Akina Baba na Kaka wanaojisaidia barabarani hovyo!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Akina Baba na Kaka wanaojisaidia barabarani hovyo!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by JS, Oct 21, 2009.

 1. JS

  JS JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2009
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Wadau, hili swala kwa kweli linanikera sana na mbaya zaidi siku haiezi isha bila kuona mtu anajisaidia haja ndogo pembezoni mwa barabara au kwenye tairi ya daladala.
  kuna jumamosi moja nilikuwa mitaa ya ubungo kwenye foleni pale mchana jua kali kweli kama saa 9 hivi. pembezoni mwa usafiri niliokuwemo nao, kulikuwa na daladala imesimama inasubiri kwenye foleni. mara kijana mkubwa tuu katokea huko anakotoka kasimama mbele yetu akaanza kuchomoa jogoo pale pale na watu tunamwona. akakojoa kwenye tairi la ile daladala kwa takribani dakika 3 ilikuwa haja ndefu kweli. kitendo hicho kilinikera, kilinikasirisha sana nikatamani nifungue kioo nimgombeze lakini nikaacha kuogopa maneno na mtu huyu.
  kwani mtu huezi vumilia ukaenda sehemu yenye cho cha kulipia au ingia jengo lolote omba choo upewe ujisaidie? hata jzi pia pale posta mkaka mwingine kafanya hivyo hivyo.
  mna shida gani wanaume hamuezi bana huo mkojo??halafu mwisho wa siku mnanalamika jiji letu chafu wachafuzi nyie wenyewe. mnaudhi sana sana sana!!!!!!
  Nawasilisha mada.
   
 2. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Akina dada sijawahi ona wakifanya hivyo sijui wanaogopa au hawabanwi sana?
   
 3. JS

  JS JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2009
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ni wastaarabu ndo maana hawafanyi hivyo barabarani
   
 4. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #4
  Oct 21, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,395
  Likes Received: 675
  Trophy Points: 280
  Acha uongo wewe huo ustaarabu wameuanza lini?ukweli ni kwamba maandalizi yao ya kujisaidia sehemu hizo huchukua muda mrefu sana kuliko wanaume,kwanza wanatakiwa wavue vitu vingi ndipo wajisaidie,wakati cc ni fasta tuu una unzip then mwendo mdundo,ninachotaka kuwaambia kujisaidia konani ni freshi,ni poa ni yetu,hatuachi hii tamaduni ng'ooo,hata kwa bakora,kwanza vyooni kuna stink!!!
   
 5. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #5
  Oct 21, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  kweli kina dada ni wastaarabu ndo maana wanajistahi
   
 6. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #6
  Oct 21, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,037
  Likes Received: 23,816
  Trophy Points: 280
  Wastaarabu siyo? Ndiyo maana wanaondoka na glasi za bar? Hahaha! Mwanaume kukojoa hadharani ni urijali na kujiamini. Angekuwa na kastorongo kaduchu wala asingefanya mchezo huo. Au JS tuambie mashine ya huyo jamaa ilikuwa size gani? Hahahaha Najua ulikuwa na interest kuichungulia.
   
 7. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #7
  Oct 21, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Na mimi niliwaza hivyo hivyo mpwa, huenda kilichomkera JS ni kuona kitu akaitamani lakini hawezi kuipata, big up sana huyo jamaa na wenyewe huwa wanatutamanisha na legging, na shanga zao wanazozianika kwenye madaladala.
   
 8. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #8
  Oct 21, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,037
  Likes Received: 23,816
  Trophy Points: 280
  Hahaha! Mpwa you have broken my ribs!
   
 9. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #9
  Oct 21, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,395
  Likes Received: 675
  Trophy Points: 280
  Unadhani mtu ambaye hajawahi kuionja asali anaweza isifu utamu wake?hapa hakuna cha ustaarabu wala nini,kilichopo hapa ni process yenyewe tuu kwao huwa ndefu,kwanza ile imekaa kiwiziwizi,sasa kama dada atataka tuiga cc,gari ikimmulika atajisevu vipi?mpaka anyanyuke arudishie vivazi inakuwa too late,nyie hizi za kaizari mumuachie kaizari tuu,acheni turutubishe uoto wa asili kwahizi mbolea asilia,kuhusu ustaarabu akina dada msijidanganye,yaani kukaa barabarani na kuuza kale kakitu ndio mtuconvince ustaarabu,au kutembea na bwana wa rafikiyo inafanana na ustaarabu?Fikirieni tena!!!
   
