Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,229
NA siku kikibuma kazini usirudi kwa mkeo
Baadhi ya wanamme wanajidai wa maana kweli, na wanawake ni nyongeza ya binadamu, kama mwanamke ni 'mjinga' kiasi hicho kwa nini usioe mwanamme??
Baadhi ya wanamme wanajidai wa maana kweli, na wanawake ni nyongeza ya binadamu, kama mwanamke ni 'mjinga' kiasi hicho kwa nini usioe mwanamme??
kumsimulia mwanamke mambo ya offisi na mengine yasiyomhusu ni UDHAIFU MKUBWA mwanamume hutakiwi kuwa dhaifu