Akili za wanawake bwana!

Akili za wanawake bwana!

Anyway kutunza siri ni malezi nadhani

Nakumbuka shule ya msingi, kuna fomu yangu mojja niliiona bahati nasibu walimu wame-recommend 'msiri'
Nikashangaa kuwa ni siri gani nilotunza?
 
Siri ni kitu ambacho hutaki watu fulani wafahamu, umbea ni kusema jambo la ukweli kwa mtu/watu wasiohusika

Okay afadhali, maana nilijua nimeshaharibu kumbe mimi huwa nampaga umbea na si siri za ofisi.....
 
Hata kama unampa siri sioni tatizo

Hadi kuanza kumpa siri mtu unakuwa unamwamini

Mie kuna mtu mmoja anajua siri zangu zote, na najua haoita kaa itokee akasema mahali
Hata mie ana hakika siwezi sema nnayoyajua

Hivi unajua mke au mme ni mtu wa karibu sana? Mengi yaliyo moyoni utajikuta umeyatoa kwake tu

Ndio maana festi ledi analindwa maana anajua siri za mmewe, hushangai kwa nini wasilindwe wazazi wa raisi?

Kweli kabisa Kongosho .... ndoa haina maana kama mna lala kitanda kimoja alafu humuamini mwenzako......ni mbaya sana pia kutotunziana siri kwa wanandoa...... pia umbea ni chachu ya mapenzi..... kila mtu ni mmbea akiwa kitandani na mpenzi wake.:A S 39:
 
Hakumpa talaka wala hakumpa adhabu yoyote kwa sababu mama alijisikia vibaya mno baada ya kufahamu ukweli, na hasa baada ya mzee kuachishwa kazi. Bahati nzuri mzee alikuwa na biashara fulani ambayo alikuwa anafanya part time akaanza kuifanya full time na alifanikiwa mno, akaweza kujenga nyumba nyingine enzi hizo kwa hiyo biashara na mambo yakawa mazuri zaidi. Baada ya hapo akawa anajutia kupoteza muda kwenye kuajiriwa.

So hii inatufundisha kuwa maisha ni popote pale
 
Nadhani haujataka kuwa fair just because mwenye kosa la kusababisha mume kufutwa kazi ni huyo mwanamke. Suala la makosa yenu binafsi eti unapeleka ofisini sidhani kama ni busara kwa kweli no matter what! ! Ningekuwa mimi ndio ningeachana nae kabisa afurahi.

mkuu huo ni mtazamo wangu..

but hakuna kitu kinauma kama mwanaume anapomcheat mkewe tena bila adabu.. kumfanya hadi ajue na kujisikia hana maana kabisa na huenda thamani yake imepotea.

mbaya zaidi ukute hata wameshayazungumzia lakini jamaa wapiii... we unafanya mchezo na utamu wako kugawiwa ovyo huko mitaaani !!!! unajikataaa mazima... KUFUKUZWA kazi ni nini ??? alaaaaa watu wanajitoa uhai !

Kazi tutapata nyingine lakini sio ndoa/mume.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom