Akili ya binadamu

Sijaona mahali nimesema nimeshidwa usininukuu vibaya narudia kutokana na sababu zilizo nnje ya uwezo wangu.
Ni sawa nami niseme kama umeshidwa kukipakia hapa jukwaani umekisoma kweli?
Kama umesoma vizuri hizo screenshoot utagundua nmekisoma miezi kadhaa iliyopita kwahiyo mimi nilitaka kukuelekeza ili nawewe uwe unapakua vitabu mbali mbali bure kiukweli kusema nianze kuatach hapa naona sio sawa isitoshe bando lenyewe sio la kutosha
 
Kulala ni njia mojawapo ya kuupumzisha ubongo.
Mkuu kila siku mutu anaota vitu mbali mbali mpaka kupiga miti mtu, tena basi unakojoa kabisaaa kojo mwaa, inatokeaga hasa ukiwa na ugwadu wa muda mrefu!! hapa umehusisha ubongo lazima!! na pia

ndoto nyingine kibao tu...... mtu mwenye afya ana wastani wa ndoto kumi kwa usiku mmoja, hapa ni akili inatumika mkuu! huwezi ota bila kuhusha akili never! tena nitendo la miaka kibao, hata Farao alikuwa muotaji, amabae sijawahi sikia aliota ni Yesu tu!

Mfano huwa ninawaza misamiati mingi sana, ya lugha ya kiingereza nikistuka tu naandika, asubuhi nikija kwa Dictionary yaani ni kweli kabisaa na nilicho kiota,

kwa mfano leo hii nimeota mneno mawili ya kiingereza mojawapo ni aprinox, nikaliandika, asubuhi kucheck hili neno lipo kweli! yaani huwa najishangaa kindoto! akili lazima ilihusika Medulla Oblongata! na maamuzi ya kuandika nisisahau ni ya ubongo pia! iko hivi

Ni either mtu asahau au akumbuke baadhi ya ndoto zake hizo!! je nakuuliza hapa kinacho fanya kazi ni nini km si ubongo? njia pekee ya Kupumzisha ubongo ni kuamua wewe mwenyewe wkt umekaa au umejilaza kitandani na kusema

''sitaki kuwaza chochote ; kitu unapiga hola na huwazi kabisaa hata masaa 3, lkn ukifanya uamuzi huu wkt umejilaza kwa kitanda lazima usingizi ukubebe na huko utaota lazima! elezea hii mkuu ikoje? kulingana na ufahamu wako!!
 
Mkuu sijafahamu umesimamia upande gani, unaunga mkono au unapinga?
 
Mkuu sijafahamu umesimamia upande gani, unaunga mkono au unapinga?
Mkuu,
tukirudi kwenye mada. Kwanini watu tunatofautia uwezo wa kunasa matukio na kumbukumbu kwa wakati mfupi?

Ni mambo gani yanasababisha mtu kuwa na uwezo mdogo wa kukumbuka vitu wakati bado angali kijana tu?

Nini vinanafanya mtu awe na afya nzuri ya ubongo (smart) na ni nini vinaweza kumfanya mtu awe na afya mbaya ya ubongo (kilaza) ?
 
Ndio,

Mfano kula lishe bora, pia mifupa ya samaki inaimarisha afya ya akili na uwezo wa kutunza kumbu kumbu,

Njia nyingine ni kama ile ya kucheza golf kila siky kwa kuimagine, unaweza kufanya hivyo kwenye jambo ambalo hutaki ulisahau yaani unariludia kila siku circuit inakuwa strong
Wewe unadhani kwa nini unaikumbuka namba yako ya simu?
Kwenye namba ya simu naunga mkono hoja. Kuna namba niliiona mara ya. Kwanza mwaka 2003 nikaisave kwenye handset ya kwanza miaka hiyo. Ila Hadi 2009 mtumiaji wa namba hiyo na Mimi tulisitisha mawasiliano. Hivyo simu nilizonunua nyingi baada ya iliyosave namba ya kwanza kutoitumia Tena. Nimetumia simu takribani nane au 10 hadi mwaka huu, ajabu wiki hii niliitafakari hiyo namba nikaipa akili assignment, kwamba namba hii naihitaji na nitaikumbuka na kuipiga. Aisee kweli, fikiria imepita takribani miaka 12 sijacontact na hiyo namba but circuit iliyoitunza ikaileta na nikaipiga na aliyepokea ndiye, sikukosea.
Ila swali hapo nimetumia mind au brain? Na Binadamu ni soul au brain?
 
Labda ukubwa wa ubongo na wingi wa mikunjo mikunjo kwenye ubongo.
Mkuu,
tukirudi kwenye mada. Kwanini watu tunatofautia uwezo wa kunasa matukio na kumbukumbu kwa wakati mfupi?

Ni mambo gani yanasababisha mtu kuwa na uwezo mdogo wa kukumbuka vitu wakati bado angali kijana tu?

Nini vinanafanya mtu awe na afya nzuri ya ubongo (smart) na ni nini vinaweza kumfanya mtu awe na afya mbaya ya ubongo (kilaza) ?
 
our brains ni kama flash tu imecarry information kuanzia tunavoanza kujitambua lakini really information na data zipo kwenye miili yetu wenyewe ndani ya DNA hivo unaweza kujikuta una pua ya babu yako alliishi miaka buku iliyopita,kwahiyo unapoweka kwa pamoja subconscious mind, conscious mind na body unakua unaweza kuconnect dots kwasababu tushawahi experience kila kitu duniani tangu inaumbwa uzao wako wa kwanza hivo mambo yanafanikiwa utakavyo.
 
