Mavazi ni part and parcel.
Mavazi ndio sebuleni mtunaingiapo nyumbani unaanza kuiona.
Mavazi yapo reception.
Mavazi yanakueleza wewe ni nani hata kabla hujajieleza kwa maneno yako.
Mavazi yanakuelezea nini unawaza na unataka vile watu wakuchukulie?
Mfano. Malaya anajua atavaa nini ili wateja wampate kirahisi.
Jinsi unavyovaa ndivyo ulivyo..
Tabia zote zinajadiliwa pale zinapokua hadharani. Ila ukizisitiri hakuna atakae ku judge tabia yako kama mavazi yamfanyavyo mtu.
Ni kweli tunao marafiki zetu wakiume baadhi huku mitaani tunawahurumia kwa aina ya wanawake waliowachukua ambapo wanawake zao ni wanavaa kama makahaba.
Toka nje ya Box ujue wanaume wengi tunawazA nini.
Ukijiheshimu utaheshimika and viceversa is true.
Sent using
Jamii Forums mobile app