Najua huvai nusu uchi ,,ila sasa hii ni malumbano yahoja ..
Wewe unasema mavazi sio tabia .
Mimi nasema mavazi kiasi fulan humuongezea mtu bargaining position .
Imagine mpo wawili , we umevaa nusu uchi lkn unatabia nzur alafu mwenzako kavaa kiheshima lkn anatabia mbaya ....kisha mkapelekw kukutanishwa na mwanamme mgeni asowajua ,,, unahisi ninan atajiuza tu mwenyewe pasipo kuongea ????
Kizuri hujiuza nakibaya mpaka kijielezee " oohhhh usione mie mavazi tuuu lkn ninatabia nzuri "" sasa hii ningumu kwamwanamme kuelewa .
LABDA NIKUTHIBITISHIE ,,PRIMARY INSTA ATTRACTION YA MWANAMME KWA MWANAMKE HUWA NI MWONEKANO WA MWANAMKE KWANZA MENGINE NDO HUFUATA. UNLESS UNAVAA VIBAYA LKN ANAKUJUA TOKA ZAMAN KUA HUNA TABIA MBAYA