Sio tatizo la wanawake wote!!!!!!!!!! wengine wanatunza siri kuliko maarifa....Ila wanawake wanasukumwa sana na maamuzi ya hasira ambapo hujuta baada ya mkasa.
Mwanaume hupaswi kumuambia mkeo siri zako haswa za kujipatia kipato, kwani watanzania wote wezi!
Sasa atakula umbea wake alioupeleka Ofisini kwa mumewe.badala ya kutafuta solution ya kuwaachanisha yeye kaenda kutia kitumbua mchanga, sasa sijui atakula vipi.Loh!hasira hasara
Kutengua amri ya sita; katika maandiko matakatifu.
Hata wewe hujui nini maana ya kugegeda
Naombeni ni mwambie maana ya kugegeda.
Wanangu hamjambo!
Tusiwe watu wa haraka wa kuhukumu. Hujavaa viatu vya huyu mama. Eheeee baada ya kazi kuharibika vipi aliendelea na huyo kimada! Kumbuka mama yako mzazi naye ni mwanamke. Unapomtukana mwanamke yeyote hilo tusi linampata hata mama yako aliyekuzaa.
Kwa hiyo mkeo hatakiwi kujua unakofanya kazi au unamaanisha nini? mimi sioni connection ya siri za kazini na tukio la mwanamke kwenda kukushitaki kwa bosi.
Kwani kama ugomvi ulikuwa matunzo ya watoto mke aliyedhamiria kutibua hatoenda kusema kwa bosi? Na mimi sioni kama bosi ana mamlaka ya kumfukuza kazi mfanyakazi wake kwa mambo binafsi. Sheria ya mahusiano haimgusi ikiwa hayo mambo anayofanya haiathiri utendaji wa kazi za ofisi.
Na mwisho hiyo ndio faida ya wanawake wajuaji mnaooa mtandaoni kwa ashiki za kiunoni. Na huyo mwanaume amevuna matunda ya kuishi kama mbuzi, mtu umeoa bado unahangaika na viruka njia kama vya mtandaoni
Eti???
ahahahaaha Yes!!!:smile-big:
Iwe mwanzo na mwisho kutamka maneno yale
Mbona siku hizi wanaume wengi wanaongoza kwa umbwa maofisini? Na ukiona hivi jua wakiwa vijiwe vya kahawa ni hatari kabisa!! Ndiyo maana hata zile tunaita siri za serikali vijiweni zimejaa!! Kwani akina mama vijiwe vya kawhawa wanakaa? Balance taarifa ili tusionee upande mmoja!!
Hujaelewa topic mkuu
Kiufupi watu wanatabia za kujipatia vipato maofisini kwa njia ambazo sio halali hicho ndicho alichoenda kusema kwa ofisi hakwenda kusema mumewe ana mahusiano na binti mtaani