for every body: Leo nmeona niwape vipande vyao hawa akina dada kuanzia umri wa miaka 30 na kuendelea ambao bado hawajaolewa, utakuta mdada mtu mzma kabisa ana umri wa miaka zaidi ya 30 anatafuta wanaume wa kumuoa kwa kuweka mashart lukuki tena magumu.
Mara nataka mwanaume handsome,mcha Mungu, mwenye elim ya degree, awe ameajiliwa au anabiashara.
Nabaki kuwashangaa sana nyiyi viumbe, unataka mwanaume mcha Mungu je ww ni mcha mungu? Ungekuwa na tabia nzuri ungefikisha umri huo ukiwa nyumban? Tambua kuwa kitendo cha kufikisha miaka 30 nyumban na huna mume maana yake tabia yako ni chafu hauna hadhi ya kuitwa mama mwenye nyumba au mke wa flan ila hadhi yako ni funuliwa funikwa. Unataka mwanaume handsome ww ni handsome? Kitendo cha ww kuzeekea nyumban maana yake ww ni mbaya huna mvuto wa sura wala tabia ila utakuwa wa kumalizia haja tu kwa wapita njia. Wazuri wote wapo kwenye ndoa zao. Utakuta mwingne alizalia nyumban halafu anakuja naye na sifa zake et nataka mwanaume mnyenyekevu na ambaye hajawai kuoa nyambaaafu ww umezalia nyumban halafu leo unataka mwanaume ambaye hajawahi kuoa for what?
Mm nawaambia msijidanganye hata kidogo, mkitaka masharti hayo mtaishia kufunuliwa tu mpaka akili ziwakae sawa.
KWAHERINI
Du! Nimekoma.
Kwa masharti haya....KWAAHEEERI
- kwanza lazima uwe na miradi isiyopungua miwili mkubwa inayoelewaka
- sura haimati tutavumiliana
- lazima uwe na assets zinoeelwaka
- uwe na mipango na mikakakti ya kuwatunza wanao lazim uiweke mezani niangalia kama unaweza kuwa baba
- ujiandae kunipa zawadi ya nyumba ya kisasa
- kichwani uwe na akili za kutosha si kila kitu kikimbilia kwa wazazi na ndugu ..
angalia ntakupa adhabu ya kunibeba kifuani na kunibana kat kat ya mapaja
Kwa masharti haya....KWAAHEEERI
Hiyo ni ndoa au business partnership?
Nimekuelewa sana mkuu Mgirik...Hata magari used yanashuka bei? Gari la zero KM na Used one bei zinakua tofaut sio? Kwa hiyo kwao ni kinyume sio? Hahahaaa haya mkuu...mkuu nadhan umenisoma jujuu. Lakn ungenieewa kiundan zaidi usingesema hivyo. Nmeongea hvyo kuna namna namaanisha
Sasa nimekuelewa, honera mkuu..........hahahaaaaaaha ha ha haha ha mmmh
Hiyo ni ndoa au business partnership?
Bora mwanamke asiyeolewa kuliko mwanamke aliye divorced.Mtoa mada umejeruhi hisia zangu.
Kua 30 bila ndoa umenihukumu kua
Nina tabia chafu, sina haki ya kuitwa mama mwenye nyumba, hadhi yangu ni kufunikwa na kufunuliwa, ni mbaya sina mvuto wa sura...
Dah... imeniuma sana. Nawaza kama ndivyo jamii ituonavyo MUNGU awe Wakili wetu.
Maisha yana changamoto nyingi, mahusiano pia yana changamoto zake.
Ila katika yote namshukuru Mungu anaetupa pumzi, furaha na Amani.
mm bado nmekumbana na masharti hayo ndio maana
Sasa nimekuelewa, honera mkuu..........hahahaaaaaa
Kuna maisha mazuri na matamu kuliko hiyo ndoa mfyuuuuuuuuu...... eti kisa na miaka 30 ndiyo nichukue makapi nani kasema lazima ukidhi vigezo na mashart nyooooooo..... 30 mtuache eti ndoa ... ndoa zenyewe mnaziweza peleka huko pumbafu kabisa
binti usijali your still young and beutfullMtoa mada umejeruhi hisia zangu.