mdida
JF-Expert Member
- Jul 14, 2011
- 1,607
- 777
aahahhahaha nimeipenda hiyo! oeni midume kama wanawake hatuna akili!:high5:
kweli kabisa kama anaona vipi akaoe mume mwenzie ndie anatumvulia maovu yake.
aahahhahaha nimeipenda hiyo! oeni midume kama wanawake hatuna akili!:high5:
Unampa siri zako mwanamke shambenga unategemea akutunzie siri?
Hata wanamme mashambenga mbona wapo?
Nna siri nzito zake za ofisini na sijawahi hata mwambia ndugu yangu.
ebana inabidi nihoji kwani kugegeda ka binti mtaani kunaathiri vipi kazi yake mapaka afukuzwe haujaonesha connection hivyo huwez fukuzwa kazi kwa kitu ambacho hakiathiri utendaji wako wa kazi..nashawishika kuona hii ni moja ya stori za kijiweni....Wanangu hamjambo!
Kumpa siri za mambo unayoyafanya ofisini mkeo ni hatari kubwa.
Sikiliza kisa hiki..........
Kuna rafiki yangu fulani hivi alikuwa akimueleza mkewe kila kitu anachokifanya kwa ofisi
Sasa one day mwanamke akagundua kuwa mumewe ana kabinti huko mtaani anakagegeda
mwanamke aka mind sana kukawa na bonge la ugomvi bwana.....
Yule bibie si kaenda ofsini kuonana na bosi wa mumewe kusema yote anayoyafanya mumewe hapo ofsini lol.
Baada ya kumuumbua mumewe si kibarua kikaota nyasi
Haya sasa jamaa hana kazi wamebaki wanaangaliana usoni
Mama anahitaji mahitaji ya nyumbani mshikaji hana mkwanja
maisha yamekuwa magumu
Nyie wanawahi hizi ni akili au matope?
akili tope tope kweli! wanawake wenye akili hiyo ndo wale wanaopenda waume zao baada ya saa za kazi warudi haraka nyumbani, wakichelewa tu ndani kinanuka kwa magomvi. matokeo yake wanaume hao wanakuwa hawana brain juu ya mipangilio ya maisha kwa sababu ya kukosa ku-hang out na marafiki wa kubadirishana nao mawazo na kupeana michongo ya maisha!
Unampa siri zako mwanamke shambenga unategemea akutunzie siri?
Hata wanamme mashambenga mbona wapo?
Nna siri nzito zake za ofisini na sijawahi hata mwambia ndugu yangu.
Wanangu hamjambo!
Kumpa siri za mambo unayoyafanya ofisini mkeo ni hatari kubwa.
Sikiliza kisa hiki..........
Kuna rafiki yangu fulani hivi alikuwa akimueleza mkewe kila kitu anachokifanya kwa ofisi
Sasa one day mwanamke akagundua kuwa mumewe ana kabinti huko mtaani anakagegeda
mwanamke aka mind sana kukawa na bonge la ugomvi bwana.....
Yule bibie si kaenda ofsini kuonana na bosi wa mumewe kusema yote anayoyafanya mumewe hapo ofsini lol.
Baada ya kumuumbua mumewe si kibarua kikaota nyasi
Haya sasa jamaa hana kazi wamebaki wanaangaliana usoni
Mama anahitaji mahitaji ya nyumbani mshikaji hana mkwanja
maisha yamekuwa magumu
Nyie wanawahi hizi ni akili au matope?
Sikubaliani na wewe japo sina uhakika kama hili unalosema ni kweli au vipi?! Na hata kama ni kweli linaapply kwa wangapi?!
Nangoja wataalamu waje watueleze.
huo ni mtazamo wako wewe lakini wapo wanawake ambao wanataka waume zao wakitoka kazini tu warudi nyumbani muda huo huo. halafu ku-hang out na friends kunawapa watu shule ya maisha...jinsi ya kutafuta au masula ya post za ajira, nk.
Kaka HorsePower kula like nyingine... Naona hyo moja haikutoshi.
Back to topic.. Sishabikii alichofanya mwanamama but ninyi kina baba pia mjifunze.
Nachofikiri hapa huyo mama aliona isiwe tabu hii kazi inampatia huyu baba jeuri na mkwanja wa kuweka kimada kitaa.. So kiulaini kaharibu kazi ili hyo jeuri ikwishe lolz... Huna pesa hakuna kimada ana shida na wewe.
Baadhi ya kina baba akiwa na uwezo wa kifedha (mambo safi) hutumia uwezo wake kugegeda ovyo kitaa.. Na inapokuwa hivi mama hashindwi hata kumwomba Mungu hizo pesa ziondoke kwenu as BADALA ya kuleta baraka zimeleta laana. Kazi kwenu.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
kweli kabisa kama anaona vipi akaoe mume mwenzie ndie anatumvulia maovu yake.
Kuna bwana mmoja alikuwa anahusika kutunza nyaraka za ushahidi wa mahakama. Kwa kuhofia kuibiwa kazini, akazibeba akaenda nazo nyumbani pamoja na baadhi ya picha za ushahidi. Akabwaga briefcase nyumbani akaenda kwenye kijiwe cha kahawa. Kurudi anakuta briefcase imepekuliwa na baadhi ya nyaraka hakuna(mkewe hakwenda shule) kabla hajauliza mkewe akaanza kuwaka anamwambia picha za mahawara zako na barua zao zote nimezichoma moto. Mzee alinyong'onyea, akaitisha mkutano wa familia kuwaeleza. Kesho yake anaulizwa kuhusu document hana,unajua tena enzi za mchonga, kibarua kikaota nyasi.
Duuu hii kali. hebu tuambie hatima ya huyu mama na mmewe ikawaje?
Hivi Kongosho siri na umbea kuna tofauti.