Curious gal
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 3,200
- 4,010
OkayWewe utakuwa miongoni mwao, lazima msemwe nyie ndio kioo cha jamii sasa mnatembeaje nusu uchi mbele za watoto kabisa mnajiachia eti kwenda na wakati oneni aibu basi.
OkayWewe utakuwa miongoni mwao, lazima msemwe nyie ndio kioo cha jamii sasa mnatembeaje nusu uchi mbele za watoto kabisa mnajiachia eti kwenda na wakati oneni aibu basi.
"Your boy" ila siku ya kuoa ndio utashangaa......Mimi naamini mavazi hayamfanyi mtu aolewe.......nashukuru Mungu my boy ni muelewa sana
Okay
Umeongea vitu vikubwa sana mkuu,Kuna age ambayo ukifika lazima ujibehav km mwanamke mwenye akili nakm mwanamke mwenye akili.
Wewe nimwanamke aged 24-28 hii ni age ambayo bila shaka unatafuta kuolewa ,alafu unakuta mtu maziwa nje ,,mapaja nje ?? Are you serious na unachokitaka ?????? This is the shame.....
Fanya hayo ukiwa huamin ktk ndoa nakm unaamin uwe unaamini kuolewa nibahat so uolewe au usiolewe wewe haikuathiri kitu.
Nisawa namwanamme ambaye anataka kua baba bora yupo 27-33 alafu naye bado anavaa chini ya matako ,,eleni sikion.
Hapa msichanganye maisha ya usanii ambayo huwa wao nikuzaaaa tu bila ndoa .nakm nindoa huoana wao Kwa wao .
Kinyume nahapo wewe mwanamme na mwanamke mnaoenda na ujana mtaishia kusikia mume na mke .
Kuna wakati ukifika nilazima uachane na ujana .![]()
Inabidi uzowee tu mwaya. Mi zamani nilikuwa hivyo hivyo kama wewe ila baada ya kuzowea najionea kawaida.Ni kwel baadhi ya wanawake wanavaa vituko wanatuaibisha sisi tunaopenda kujstiri unakuta mtu kavaa kitu kmembana hata kutembea n shida unaona aibu badil yake