Akina dada msijidanganye

Akina dada msijidanganye

haahahha...kwikwikwikwi.......jamanieeee, mbavu zangu, huu uzi nauprint nikaubandike geto...dah. mgirik we acha , mimi nilimbiwa niende jim kwanza eti angalau niwe na tumisuli kidogo. Dah Mateso haya

dah! Kuna baadhi wanamashart hao mpaka unajiliza huyu mwili wake wa dhahabu?
 
it's leyman way of thinking , no research have been done on it.
...Sio kila kitu lazma kifanyiwe research ili kizungumzwe katika jamii...! and this is "general thinking" sidhani kama kina ubaya...! at 30 bila mchumba au mume...wengi wapo so stressed. Tatizo wengi wanaona peak ya yote ni ndoa, asipoifikia anaona bado hajafanikiwa.
 
inategemea na sababu zilizomfanya akafika umri huo bila kuolewa. Shule mfano na mambo mengnemengne. Wako wanaume pia ambao wanataman waoe kabla ya kuingia 30s lakn wanashndwa kwa sababu mbalimbali. Hata akiwa 30s anaweza still kuwa na characters za mke bora tena wengne kwa umri huo ndo wanajitambua zaidi kuliko hao 20+. Japo wapo wengne wanafka umri huo kwa sababu ya maringomaringo yao na mi huwa nawashangaa pia wanaofika umri huu kwa kuwa too selectve na mambo mengne yasiyo ya lazma
 
mmezidi kuwasema dada zetu jaman! yani kila leo ni mada kuhusu wadada wenye 30 halafu hawajaolewa! sio vizuri jaman huwezi kujua mtu kapitia changamoto gani had hajaolewa, na iwatu wengne wameolewa lakini maisha yao ni magumu maelezo hakuna wakati kuna wengine hawajaolewa lakini wanaendesha maisha yao vizuri! kuolewa sio kwamba ndio ndoto zako zimetimia au zitatimia.

umeongea point sana... kuna watu waliolewa kwa kukimbizana na umri sasa hivi wanajuta na ndoa zao. cha msingi nikufanya kitu roho inapenda
 
...Sio kila kitu lazma kifanyiwe research ili kizungumzwe katika jamii...! and this is "general thinking" sidhani kama kina ubaya...! at 30 bila mchumba au mume...wengi wapo so stressed. Tatizo wengi wanaona peak ya yote ni ndoa, asipoifikia anaona bado hajafanikiwa.

well it's no problem you thinking that a girl at age of 30 without marriage implies that she was misbehaving it's your own free thinking
 
inategemea na sababu zilizomfanya akafika umri huo bila kuolewa. Shule mfano na mambo mengnemengne. Wako wanaume pia ambao wanataman waoe kabla ya kuingia 30s lakn wanashndwa kwa sababu mbalimbali. Hata akiwa 30s anaweza still kuwa na characters za mke bora tena wengne kwa umri huo ndo wanajitambua zaidi kuliko hao 20+. Japo wapo wengne wanafka umri huo kwa sababu ya maringomaringo yao na mi huwa nawashangaa pia wanaofika umri huu kwa kuwa too selectve na mambo mengne yasiyo ya lazma

mkuu hata mm nawaongelea wale ambao ni selective.
Masharti lukuki utafikir wao hawana kasoro
 
umeongea point sana... kuna watu waliolewa kwa kukimbizana na umri sasa hivi wanajuta na ndoa zao. cha msingi nikufanya kitu roho inapenda

bidada kama umeamua kuishi bila ndoa its fine lakn kama unataka ndoa na unakuwa selective sana basi hii maada inakuhusu
 
Hatukatai kuna heshima kwenye ndoa lakini huwez jua mtu amepita changamoto gani kumbuka ndoa ni maisha mapya na ni maisha kamili ambayo mtu anahitaji kujiandaa kwanza kiroho,kimwili,kiakili na kisaikolojia pia. but asante kwa kuwakumbusha dada zetu.
 
mh... Mgirik inaonesha moyoni una mengi ya kusema!!!

hahahaaaa! Yamoyon mengi sana mkuu unibana sana kuwa niyatoe mbona mtashangaa yatakavyokuwa
 
Last edited by a moderator:
Age si tatizo tuwaacheni wachague nao ni haki yao
 
Masharti yamekushinda mgiriki subiri wa type yako tena atakuwa na miaka 25 ana watoto 3 na alishaolewa akaachika na kila mtt ana baba yake nadhani utaelewana nae huyo dada wa ivyo.
 
...Sio kila kitu lazma kifanyiwe research ili kizungumzwe katika jamii...! and this is "general thinking" sidhani kama kina ubaya...! at 30 bila mchumba au mume...wengi wapo so stressed. Tatizo wengi wanaona peak ya yote ni ndoa, asipoifikia anaona bado hajafanikiwa.

Ni kweli ndoa imekuwa janga na watu wameshazoea ndoa ni kila kitu sasa na wadada wengi unakuta wanaweka mashariti magumu kwa wachumba sijui mrefu sijui mwenye nini akifika 30 wengi hawapatikani wadada wanakuwa na stress mwisho.wa siku anua kuzaa na waume wa watu au kutapeliwa wadada wengi wanakuwa frustrated mpaka basi
 
Back
Top Bottom