Huwezi kuamini,toka nmeingia hapa juzi,sahizi ndo nafikiria kuhamia majukwaaa mengine🤔

Kuna kitu nmepata hapa,asanteni Sana.
 
Human knowledge inakaa kwenye kiungo (organ) gani ktk mwili wa binadamu?

Kwa mtazamo wako knowledge ni nini? What is concept? What is idea? What is memory ? What is thought? What is reasoning? What is learning??

Usiponijibu haya maswali basi hiyo degree yako ya philosophy hujaielewa inahusu nini wala sitahangaika na wewe sababu huna kitu ambacho nitajifunza kutoka kwako
Hicho kichwa kina nondo za kutosha ...kudos

Sent from my TA-1053 using JamiiForums mobile app
 
Msanii @mr mpevu Tz mbongo SOMENI HUU UZI WOTE MAJIBU YAMO HUMU SIWEZI KURUAIA KITU KILE KILE.
Specifically umeniita.
Ngoja niusome huu uzi kuanzia post namba moja. Itanichukua siku kadhaa kuusoma kwa sababu nitakuwa naweka kituo mara kwa mara nifanye mambo mengine...

Eneo la akili ya viumbe sisi ni pana sana na elimu yake ni mtambuka
 
Baadaye kuna daktari mmoja mtaalamu wa Neuroscience alimfanyia mtu upasuaji wa ubongo ili kuondoa uvimbe, alifanya upasuaji akamaliza akamruhusu mgonjwa aende nyumbani, baada ya siku kadhaa mgonjwa akarudishwa hospitali akilalamika kuwa anapoteza kumbu kumbu hawezi kukumbuka matukio ya miaka ya nyuma na amewasahau mpaka watoto wake,

Ndipo hapo huyo daktari akanga'mua kuwa kumbu kumbu huhifadhiwa kwenye sehemu ya ubongo wa kati sehemu aliyoiondoa wakati wa upasuaji ndiyo hiyo inayohusika na kumbukumbu, baada ya ugunduzi huo wakaona kuwa akili na kumbu kumbu zote zipo kwenye ubongo ambapo ni sehemu ya mwili wa binadamu kwa hiyo wakawa wame m proof wrong bwana RENE DISCARTE na duality theory yake aliyokuwa akidai akili inapatikana nje ya mwili wa binadamu
Capacity kwa tafsiri uwezo wa kuhifadhi wa akili ya binadamu inabebwa na aina ya ubongo? au eneo fulani la ubongo au kitu gani haswa?

Nauliza hivyo, kwa sababu binadamu hajawahi kuwa na ukomo wa kufikiri, kuwaza na kuweka kumbukumbu. Na hata akiwa katika mtindiko wa akili, lakini bado inaendelea kufanyakazi na kuweka kumbukumbu ingawa sisi wenye utimamu tunaona hayuko sawa lakini akili ya mtindio inafanya mambo fulani ndani ya uwezo wake na inaweka kumbukumbu. Tunaliona hilo kwenye matendo yanayojirudiarudia na mara nyingine vitu vipya
 
Specifically umeniita.
Ngoja niusome huu uzi kuanzia post namba moja. Itanichukua siku kadhaa kuusoma kwa sababu nitakuwa naweka kituo mara kwa mara nifanye mambo mengine...

Eneo la akili ya viumbe sisi ni pana sana na elimu yake ni mtambuka
ndiyo maana mimi sikutaka kabisa kuwajibu kwenye ule uzi wa ndoto maana nilijua tungesumbuana pia na mimi nna majukumu utulivu wa hali ya juu unahitajika ndio maana siku hata nkipost thread au coment napost vitu vya kawaida tu ila kuanzia mwezi wa sita ntaanza tena kushusha vitu vizito awamu hii sitaishia kwenye ufafafanuzi tu ntawapa na suluhisho kabisa lenye tija kwa kila mtu ko mkae kwa kutulia sasa hivi acha tukimbizane na thread za hovyo hovyo tu za kusukumia siku ila huwezi amini nna miaka miwili sikuligusa hili jukwaa sikutaka kuhangaika na mtu.
 
Capacity kwa tafsiri uwezo wa kuhifadhi wa akili ya binadamu inabebwa na aina ya ubongo? au eneo fulani la ubongo au kitu gani haswa?

Nauliza hivyo, kwa sababu binadamu hajawahi kuwa na ukomo wa kufikiri, kuwaza na kuweka kumbukumbu. Na hata akiwa katika mtindiko wa akili, lakini bado inaendelea kufanyakazi na kuweka kumbukumbu ingawa sisi wenye utimamu tunaona hayuko sawa lakini akili ya mtindio inafanya mambo fulani ndani ya uwezo wake na inaweka kumbukumbu. Tunaliona hilo kwenye matendo yanayojirudiarudia na mara nyingine vitu vipya
hilo swali ulilo uliza ni swali la PSYCHIATRY/MENTAL HEALTH unaweza kuona umeuliza swali dogo ila ni kubwa sana na majibu yake ukiyajua utakuwa sawa na daktari yeyote namaanisha MD wa nchi hii kwenye eneo la afya ya akili wewe soma uzi wote uuelewe upate kitu mwezi wa sita au saba nkiwa na muda ntakuja kuendelea nilipoishia ntaufufua huu uzi tuombe uzima.
 
Nadhani naanza kupata clue.
Ngoja niende mdogo mdogo maana mpaka kesho nahangaisha mawazo yangu kuhusu uwezo wetu wa kumbukumbu hususani ukubwa wa akili zetu.. Na huu ujio wa AI ndiyo kabisaa naona kumbe bado hatujawahi kutumia akili zetu kwa uwezo unaotakiwa kukidhi viwango vya akili....

Ngoja nisome taratibu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom