Hivi si nakumbuka serikali inashauri mwanamke aolewe akiwa ana umri mkubwa - amekomaa hasa kutoka a na madhara yanayotokana na uzazi. Kinadada piganieni haki zenu kwa nguvu sanaso unataka wawe zoa zoa yeyote twende kisa age inasoma 30 mmmmh hapana hata wakiwa wanafunuliwa papuchi ni yao au yako??? kikukeracho kipi mmengekuwa pacha mlioungana nisingeshangaa otherwise umevurugwa somewhere
No ni mipango tu ya maisha.... vhunguza ndoa nyingi waliolewa wanamiaka 25.26 ni matatizo any way siataki kumwamini hata kidogo ... life is more than mariage
miss chagga i hope hujamuelewa mgiriki!
Ikiwa unataka kuolewa punguza masharti! Kitendo cha wewe kufika miaka 30 bila ya kuolewa na hauna sababu ya msingi, ni kwamba mwenyewe unadosari!
I hope lugha aliyotumia ndio tatizo!
ww miss chagga acha kutudanganya sio kila aliyekwenye ndoa anapata shida kama ww unavyodhan.
Najua ww ulikutana na faru njian
hahahaha afu najua kwavile unanisarandia usiogope tunapeana za uso kiroho safiii na ule mtongozo ongeza speeed maana hayo masharti na vigezo sijui ka utaweza
kweli bhana itabidi niongeze nguvu kwasababu nmechoka kukaa nayo moyon ila naomba usiniwekee masharti magumu
Kwa maisha ya sasa ni vyema mwanamke akaolewa baada ya kufikisha miaka 30. Chini ya hapo ni kuzinguana. Hata mwanaume awe amehanja weee na kuona kuwa tofauti ni mabucha (wowowo, kimbaumbau, urembo, mrefu, mfupi,...) ila nyama (k) ni ile ile. akifikisha miaka 30 au zaidi hapo atakuwa ametulia na kujenga familiabwana weeee, tupishege sie, kama umepewa mashart magumu kaa pembeni wataoa wenzio wakimit vigezo, lazima wewe, subiri atakayekuja bila masharti utaoa, kwani lazima sisi tu wenye masharti yetu.#
By the way am nt ur mom, sister , aunt, daughter or even a frend, so nikikaa home above 30 we inakukutaje labda, y ikukere moyo, huna yako ya kufanya
usindanywe ww dogo kama huamin njoo nikuoe halafu uone kama chungu au tamu......... Masharti meeeengi ka mganga wa kienyeji
Kwa maisha ya sasa ni vyema mwanamke akaolewa baada ya kufikisha miaka 30. Chini ya hapo ni kuzinguana. Hata mwanaume awe amehanja weee na kuona kuwa tofauti ni mabucha (wowowo, kimbaumbau, urembo, mrefu, mfupi,...) ila nyama (k) ni ile ile. akifikisha miaka 30 au zaidi hapo atakuwa ametulia na kujenga familia
bravoo,bravoo,bravoo,bravooooooo:a s 11:how is monile for every body: Leo nmeona niwape vipande vyao hawa akina dada kuanzia umri wa miaka 30 na kuendelea ambao bado hawajaolewa, utakuta mdada mtu mzma kabisa ana umri wa miaka zaidi ya 30 anatafuta wanaume wa kumuoa kwa kuweka mashart lukuki tena magumu.
Mara nataka mwanaume handsome,mcha mungu, mwenye elim ya degree, awe ameajiliwa au anabiashara.
Nabaki kuwashangaa sana nyiyi viumbe, unataka mwanaume mcha mungu je ww ni mcha mungu? Ungekuwa na tabia nzuri ungefikisha umri huo ukiwa nyumban?
Tambua kuwa kitendo cha kufikisha miaka 30 nyumban na huna mume maana yake tabia yako ni chafu hauna hadhi ya kuitwa mama mwenye nyumba au mke wa flan ila hadhi yako ni funuliwa funikwa. Unataka mwanaume handsome ww ni handsome?
Kitendo cha ww kuzeekea nyumban maana yake ww ni mbaya huna mvuto wa sura wala tabia ila utakuwa wa kumalizia haja tu kwa wapita njia.
Wazuri wote wapo kwenye ndoa zao. Utakuta mwingne alizalia nyumban halafu anakuja naye na sifa zake et nataka mwanaume mnyenyekevu na ambaye hajawai kuoa nyambaaafu ww umezalia nyumban halafu leo unataka mwanaume ambaye hajawahi kuoa for what?
Mm nawaambia msijidanganye hata kidogo, mkitaka masharti hayo mtaishia kufunuliwa tu mpaka akili ziwakae sawa.
Kwaherini