Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,679
- 4,381
Hahahah JS kweli una uchungu kuna Dada tunafanya nae kazi yeye huwa hawapi wanaume mkono hata siku moja kwa mtindo huo huo anasema wanaume ni wachafu sana coz ashashuhudia mtu anaingiza mkono kwenye nyeti zake anakuna kuna huko halafu mkono huo huo anakuja kukusalimia wewe hahaha hapo kwa kweli hata mie MEN napinga vikali huo si uungwana, ila MKOJO kitu kingine jamani ukikubana sawasawa hata baridi utasikia na si unajua rate ya uvumilivu zinatofautiana sana baina ya mtu na mtu halafu sisi wanaume tunajua wanawake wana aibu sana huwa hampendi kutuchungulia sisi kama wanaume TULIVYO na TAMAA ya kuchungulia MWANAMKE, so kikwazo kimoja kinakuwa kimeondoka hapo, maumbile yetu vile vile ni rahisi popote pale kujisaidia fasta fasta kuliko akina mama. HALAFU KM WANAUME MKIWA KUNDI MMOJA AKICHEPUKA TU KUKOJOA BASI WOTE LAZIMA MTAFUATA NYAYO nanyi mtajisaidia.