Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 10,185
- 7,367
acha ubishi huo ndio ukweli
Utaniambiaje ni ukweli wakati najuwa ni uwongo?
acha ubishi huo ndio ukweli
Na mimi nikulize swali lingine. Hivi usipoolewa ni lazima uwe mzinzi? Hakuna maisha bila uzinzi?
Maisha ya kutoolewa na bado ukawa sio mzinzi yanawezekana tu kwa watu wanaojua Mungu vizuri, wanaofunga na kufanya ibada kikamilifu kwa watu imani ya kikatoliki viongozi wake wa dini kama mapdri, masista, maaskofu, huwa hawaoi na sio wazinzi lakini kwa mwanamke wa kawaida ambaye sio mtawa(sista wa kikatoliki) hakiishi maisha mazuri ya ucha Mungu hawezi akafikisha miaka 30 yupo nyumbani atakuwa amekwishaolewa.
Hivi wewe hujawaona wadada wako wacha Mungu wazuri kabisa tena wengine mabikra kabisa na hawajaolewa?
Huyo dada mume wake yupo njiani, Mungu anamuandalia mwanamme atakayeendana naye!!!!!!! Unajua kwamba subira yavuta heri.
Ndo ufute kauli yako sasa kwamba mtu ambae hajaolewa ni mzinzi
Ndo ufute kauli yako sasa kwamba mtu ambae hajaolewa ni mzinzi
amechekesha sana halafu wanaonekana benteke na miss chagga wanaajenda ya siri ambayo wanapeana mashart magumu