Akina dada mnaijua tekniki hii?

Akina dada mnaijua tekniki hii?

Tumeka kihasarahasara na kushuhudia uchawi tu kutw kucha

gadem!
 
huyu wangu ndo kichwani hana nywele ye dongo tu kama amber rose cjui nifanyeje
 
Haya sasa makubwa, sijawahi sikia hii kitu mkuu ndibalema, Asante kwa Kutujuza.
 
Kama Boy friend/Mumeo anatatizo lifuatalo huu ni ufumbuzi wake.

Mnapokuwa faragha wakati wa majamboz boy friend/mumeo ana tatizo la kuwahi kumaliza kabla hata wewe hujafika hata robo ya 'safari'?

Mbaya zaidi wengine hutumia chini ya dakika tano(5) na akishamaliza hana 'mzuka' tena.

Ufumbuzi.

Dakika chache kabla hamjaanza majamboz, tafuta pini(exactly iwe dizaini kama hiyo pichani).
Ibane kwenye nywele zako(za kichwani), hakikisha mwenzi wako haioni.
Kisha anzeni majambozi.

Nakuhakikishia mtapiga gemu na jamaa hatofika ila ataendelea kuwa fit mpaka utakapoitoa ile pini ndipo 'atamaliza'

So kazi itakuwa kwako mwanadada kwani pini yako ni kama remote control yako, ukitaka amalize unaitoa pini yako ukitaka aendelee hata kwa masaa matatu mfululizo unaicha tuu pini.

Kumbuka.
Hii ni kwa akina dada wenye nywele ndefu ziwe natural au hata 'wivingi', rasta etc.

Zingatia:
Mwenzi wako hatakiwi kuiona hiyo pini wala hatakiwi kujua kama unatumia hii mbinu.

NB: huu sio uchawi na wala haihusiani na ushirikina bali ni urithi kutoka kwa bibi zetu.
Proudly African.

adios....amigo.



Safety_Pin.jpg

"Dakika chache kabla hamjaanza majamboz," "...hakikisha mwenzi wako haioni."

"Mwenzi wako hatakiwi kuiona hiyo pini wala hatakiwi kujua kama unatumia hii mbinu."

Hapo kwenye kutotakiwa kuona au kujua kuna utata.
 
Back
Top Bottom