Akina dada msijidanganye

Akina dada msijidanganye

Hahahahahaaa! Kumbe nawe huwa watoa povu eeh!
Usikarisike my dear, embu jipoze na wine hapo:
Wine.jpg

i hate kuona vijana tunakimbilia mambo tusiyaweza ila tunataka kwa sababu ya jamii imesema its bad
 
i hate kuona vijana tunakimbilia mambo tusiyaweza ila tunataka kwa sababu ya jamii imesema its bad

miss chagga i hope hujamuelewa mgiriki!
Ikiwa unataka kuolewa punguza masharti! Kitendo cha wewe kufika miaka 30 bila ya kuolewa na hauna sababu ya msingi, ni kwamba mwenyewe unadosari!

I hope lugha aliyotumia ndio tatizo!
 
Mtoa mada umejeruhi hisia zangu.
Kua 30 bila ndoa umenihukumu kua
Nina tabia chafu, sina haki ya kuitwa mama mwenye nyumba, hadhi yangu ni kufunikwa na kufunuliwa, ni mbaya sina mvuto wa sura...
Dah... imeniuma sana. Nawaza kama ndivyo jamii ituonavyo MUNGU awe Wakili wetu.
Maisha yana changamoto nyingi, mahusiano pia yana changamoto zake.
Ila katika yote namshukuru Mungu anaetupa pumzi, furaha na Amani.

pole sana mkuu naona umeongea kwa uchungu sana lakn mm nmebase sana kwa wale selective na wakat huo wao ndio wanakuwa wa kwanza kutaka wanaume....... Ila kama ww unawakosa kwa bahat mbaya nakupa pole na Mungu anaona na atakupa mume
 
miss chagga i hope hujamuelewa mgiriki!
Ikiwa unataka kuolewa punguza masharti! Kitendo cha wewe kufika miaka 30 bila ya kuolewa na hauna sababu ya msingi, ni kwamba mwenyewe unadosari!

I hope lugha aliyotumia ndio tatizo!

No ni mipango tu ya maisha.... vhunguza ndoa nyingi waliolewa wanamiaka 25.26 ni matatizo any way siataki kumwamini hata kidogo ... life is more than mariage
 
Sio kweli kwamba kufikisha miaka 30 mwanamke bila ndoa ni kwasababu ya kukosa mvuto, kuwa na tabia mbaya, kuwa na masharti magumu ya ndoa hapana, wapo wengi ninaowafahamu hawajaolewa na tabia zao ni nzuri, wana mvuto na wanahofu ya Mungu ila hajampata / hajatokea mume aliyepangiwa na Mungu na kutokuwa na Mume sio dhambi na kuolewa au kuoa sio kitu cha kulazimisha. Na kuna raha ya kuwa single pia, waulize walioolewa / waliooa kabla maisha yao yalikuwaje utapata kujua kama kuwa single kuana raha au hakuna.
 
Kama ndivyo, please withdraw your quote iliyobeba mashart magumu.. Au ndio unadumisha mila? chagga @ work

Sipo tayari kuwithdraw ila nataka baadhi ya mambo ni ya msingi mtu katika kujipanga kuingia kwenye pingu za maisha...
 
Mtoa mada umejeruhi hisia zangu.
Kua 30 bila ndoa umenihukumu kua
Nina tabia chafu, sina haki ya kuitwa mama mwenye nyumba, hadhi yangu ni kufunikwa na kufunuliwa, ni mbaya sina mvuto wa sura...
Dah... imeniuma sana. Nawaza kama ndivyo jamii ituonavyo MUNGU awe Wakili wetu.
Maisha yana changamoto nyingi, mahusiano pia yana changamoto zake.
Ila katika yote namshukuru Mungu anaetupa pumzi, furaha na Amani.

Kwa Haya maneno tu, nimekupenda tayari
 
wanataka mcha mungu kwasababu wanakuwa na hofu ya mungu ndani yao kwahiyo basi,ujinga na upuuzi mwingi wanakuwa hawafanyi...

miaka30 hujaolewa si alama ya kuwa na tabia chafu,kila mtu anakuwa na sababu zake,mind u, si kila mtu katika maisha anaweka kuolewa kama ndo kila kitu..halafu pia tambua 30 its just a number tu watu wanaolewa/kuoa hata na40...hapo umewakosea sana...maisha ya ndoa hayajapangiliwa miaka et mwenye 20 aoe au aolewa...
Umekuwa na mawazo yakindege sana mkuu kuoa au kuolewa sio kufata mkumbo...hao unaisema wazuri wako kwenye ndoa wengine wameshaachana dk2 zilizopita WAZURI WANAACHIKA?

usidanganye watu wewe kilichojema kinywani na moyoni kinabarikiwa....wacha watu waamue/wachague kile wanachokiona kwao kitasaidia na sio mtu kujipeleka peleka tu kisa et umri unaenda......
 
Well said hongera
 
umri wa miaka zaidi ya 30 anatafuta wanaume wa kumuoa kwa kuweka mashart lukuki tena magumu.
Tambua kuwa kitendo cha kufikisha miaka 30 nyumban na huna mume maana yake tabia yako ni chafu hauna hadhi ya kuitwa mama mwenye nyumba au mke wa flan ila hadhi yako ni funuliwa funikwa.
Kitendo cha ww kuzeekea nyumban maana yake ww ni mbaya huna mvuto wa sura wala tabia ila utakuwa wa kumalizia haja tu kwa wapita njia.
Utakuta mwingne alizalia nyumban halafu anakuja naye na sifa zake et nataka mwanaume mnyenyekevu na ambaye hajawai kuoa nyambaaafu ww umezalia nyumban halafu leo unataka mwanaume ambaye hajawahi kuoa for what?

Mm nawaambia msijidanganye hata kidogo, mkitaka masharti hayo mtaishia kufunuliwa tu mpaka akili ziwakae sawa.
mkuu inaonekana unataka kuongeza mke unaposema anataka mwanaume ambaye hajaoa, kakataa nini kuwa wa pili, sasa na kwanini unamfunua hivyo kama unamkomoa naona umeliongelea sana inaonekana mdada anakupa tu ila hataki ndoa, wewe ndio unayefanya makosa kutembea nje ya ndoa kama umeoa, muogope Mungu, kama muislam fanya ndoa kiulali, kama mkiristo acha hayo mambo ya mchepuko.
 
Back
Top Bottom