Akili ya binadamu

Unapozeeka maana yake seli zinakufa zaidi kuliko ambavyo zinazalishwa, circuit ni muunganyiko wa kamba(neuron) ambazo kimsingi ni cell, hivyo basi zinapokufa maana yake circuit inakufa, kila circuit inatunza kumbu kumbu flani,

Hivyo basi unavyozeeka circuit zinakufa mdogo mdogo huku unapoteza kumbu kumbu ndio maana ukifikisha umri flani serikalini wanakuambia ustaafu kazi
 
Mkuu hii inaitwa in layman's language,shukrani nimekupata sana jinsi ubongo unavyofanya kazi,utunzaji wa kumbukumbu pamoja na namna ndoto zinavyotokea.
Je,kwa tunaosahau ndoto zetu tatizo linakuwa wapi hasa chief?
Ukilala circuit zinajizima na kujiwasha, ndoto ni thinking process inayotokea wakati circuit zinajizima na kujiwasha,

Sasa mkuu utakumbukaje kitu ambacho wakati umelala circuit zilikuwa zinajizima na kujiwasha???

Kimsingi ndoto ni uselles usizitilie maanani sana, watu hawaelewi ndoto ni nini ndio maana wana imani mbovu mbovu hakuna cha unabii wala kuoteshwa ni imani kama imani zingine
 
Kuanzia leo wewe ndio utakuwa jf doctor kwenye suala la ubongo.
Unajua kuelewesha mkuu.
Nikikuambia kuwa mimi sio daktari bali nasoma tu vitabu mbali mbali utakubali au utakataa?

Tatizo watu hatupendi kudadisi vitu vidogo vidogo, wenzetu wazungu kila kitu huwa wanapenda kukitolea maelezo, mfano sasa hivi wanahangaika kuielewa sayari ya Mars, lakini wabongo ukiwauliza watakuambia inatusaidiaje sisi kwenye maisha.
 
Baadaye kuna daktari mmoja mtaalamu wa Neuroscience alimfanyia mtu upasuaji wa ubongo ili kuondoa uvimbe, alifanya upasuaji akamaliza akamruhusu mgonjwa aende nyumbani, baada ya siku kadhaa mgonjwa akarudishwa hospitali akilalamika kuwa anapoteza kumbu kumbu hawezi kukumbuka matukio ya miaka ya nyuma na amewasahau mpaka watoto wake,

Ndipo hapo huyo daktari akanga'mua kuwa kumbu kumbu huhifadhiwa kwenye sehemu ya ubongo wa kati sehemu aliyoiondoa wakati wa upasuaji ndiyo hiyo inayohusika na kumbukumbu, baada ya ugunduzi huo wakaona kuwa akili na kumbu kumbu zote zipo kwenye ubongo ambapo ni sehemu ya mwili wa binadamu kwa hiyo wakawa wame m proof wrong bwana RENE DISCARTE na duality theory yake aliyokuwa akidai akili inapatikana nje ya mwili wa binadamu
Walimaliza je na mgonjwa wake?
 
Nikikuambia kuwa mimi sio daktari bali nasoma tu vitabu mbali mbali utakubali au utakataa?

Tatizo watu hatupendi kudadisi vitu vidogo vidogo, wenzetu wazungu kila kitu huwa wanapenda kukitolea maelezo, mfano sasa hivi wanahangaika kuielewa sayari ya Mars, lakini wabongo ukiwauliza watakuambia inatusaidiaje sisi kwenye maisha.
Haitajalisha kama ni daktari au la,cha singi unauelewa wa kutosha kumaliza udadisi wote
 
Ukilala circuit zinajizima na kujiwasha, ndoto ni thinking process inayotokea wakati circuit zinajizima na kujiwasha,

Sasa mkuu utakumbukaje kitu ambacho wakati umelala circuit zilikuwa zinajizima na kujiwasha???

Kimsingi ndoto ni uselles usizitilie maanani sana, watu hawaelewi ndoto ni nini ndio maana wana imani mbovu mbovu hakuna cha unabii wala kuoteshwa ni imani kama imani zingine
Jee yule mchungaji aloota mtu akishuut polisi kadhaa?
 
Jee yule mchungaji aloota mtu akishuut polisi kadhaa?
Kwanza kabisa tuyachambue maneno yako
  • Mtu akishoot
  • Polisi kadhaa
  • Mtu akishoot + polisi kadhaa= Mtu akishoot polisi kadhaa
Kabla hujaota ni lazima haya maneno au matukio uwe umewahi kuyasikia sehemu, kuyasoma mfano kwenye novel au kuona kabla haijalishi ni live au kwenye movie kama vile money heist.

Maana yake ni kwamba unakuwa nayo kwenye circuits (kumbu kumbu), then ukilala wakati circuits zinajizima na kujiwasha bahati nzuri circuit ya jamaa akishoot polisi kadhaa na circuit nyingine ukichunga mbuzi ikajiwasha basi ukiamka utasema umeoteshwa jamaa akishoot polisi kadhaa kwa sababu ni taarifa ya kuogopesha ile ya kuchunga mbuzi utaiignore, ndio maana huwa tunaota vitu haviko kwenye mpangilio unaoleta maana sababu ni kujizima na kujiwasha kwa circuit randomly.

Kuna kitu kinaitwa probability (uwepo wa possibilities), ikitokea hata baada ya wiki moja jamaa kashoot polisi kadhaa utasema malaika wamekushukia, swali je kwanini vitu vyote ulivyoota havitokei vinatokea vichache? Ni kama kubet tu ikitokea kweli umewin useme malaika walikuja usiku, utaanza kuulizia watu eti ukiota unachunga mbuzi maana yake nini ? Watakujaza ujinga na kukujengea hofu bure

Watu wanazihusisha ndoto na mambo ya imani sababu hawaelewi zinatokeaje, hawajui mechanism yake.
 
LUCKDUBE shukrani zaidi....nimekupata nami nimeelewa..

Usinichoke tena.

1: Je, Kuna uwezekano nikakaa sehemu nipate kuchunguza/observe namna ubongo wng unavoperfom various tasks? Whether theoritically or in practice.

Lengo hasa nipate kuona ule upimbi wa fikra au mawazo yanavokosa focus Mana natamani Ni archive maximum concentration but I failed to manage it.

2: Abt cognitive behavioral or conditioned reflex actions nlizipitia shuleni jujuu... Can I train my brain to perceive pains stimuli as pleasure!??
 
Nenda Muhimbili kwenye MRI au CT Scan
2: Abt cognitive behavioral or conditioned reflex actions nlizipitia shuleni jujuu... Can I train my brain to perceive pains stimuli as pleasure!??
Yaani kuna mambo bado huyaelewi aisee,
Cognitive behavioural ni psychology
Conditioned reflex action ni biology

Pain stimuli huwezi kuiperceive kama plessure, ila unaweza kuiavoid kwa kutumia opium kama vile morphine tena chini ya uangalizi wa mtaalam wa afya.
 
Back
Top Bottom