Akili za wanawake...

Akili za wanawake...

Naona hii mada watu wameipokea kwa mtazamo tofauti iko hivi.

Vazi na tabia ni vitu viwili tofauti.

Waafrika na waarabu tumekakarishwa ya kwamba mwanamke wa kiarabu au mwafrika lazima avae vizuri na kujisitiri mwili wake.

Ni kweli sikatai hata vitabu vya dini vimeeleza jamii ya mwanamke kuvaa vyema na si mwanamke tu hata mwanaume avae vyema.

ukija kwenye uhalisia wa maisha kwa maoni yangu naona kila mtu avae nguo anayo jisikia kuvaa kwani hulazimishwi na mtu hakupangii si mwanamke wala si mwanaume bali ni wote kwa ujumla.

Maisha ya kufuatilia sijui mwanamke kavaa hiki na mwanaume kavaa hiki kila mtu na mambo yake lazima mjifunze kuishi hivyo.

Vazi halimfanyi mwanamke / mwanaume kuoa / kuolewa, bali ni tabia, mienendo, makubaliano, Upendo, thamani, n.k

Think positive and be a great thinker.
 
So una ushauri gani? Au wavae magunia......wanaume wengine bhana mnashangaza sana kwani umeambiwa mavazi ndo tabia ya mtu......kila mtu anavaa kile anachokipenda period

Kuna rafiki yangu ni mpole,mstaarabu,anavaa kiheshima sijawahi ona ila mpaka leo hajaolewa na kaishia kuzalishwa.....kama ndoa ipo ipo tu haina haja ya kupretend kuvaa kiheshima kisa uolewe lol
Kwa hii mind set yako na wewe tutamega tupite aisee....ladies lazima uwe wa heshima ukitembeza manyonyo nje nje unapigwa ndogo tu afu watu wanalala mbele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So una ushauri gani? Au wavae magunia......wanaume wengine bhana mnashangaza sana kwani umeambiwa mavazi ndo tabia ya mtu......kila mtu anavaa kile anachokipenda period

Kuna rafiki yangu ni mpole,mstaarabu,anavaa kiheshima sijawahi ona ila mpaka leo hajaolewa na kaishia kuzalishwa.....kama ndoa ipo ipo tu haina haja ya kupretend kuvaa kiheshima kisa uolewe lol
Kama nitakuwa siajelewa vizuri basi ila mtoa uzi amesema anayejisitiri ataolewa na mtu aliye sirias na ndoa na anyeacha nyonyo na makalio nusu uchi anaweza asiolewe au ataolewa na mwanaume ambaye hayuko sirias na ndoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
FB_IMG_14992913925983633.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So una ushauri gani? Au wavae magunia......wanaume wengine bhana mnashangaza sana kwani umeambiwa mavazi ndo tabia ya mtu......kila mtu anavaa kile anachokipenda period

Kuna rafiki yangu ni mpole,mstaarabu,anavaa kiheshima sijawahi ona ila mpaka leo hajaolewa na kaishia kuzalishwa.....kama ndoa ipo ipo tu haina haja ya kupretend kuvaa kiheshima kisa uolewe lol
Inamaana kuboost manyonyo nalo ni vazi mtaliwa na kutupwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanaume akikusifia kwa kutembea nyonyo nje, nyie mnaita boobs na makalio yakishika nguo uliyovaa ukisema unaenda na wakati huwa na nia moja tu, kukumega, kukuchapa, na kukushikisha adabu kitandani, na sifa zitaishia hapo.

Hakuna mwanaume siriaz anayeweza kukubali kuoa mwanamke asiye siriaz. Mwanamke anayeweza kuacha nje mali ambazo ni fahari ya mumewe zionwe na kila mwanaume. Nionyeshe mwanamke mwenye tabia hizi za hovyo aliyeolewa na mwanaume serious.

Wanaume sio wajinga kama wanavyoonekana usoni. Mpaka akupe pete yake lazima awe na uhakika level ya ujinga kwenye akili yako ni ziro maana anaoa kiongozi wa familia na sio muuza mwili.

Shkamooni wote mnao-boost nyonyo na kubana kalio, kumegwa na kuachwa kwako ni guarantee. Hatuoi ujinga!

Sent using jamii forums mobile app
Hahahahaa mkuu mbona povu zito sana kwa dada zetu.
 
Mi nakubaliana na ulichosema kabisa,lakini jamani hizi za mada za wanawake mbona zimekuwa nyingi sana!? Utadhani duniani wanaishi pekee yao,siku moja moja jamani tupeni break tupumue!
Tatizo nyie kwa kuvaa hivyo mnaamsha tamaa ya ngono na si vinginevyo.
 
So una ushauri gani? Au wavae magunia......wanaume wengine bhana mnashangaza sana kwani umeambiwa mavazi ndo tabia ya mtu......kila mtu anavaa kile anachokipenda period

Kuna rafiki yangu ni mpole,mstaarabu,anavaa kiheshima sijawahi ona ila mpaka leo hajaolewa na kaishia kuzalishwa.....kama ndoa ipo ipo tu haina haja ya kupretend kuvaa kiheshima kisa uolewe lol
Wewe utakuwa miongoni mwao, lazima msemwe nyie ndio kioo cha jamii sasa mnatembeaje nusu uchi mbele za watoto kabisa mnajiachia eti kwenda na wakati oneni aibu basi.
 
Back
Top Bottom