Akina dada msijidanganye

Akina dada msijidanganye

Masharti yamekushinda mgiriki subiri wa type yako tena atakuwa na miaka 25 ana watoto 3 na alishaolewa akaachika na kila mtt ana baba yake nadhani utaelewana nae huyo dada wa ivyo.

owhhhh! Hahahhahaaaaa! Mkuu sasa hyo unanitakia laana hebu futa kauli hyo mkuu
 
well it's no problem you thinking that a "girl at age of 30" without marriage implies that she was misbehaving it's your own free thinking

Hapana, sijafikiria kuwa katika umri wa 30yrs mdada alikuwa na tabia mbaya ndio maana hajaolewa..zipo sababu nyingi tu kwa nini at 30yrs bado hajaolewa....by the way, at 30yrs she's no longer a girl.. but rather a woman...!
 
Ila asikudanganye mtu wadada wa age hizo kuwatawanya rahisi sana
Hawakupi jasho kupata papuchii
 
Sema Amekukataa...Pole Yako kwa kushindwa vigezo
 
haahahha...kwikwikwikwi.......jamanieeee, mbavu zangu, huu uzi nauprint nikaubandike geto...dah. mgirik we acha , mimi nilimbiwa niende jim kwanza eti angalau niwe na tumisuli kidogo. Dah Mateso haya

Ha ha ha vigezo na mashart kuzingatiwa
 
am 30 mtu atakayenioa ni yule aliyekidhi vigezo vyangu na mie nigeze vyake.....hatuoani hivi hivi kama hamna compatibility/chemistry!
 
Hapana, sijafikiria kuwa katika umri wa 30yrs mdada alikuwa na tabia mbaya ndio maana hajaolewa..zipo sababu nyingi tu kwa nini at 30yrs bado hajaolewa....by the way, at 30yrs she's no longer a girl.. but rather a woman...!

ok fyn whether she is a woman no problem , might be she was pursuing her carrier and things like that , poa gud day
 
How is monile for every body: Leo nmeona niwape vipande vyao hawa akina dada kuanzia umri wa miaka 30 na kuendelea ambao bado hawajaolewa, utakuta mdada mtu mzma kabisa ana umri wa miaka zaidi ya 30 anatafuta wanaume wa kumuoa kwa kuweka mashart lukuki tena magumu.
Mara nataka mwanaume handsome,mcha Mungu, mwenye elim ya degree, awe ameajiliwa au anabiashara.
Nabaki kuwashangaa sana nyiyi viumbe, unataka mwanaume mcha Mungu je ww ni mcha mungu? Ungekuwa na tabia nzuri ungefikisha umri huo ukiwa nyumban? Tambua kuwa kitendo cha kufikisha miaka 30 nyumban na huna mume maana yake tabia yako ni chafu hauna hadhi ya kuitwa mama mwenye nyumba au mke wa flan ila hadhi yako ni funuliwa funikwa. Unataka mwanaume handsome ww ni handsome? Kitendo cha ww kuzeekea nyumban maana yake ww ni mbaya huna mvuto wa sura wala tabia ila utakuwa wa kumalizia haja tu kwa wapita njia. Wazuri wote wapo kwenye ndoa zao. Utakuta mwingne alizalia nyumban halafu anakuja naye na sifa zake et nataka mwanaume mnyenyekevu na ambaye hajawai kuoa nyambaaafu ww umezalia nyumban halafu leo unataka mwanaume ambaye hajawahi kuoa for what?
Mm nawaambia msijidanganye hata kidogo, mkitaka masharti hayo mtaishia kufunuliwa tu mpaka akili ziwakae sawa.
KWAHERINI


wee umeoa lakini? au na wee unaweka vigezo vikubwa
 
Kila Mtu Anahaki Ya Kupata/ Kuchagua Kilicho bora,
Kwakuwa Mtu Kafikisha 30 eti ndo una mrate kuwa hana maadili mema??
Kuolewa Sio Kila kitu maishani bali ni kutimiza hitaji moja kati ya mengi ya binadamu.Elewa Kwamba Ndoa Sio Basic Thing Kwamba bila kuwa nayo maisha hayawezi kuendelea.
Kwa hiyo kauli yako ya kejeli kwasababu hukupita mchujo,angalia jinsi ya kuimprove ili umeet vigezo.
 
Sifuti tatizo wanaume wa kibongo mmekrem maisha huo umri ndio hasa unapaswa ukimkuta uoe fasta hao wa 20s wamevurugwa kwisha kazi kwa sababu ya haraka zao fanya uchunguzi urudi hapa tena watoa tigo ndio wao wachepukaji ndio wao hawajui kupikia waume zao yani stress kibao hata mimi ningekuwa jinsia yako ningesubiri kidogo isee huo umri sio kabisa.
owhhhh! Hahahhahaaaaa! Mkuu sasa hyo unanitakia laana hebu futa kauli hyo mkuu
 
Back
Top Bottom