Akina dada mpunguze kuomba omba

Akina dada mpunguze kuomba omba

hahaha mie hao dawa yao moja....unatoka buku kumi alafu kabla hajapokea unamuomba papuchi. hataki nairudisha kwenye wallet...sasa hiyo sura yake full misonyo

Nlishakwambia na iyo buku teni yako utaishia kukubaliwa na wa kidato cha pil
 
hahahaa!! hao wanaomba bora...siku hizi wamekuja na mpya..utasikia G naomba nikopeshe elfu 20! huku kalimenya jicho kiaina...sasa kwani mm saccos?
 
pole sana tatizo lako huwezi kuhimili hivyo virungu lait kama ungekuwa unavimudu usinge lalamika hapa
 
Nlishakwambia na iyo buku teni yako utaishia kukubaliwa na wa kidato cha pil

kwani wa kidato cha pili hawana papuchi? mie nawashangaa sana wadada wengine wanataka kuhongwa vikubwa wakati their beauty doesnt match the price.
 
Mimi nikiona wanataka kupiga kirungu huwa nawawahi, namwambia dah, njaa inauma. ataniuliza si uende kula, namwambia hela sina.

dah, mkuu bado bado hujakua financially!

siku ukiwa nazo, wala kauli kama hii haitakutoka!

kua uyaone..
 
kwani wa kidato cha pili hawana papuchi? mie nawashangaa sana wadada wengine wanataka kuhongwa vikubwa wakati their beauty doesnt match the price.

Hoooooooo ayo ni maneno ya mkosaji waweza ona kibaya afu kumbe wenzio wakililia uck kuchaaa babuu
 
wala mie kama demu mzuri namsifia. najua kuwa demu mzuri lazima uspend. na hamna mwanaume mwenye akili timamu atakae lalamika kuhusu kuhonga kama uzuri wa demu unaendana na anachotaka na pili akubali kuliwa papuchi yake.
 
Basi nakubar uwee unanihonga mm ntakua nakupa papuchi yangu au wasemajee....lakin tuelewane dau utakua unanihonga sh ngap....il ukinpa punguf nje kukushtaki hapa jamvin
 
Mhhhh!Mm niliwahi ombwa Milion 2 eti aongezee anunue gari dogo la kutembelea ili hali mm hata bodaboda sina!

Demu anajua kabida hata ukichanga mshahara wangu wa miezi 6 hiyo.milion 2 hazifiki lkn bado ananiomba!!Hivi lengo hapo lilikuwa nn?
 
Wewe nakuonga lift tu inakutosha.
 
Mhhhh!Mm niliwahi ombwa Milion 2 eti aongezee anunue gari dogo la kutembelea ili hali mm hata bodaboda sina!

Demu anajua kabida hata ukichanga mshahara wangu wa miezi 6 hiyo.milion 2 hazifiki lkn bado ananiomba!!Hivi lengo hapo lilikuwa nn?

Lengo ni kununua gari.
 
Back
Top Bottom