 10. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #10
  Oct 21, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,037
  Likes Received: 23,816
  Trophy Points: 280
  Afu kuna mtu aliwahi kuniambia eti mashosti wakimaliza kukojoa ni lazima waachie ka.ushuzi kidogo. Sasa kuachia ushuzi rodini si unajua soo.
   
 11. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #11
  Oct 21, 2009
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Nyie wanaume vipi?

  Mbona mnaingizwa mkenge? Wanawake nao hukojoa barabarani au pembeni mwa NJIA.

  Nikiwa Arusha niliona Mama YEYO kaenda pembeni mwa njia, mara akajibinua na kufungua miguu na zile nguo zake akazivuta kwa nyuma. Hapo nikasikia Wawa waawaaaaaa.................. Sijui huwa wanafanyaje? Na kama sikosei au wanavaa G-String au hawavai kabisa chupi.
   
 12. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #12
  Oct 21, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,037
  Likes Received: 23,816
  Trophy Points: 280
  Mama Yeyoo! Mkuu umenikumbusha mbali. Enzi za kukaa kibalcony afu tunawalia chabo watoto wa Enaboishu au wa fadha babu. Lol! Nikipata nauli ntarudi tena Arusha!
   
 13. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #13
  Oct 21, 2009
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Mkuu, kwani ulikuwa huna Mtoto wa Kibosho Sec? Nilikuwa napenda kuwaona na zile skert zao za njugu...... Mama Yeyo ilikuwa mwisho wa Matatizo. Hasa haka kaeneo mbele ya Geti la TCA upande wa Mianzini. Walikuwa wakifika tu hapo mbele ya nyumba za AICC, unaona huyo kabinuka.

  Halafu tulivyo na akili nzuri, bado unamsalimia vilevile "Takwenya mama Yeyo". Mshikaji mmoja alifuata Mtoto wa Mama Yeyo hadi juu kule kama unaenda Ilboru. Basi kaka zake acha wamtoe Baru na Sime zao....... Aliposikia kimya akasimama na kuangalia nyuma, anaona vijana wamesimama HAWANA MBAVU............ jamaa hana pumzi na jasho linamtoka na kutetemeka.
   
 14. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #14
  Oct 21, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,037
  Likes Received: 23,816
  Trophy Points: 280
  Heshima mbele mkuu. Umenikumbusha mbaaaali sana. Kibosho nikose tena mchuchu? Si wangenicheka watu. Alikuwa anaingizwa sana room no 9 - Scaba Scuba. Kalishwa sana misosi ya Lugundi. Jengo fupi walikuwa wananiona kama RPC.
   
 15. JS

  JS JF-Expert Member

  #15
  Oct 21, 2009
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Burn na Crispin: sikutamani chochote tena wala sikuiona zaidi ya kuona mkojo tu ukitoka si mnafichaga sana nyie mkiwa mnakojoa barabarani hamfuti mnakung'uta tuu mnadumbukiza ndani ya suruali.

  Firstlady: you know what happens baada ya hapo?eti mtu huyohuyo anakuja kukusalimia anataka kushake hands na wewe jamani imezidi muache lol!!!
   
 16. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #16
  Oct 21, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,037
  Likes Received: 23,816
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo ulikuwa interested zaidi na m.kojo au kitoa m.kojo? Acha kuzuga shosti. Hatudanganyiki. Unaogopa ku shake hands wakati mkiwa chobingo we mwenyewe kwa hiyari yako unaikamata, na kama vile haitoshi kwa raha unaisweka kinywani! Watu bana!
   
 17. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #17
  Oct 21, 2009
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Mvua na Radi..............
   
 18. F

  Froida JF-Expert Member

  #18
  Oct 21, 2009
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  ni utamaduni unaokuwa sana hasa kwa wanaume,madereva wadaladala wanaacha gari iko kwenye moto wanashuka wanakojoa kwenye matuta ya barabarani,wengi wanajisaidia haja kubwa kwenye nguzo kubwa na kila kwenye mpenyo wa kona wa majumba yeyote makubwa,watanzania ustaarabu umetushinda kwa kila hali hatujimudu kwa lolote itakuwa vyoo,kwa nini halmashauri isihamasishe watanzania wenye uwezo kujenga vyoo vingi vya kulipia ili kuweka mazingira safi au tunahiji wanasayansi wa roketi waje watumwagie sera
   
 19. JS

  JS JF-Expert Member

  #19
  Oct 21, 2009
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Sasa si chobingo umesema, tena hapo na mtu umpendaye lakini hivi hivi tu hapana
   
 20. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #20
  Oct 21, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,324
  Likes Received: 1,790
  Trophy Points: 280
  Ni tabia, inaletwa na mazoea na inawezekana kabisa kuachwa.
   
Loading...