Akili ya binadamu

Jinsi gani naweza kutrain ubongo wangu uwe na recalling capacity kubwa na long term memory unaweza kunipa hata tips ambazo naweza kutumia
Kwanza inatakiwa uelewe maana ya LONG TERM MEMORY ni nini? Pili uelewe maana ya short term memory ni nini?

Kutrain ubongo wako ku recall kitu tumia conditioned reflex action, mfano ukiusikia wimbo wa Z anto ule wa mpenzi jini unakumbuka matukio gani ya enzi hizo?
 
Kimsingi ndoto ni uselles usizitilie maanani sana, watu hawaelewi ndoto ni nini ndio maana wana imani mbovu mbovu hakuna cha unabii wala kuoteshwa ni imani kama imani zingine

Wewe ni mtaalamu wa ndoto (spiritual scientist) au ni medical scientist (doctor) ???
 
Kitabu chochote ??!!
Kwa mfano mimi nilitamani kujua Kwanini Ronaldo wakati anahutubia press chupa za cocacola huwekwa mezani, je zinanishawishi vipi mimi niliyeko huku Songwe ninunue COCA COLA, ktk kuanza kusoma nkajikuta nasoma mambo ya marketing, advertisement, psychology, emotions and needs, sleeping,Memory, cognitive neuroscience, placebo n.k
 
Kama umesoma una degree au masters ya taaluma flani maana yake kwenye ubongo wako kuna circuit nyingi zilizo active zenye kumbu kumbu ya ma presentation, ma lecture, na vitabu mbali mbali vya taaluma husika, wakati huo huo wewe ni shabiki wa Arsenal, Mzazi, mwanachama wa CCM/CHADEMA yaani una ma circuit mengi . Mkusanyiko wa circuits ndio unaunda identity zako mbali mbali. Hizi circuits zitakuwa active siku zote mpaka siku utakayokufa,

Kwa siku matukio ni mengi ubongo unachoka sana kurekodi, pia hauwezi kurekodi kila kitu hivyo basi kuna vitu vitakuwa deleted ili kuupunguzia ubongo kazi. Oxygen na energy inayotumika ni nyingi sana. Kulala ni njia mojawapo ya kuupumzisha ubongo.
Mkuu naomba nielimishe kidogo ni kwa vipi ubongo unabadilika shape na size.
Niliwahi kusikia sehemu
 
Kaka ila Mimi nitakuita doctor umetufungua sana kuhusu elimu ya ubongo, ila kikubwa nimejifunza kutoka kwako pale kitu kinapotusumbua hatuna budi kuwa wapenzi wa kusoma vitabu kujifunza vitu vipya au vile tunauelewa nao wajujuu kwa field yeyote ,Asante sana kak
 
Kwa mfano mimi nilitamani kujua Kwanini Ronaldo wakati anahutubia press chupa za cocacola huwekwa mezani, je zinanishawishi vipi mimi niliyeko huku Songwe ninunue COCA COLA, ktk kuanza kusoma nkajikuta nasoma mambo ya marketing, advertisement, psychology, emotions and needs, sleeping,Memory, cognitive neuroscience, placebo n.k

Be specific, don't beat about the bush, niambie ni kitabu au vitabu gani nikasome??!
 
Mkuu naomba nielimishe kidogo ni kwa vipi ubongo unabadilika shape na size.
Niliwahi kusikia sehemu
339a0114dc7b4728c4f09fba64048617.jpg
 
Mkuu kasone uje umalizie uzi wako au kama vipi niulize maswali nikueleweshe
pia rejea andiko la bwana PAVLOV kuhusu conditioned reflex action utaelewa vizuri hayo mambo ya subconcious na consciousness
umemaliza kila kitu mkuu sina cha kuongeza japo pia suala la duality bado lipo sana hasa tukija kwenye masuala ya kiimani na kidini ambapo mara nyingi huwa tunachukulia kuwa it's beyond science (science can't prove).
 
Socrates alifikiria kuwa mind ni miungu

Wafia dini ukianza kuwapa elimu huwa ni wabishi sana wanakomaa na DUALITY THEORY
 
Socrates alifikiria kuwa mind ni miungu

Wafia dini ukianza kuwapa elimu huwa ni wabishi sana wanakomaa na DUALITY THEORY
there is still so much more we don't know about our brains ila miaka inavyozidi kwenda mbele tutakuja kuvielewa zaidi au hata mtazamo ukaja kubadilika kabisa
 
Back
Top Bottom