Akina dada mpunguze kuomba omba

Akina dada mpunguze kuomba omba

Habari za asubuhi wana MMU. Nimeona nitoe darasa kidogo kwa baadhi ya akina dada wanaopenda vya mteremko.
Ni hivi; kuna wadada(baadhi ila ni wengi wao) wanapenda kuombaomba pesa kwa watu wasiowafahamu vizuri! unakuta anafanya kama anatania kumbe ndio hivyo tena. Hii huwa inanitokea sana, huwa nashangaa mtu sina ukaribu nae wowote anakuja kuniambia nimpe hela akale chips wakati mimi mwenyewe napiga miayo tu, huwa najiuliza hivi hawajui kuwa wengi wetu pesa ni tatizo?
Acheni hiyo tabia.

Mkuu chips tu?sio tatizo wape nilizani gari au nyumba kumbe chakula utapata hela nyingi ukitoa chakula
 
Habari za asubuhi wana MMU. Nimeona nitoe darasa kidogo kwa baadhi ya akina dada wanaopenda vya mteremko.
Ni hivi; kuna wadada(baadhi ila ni wengi wao) wanapenda kuombaomba pesa kwa watu wasiowafahamu vizuri! unakuta anafanya kama anatania kumbe ndio hivyo tena. Hii huwa inanitokea sana, huwa nashangaa mtu sina ukaribu nae wowote anakuja kuniambia nimpe hela akale chips wakati mimi mwenyewe napiga miayo tu, huwa najiuliza hivi hawajui kuwa wengi wetu pesa ni tatizo?
Acheni hiyo tabia.

hahaha mie hao dawa yao moja....unatoka buku kumi alafu kabla hajapokea unamuomba papuchi. hataki nairudisha kwenye wallet...sasa hiyo sura yake full misonyo
 
Back
Top Bottom