Akina dada msijidanganye

Akina dada msijidanganye

Ahahaha! nadhani mmeshamjua.

yani wewe unasema mimi ndiyo nimekataa kuolewa na huyu ,... sijui ni nin na nini?
ndoa ni tatizo duniani na inaleta umaskini na magonjwa mtu unaolewa na miaka 25 ukifikisha 30 upo kama kibibi kilichokosa matunzo nani kasema ndoa ndiyo kila kitu?..... pumbafyu kabisa wanaume wenyewe wa kuoa ni wapi hasa msiojielewa zaidi ya kukojoa tu kukimbia wake zenu a kwenda kwenye michepuko..... wanawake msidanganyike kukimbilia ndoa hawa wanao ongea ongea hawaijui ndoa vizuri...... yani yani natamani ningekuona nikupe maneno ya live
 
vp unataka tujaribu kuoanisha nyota nn? Bado sijaoa mkuu

Unazungumzia raha ya ndoa kumbe hata huijui ilivyo??
Huwezi kuzungumzia raha ya kitu kama huna uzoefu nacho.
Siwezi Kujaribu Kuoanisha nyota maana najua ndoa sio swala la kujaribu,
Kama umeweza kuwahukumu wanawake wenye huo umri kisa hawajaolewa,na kuconclude sababu zako ulizojiaminisha mwenyewe,
Nina Wasiwasi Kama Utaweza Kuendesha Ndoa Yako Vyema.
Angalia Usijefikiri Umesimama Ukajikuta Umeanguka.
 
Life is choice so let girls choose na sio kuwasimanga eti wanatabia mbaya huo ni ujinga
 
mkuu hata mm nawaongelea wale ambao ni selective.
Masharti lukuki utafikir wao hawana kasoro

sawa mkuu hata mimi huwa wananiboa sana hawa. Utadhan wao ni malaika hawana doa mwisho wa siku wakishakuwa wakubwa ndo wanatafta na hawapat maamuz ya mwisho wengne wanachagua kuwa single mumz. Wanakera sana TEAM mavigezolukuki
 
Last edited by a moderator:
mkuu mbona povu? Hii ni sawa na kurusha jiwe gizan. Ukisikia wiiiiii! Uju target imetimia
Teh teh. Ngoja niendelee kusoma mapovu zaidi. Mwenye povu jingi nahisi atakuwa around 34 and up!
 
sawa mkuu hata mimi huwa wananiboa sana hawa. Utadhan wao ni malaika hawana doa mwisho wa siku wakishakuwa wakubwa ndo wanatafta na hawapat maamuz ya mwisho wengne wanachagua kuwa single mumz. Wanakera sana TEAM mavigezolukuki

kweli kabisa mkuu yaan wanakatisha tamaa mno
 
Last edited by a moderator:
Hahaha mkuu uzi utakuwa wa makavu live soon
Du! Nimekoma.

yani wewe unasema mimi ndiyo nimekataa kuolewa na huyu ,... sijui ni nin na nini?
ndoa ni tatizo duniani na inaleta umaskini na magonjwa mtu unaolewa na miaka 25 ukifikisha 30 upo kama kibibi kilichokosa matunzo nani kasema ndoa ndiyo kila kitu?..... pumbafyu kabisa wanaume wenyewe wa kuoa ni wapi hasa msiojielewa zaidi ya kukojoa tu kukimbia wake zenu a kwenda kwenye michepuko..... wanawake msidanganyike kukimbilia ndoa hawa wanao ongea ongea hawaijui ndoa vizuri...... yani yani natamani ningekuona nikupe maneno ya live
 
am 30 mtu atakayenioa ni yule aliyekidhi vigezo vyangu na mie nigeze vyake.....hatuoani hivi hivi kama hamna compatibility/chemistry!

Kama upo hot then demand hot mwenzio otherwse kaushaaaa
 
Huu uzi kuna member flani piga ua ni lazma aje apingane na mwanzisha mada.
ngoja nimsubiri aje.
Mimi nini mkuu? Kama ni mimi umepatia, kuna mambo meengi yanasababisha mtu kuolewa/kutokuolewa au kuoa/kutokuoa....ukiangalia kwa sababu za juu juu unaweza ukaungana na mkuu Mgirik katika sababu alizotoa.
 
Last edited by a moderator:

Attachments

  • 1406096785709.jpg
    1406096785709.jpg
    8.8 KB · Views: 285
hebu npe vigezo mapema ili nijue kama naingia kwenye competation au la

  • kwanza lazima uwe na miradi isiyopungua miwili mkubwa inayoelewaka
  • sura haimati tutavumiliana
  • lazima uwe na assets zinoeelwaka
  • uwe na mipango na mikakakti ya kuwatunza wanao lazim uiweke mezani niangalia kama unaweza kuwa baba
  • ujiandae kunipa zawadi ya nyumba ya kisasa
  • kichwani uwe na akili za kutosha si kila kitu kikimbilia kwa wazazi na ndugu ..
 
Life is choice so let girls choose na sio kuwasimanga eti wanatabia mbaya huo ni ujinga

kila mtu ana haki ya kuchagua hata sisi wanaume tunachagua lakni kuna uchaguzi unaopitiliza alafu ukaja kumcost mchaguaji hapo baadae ndo huu unaozungumziwa hapa.
 
Back
Top Bottom