Konda wa bodaboda jamani pole ukiombwa sema sina
Hahahaha Aseme..!!!! Bado hajazaliwa wakusema hivyo kwa mrembo.
Habari za asubuhi wana MMU. Nimeona nitoe darasa kidogo kwa baadhi ya akina dada wanaopenda vya mteremko.
Ni hivi; kuna wadada(baadhi ila ni wengi wao) wanapenda kuombaomba pesa kwa watu wasiowafahamu vizuri! unakuta anafanya kama anatania kumbe ndio hivyo tena. Hii huwa inanitokea sana, huwa nashangaa mtu sina ukaribu nae wowote anakuja kuniambia nimpe hela akale chips wakati mimi mwenyewe napiga miayo tu, huwa najiuliza hivi hawajui kuwa wengi wetu pesa ni tatizo?
Acheni hiyo tabia.
Mie vyote nachukua
Hapa paliniacha hoi last week!
Mrembo nimekutana naye maeneo ya ofisi yake, basi tukabadilishana namba.
Siku ya pili yake nika call na kumpa salamu tu ya kawaida.
Baada ya siku mbili nikapita jirani na ofisi yake, kumbe aliniona kwa mbali. Kilichofuata ni 'ukirudi nipitishie chips na mishikaki miwili'! Nilichoka!
Kiukweli kaumbika! Lakini hii 'first impression' imefanya nifute hadi namba!
Usijali na tunatoa ila kwa kuangali quality yako. Xo kama unataka hivyo basi jiwekee mazigira hayo.
Naona unajihami
Kwahiyo unataka nikuuzie mpapuchi wangu ili unipe hela au!!
Kwan unauza..!!!!???
kubwa la maadui lile acje akaniangushia zari bure
Ndo mtupage hela....tumechoka na free p zenu jamani
Nikinunua chako kwani nitakuta kuna jipya au ni yale yale.!Unataka kununua?
Kwahiyo unataka nikuuzie mpapuchi wangu ili unipe hela au!!
Hapa paliniacha hoi last week!
Mrembo nimekutana naye maeneo ya ofisi yake, basi tukabadilishana namba.
Siku ya pili yake nika call na kumpa salamu tu ya kawaida.
Baada ya siku mbili nikapita jirani na ofisi yake, kumbe aliniona kwa mbali. Kilichofuata ni 'ukirudi nipitishie chips na mishikaki miwili'! Nilichoka!
Kiukweli kaumbika! Lakini hii 'first impression' imefanya nifute hadi namba!
Hapa paliniacha hoi last week!
Mrembo nimekutana naye maeneo ya ofisi yake, basi tukabadilishana namba.
Siku ya pili yake nika call na kumpa salamu tu ya kawaida.
Baada ya siku mbili nikapita jirani na ofisi yake, kumbe aliniona kwa mbali. Kilichofuata ni 'ukirudi nipitishie chips na mishikaki miwili'! Nilichoka!
Kiukweli kaumbika! Lakini hii 'first impression' imefanya nifute hadi namba!
Sorry mkuu hii "FREE P" Maana yake nini Maana naona linatumika sana JF... Hapa nimeachwa....