Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,897
- 11,292
Lengo ni kununua gari.
Mkuu!
Sasa unapoomba huwa hauangalii uwezo wa mtu anaye ombwa?Anajua kabisa hata mshahara wangu nichange miezi 6 siwezi pata Milion 2 na anajua kabisa ninavyo bangaiza hapa mjini lkn bado anaomba Milion 2!!
Swali langu huwa Je ina maana hawezi waza na kupambanua kuwa mm siwezi pata Milion 2?