Indeed Kaka,
Mi nimepata kukaa na wamama fulani; ambapo waliwaona wadada fulani waliotaka kuvuliwa Nguo na wahuni stand ya Morogoro mjini maarufu kama "Stand ya Mazimbu" Morogoro miaka fulani ya nyuma.
Wale wamama watu wazima walitema Povu kwa mabinti hao, wakilalamika kwetu kua:- kama tungevaa viatu vyao(Vya umama) hakuna kitu kinaumiza kama una binti ambaye miaka inaenda wala haolewi. Wala mtu wa kuja kumposa hatokei. Waliwasuta wale mabinti ambao walilazimika kupanda Hiace ili tu wasije kuadhiriwa na wahuni kwa kuvuliwa nguo.
2nd:-
Nimeshuhudia sana mabinti wanaovaa vizuri wakawa wanatembea Barabarani, inatokea kabisa Mwanaume anapita na Gari Private anamuona . Anajisikia vizuri kutoa lifti bure, kwasababu tu binti ana mvuto kapendeza.
Hii ndio ladha ya Mavazi.
Kama unavaa kama Porn star, inabidi tukuweke kwenye kundi hilo la Whore.
Sent using
Jamii Forums mobile app