Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,638
- 697,938
Katika utangulizi wa somo letu hili tulijaribu kuwekana sawa kidogo kuhusu Mambo haya ambayo tunawafundisha.
katika masomo yetu Wala hayaangalii wewe Ni Dini gani kwa sababu masuala ya kiroho hayahitaji Dini husika ili kuyafikia Bali Ni kujitoa kwako kwa uaminifu tu.
UFAHAMU
Ufahamu Ni lile tendo la kujua Kama unajua, kutambua vile ambavyo vinatuzunguka kwenye uwepo wetu, MAHUSIANO hayo tunayaita mazingira.
Mazingira yanatengenezwa na zile idea ambazo zinaumbwa katika akili zetu, Na hizi idea ambazo zinatengenezwa katika akili zetu ndiyo msingi mkuu wa ufahamu wote.
Kiasili hizi ideas juu ya ufahamu wetu ndiyo zinatengeneza tabia husika
Matendo yasiyo ya hiyari : Katika ufahamu au consciousness tunaanza kukutana na huu ufahamu, huu Ni ufahamu unaohusu matendo yote yasiyo ya hiyari, mfano kupumua, kupiga chafya, Kwikwi, Kupaliwa, Nk.
Haya Ni matendo ambayo yanamtokea mtu au kiumbe pasipo yeye mwenyewe kujiandaa, yaani utake usitake yatakutokea tu. Yapo mengi Ila nimeyaweka hayo machache, mengine mtayaongezea.
Katika masomo haya inabidi uelewe kwamba as within so out side, yaani jinsi ambacho kipo Cha ndani ndiyo Cha nje pia kipo hivyo hivyo, na pia as above so below na jinsi ambacho kilivyo cha juu ndivyo kilivyo cha chini. hii pia unaikuta katika baadhi ya maandiko huku ikisema kwamba matendo yako yatimizwe huku duniani Kama ilivyo huko mbinguni, Ni Sheria tu hii ya as above so below.
Kabla hatujaingia ndani Sana kwenye kanuni yetu ya 3=2 na 2=1 inabidi tufuanguane hapa ili huko tunakoenda kusiwe na kuntofahamu.
Hapa kwenye matendo yasiyo ya hiyali ndiyo matendo yote ambayo yamebebwa katika original thinking ndiyo yanafanyika Hapa kwenye matendo yasiyo ya hiyali, hapa ndipo kwenye nguvu ya now au Sasa au wakati uliopo.
MATENDO YA HIYARI (subconscious)
Matendo ya hiyari Ni matendo yanayofanyika kwa matakwa ya binadamu au kiumbe husika, kwa Nini haya hayanafanyika kwa matakwa au kwa kutaka tofauti na yake yasiyo ya hiyali.
Matendo ya hiyari Ni mkusanyiko wa mafikilio yote yaliyopita kwenye ubongo wa mwanadamu au kiumbe husika, yanaweza kuwa mawazo au matendo.
Na hapa ndiyo panapotunzwa kumbukumbu zote za nyuma, au tunaweza kuita memory.
Yote yanayofanyika kuwazwa na kuongelewa huwa yanaingia katika kipengele hiki Cha subconscious na kuhifadhiwa, Katika kuhifadhiwa huko hakuna hata kimoja kinachopotea, Ni mfano wa computer ambayo imehifadhiwa mafaili mengi Sana na hakuna hata faili moja lililopotea kitendo Cha kutokukumbuka faili lako umelisave wapi haimaanishi kwamba faili halipo.
Lakini wakati mwingine huu ufahamu wa subconscious unafanya kazi zake separate na conscious mind kivipi, mfano umelala na ukawa unaota matukio yaliyopita lakini wakati huo huo mwili unaendelea na zoezi la upumuaji ambalo liko nje kabisa na ule ufahamu wa matendo ya hiyari. Hivyo hapa tunaona kwamba huu ufahamu wa subconscious hauna nguvu kabisa juu ya ufahamu wa conscious.
Yale yote ambayo yanatokea na kufanyika kwenye ufahamu wa subconscious Ni matokeo ya kile tulichojifunza na kukivuna kutoka kwenye ufahamu wa conscious/super-conscious ambayo ndiyo yanakuja kutengeneza tabia au mazoea yetu.
UFAHAMU WA KRISTO
Huu Ni ufahamu wa kiroho ambao uko juu zaidi ya ufahamu na utambuzi wetu, huu Ni ufahamu wa kweli ambao ufahamu huu Ni true idea ndiyo zinazalishwa hapa, huu ndiyo ufahamu ambao manabii au watu walio kiroho zaidi huutumia.
Kama ukiwa na uwezo wa kuutumia ufahamu huu Basi wewe utaonekana uko tofauti na watu wengine.
UFAHAMU BINAFSI ( personal consciousness)
Huu Ni ufahamu ambao una mipaka, yaani Ni ufahamu ulio kibinfsi Sana, nafikili hapo kwenu wapo watu ambao Ni wavinafsi mpaka inafikia hatua ya kujiuliza huu uchoyo wameutolea wapi, na kwenye ufahamu huu ndiyo inapatikana egos.
Sense consciousness
Huu Ni ufahamu ambao unaundwa kwa kuamini na kutenda kupitia hisia, huu ndiyo ufahamu wa nyoka, ambao unaongozwa na kufikilia zaidi. Mtu anapoambatana na mawazo yake ndiyo anaunda hii sense consciousness, na kinachotokea Ni kufanya mawazo yake yasiwe kiroho, na hapa ndiyo mtu anapopoteza MAHUSIANO yake na Chanzo chake.
Lakini IPO Njia yaa kurudi kwenye Chanzo ambacho tutakielezea kwenye muendelezo wetu. Kama ilivyoandikwa kwamba nitafufuka na kwenda kwa baba yangu.
MATERIAL CONSCIOUSNESS
Ufahamu huu hauna tofauti na ule ufahamu wa ubinafsi na ule wa sense. Huu Ni ufahamu ambao umeumbwa kwa kuamini uhalisia na materiality, Ni ufahamu ambao unajali vitu zaidi. Huu Ni ufahamu ambao Ni mgumu kuamini kuwa Mungu yupo kote na Hana ukomo.
Na ufahamu huu ndiyo ufahamu unaoabudiwa zaidi sehemu mbalimbali za kiimani huku ukiaminika kuwa ndiyo wenyewe.
Imeandaliwa na kuandikwa na Dokta Dotto Aliko
Sent using Jamii Forums mobile app