Akikuchomekea mtoto dawa ni moja tu!

Akikuchomekea mtoto dawa ni moja tu!

Wanawake sasa hivi wana roho ngumu kuliko Lilith (usiniulize ni nani), kukuchanganyia mtoto kwenye ndoa, kwake haombi hata ushauri.

Wewe cha kufanya kausha halafu jifanye hujui kabisa, then mpende huyo mtoto kweli kweli, hakikisha anasoma mpaka mwisho. Mpende kwa matendo na maneno.

Halafu akiwa mtu mzima mwambie mtoto ukweli bila kumwambia mama yake kitu, mwambie nilijua ila niliamua kukaa kimya, wakati huo akiwa na kazi yake, halafu kaa kimya.

Muziki utakaofuata hapo we kaa pembeni!
hapana huu ni ushauri mbaya sana

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
Lilith na hawa ni watu wawili tofauti, yaani adam alipoumbwa akamkuta lilith yupo, mungu akasema ishi nae huyo ubavu wako sasa lilith akawa mkorofi sana na mgomvi yeye muda wote anawaza maovu ikabidi adamu amtimue lilith akaenda kuanza kua malaya mtaani maana hana mume hapo ndio asili ya umalaya ilipoanzia.

Huyo Mungu akaja kustuka mbona Adam ni mnyonge, ikabidi ampige usingizi kwenye ubavu wake akapatikana hawa sasa ili kidogo waendane ikawa ndio balaa kubwa yule hawa ndio kamaliza show ya kula tunda la mti wa katikati , hivi unavoona duniani dhambi zote mwanaume anasababishiwa na mwanamke ni kiumbe asieridhika wala kueleweka
Hii stori umetoa wapi??
 
Wanasema Hawa alikuwa anaitwa pia Lilith.Ni elimu tu mkuu,kama hukumaanisha Hawa sorry.Hata hivyo tuelimishe basi,Lilith alikuwa nani,maana you seem to know.
kwa mfano wa Mungu, mwanaume na mwanamke waliumbwa... mmoja sijui akaenda wapi, mungu akamuona mwanaume ni mpweke akampa usingizi na kuchukua ubavu wake hapo akatokea mwanamke mwingine wakumtoa upweke, yule wa mwanzo aliyesepa akaona wivu akajigeuza nyoka ... hadith inaendelea kama unavyoisomaga nimekupa tafakuri tuu kazi kwako kutafakari.
 
Wanawake sasa hivi wana roho ngumu kuliko Lilith (usiniulize ni nani), kukuchanganyia mtoto kwenye ndoa, kwake haombi hata ushauri.

Wewe cha kufanya kausha halafu jifanye hujui kabisa, then mpende huyo mtoto kweli kweli, hakikisha anasoma mpaka mwisho. Mpende kwa matendo na maneno.

Halafu akiwa mtu mzima mwambie mtoto ukweli bila kumwambia mama yake kitu, mwambie nilijua ila niliamua kukaa kimya, wakati huo akiwa na kazi yake, halafu kaa kimya.

Muziki utakaofuata hapo we kaa pembeni!
Ni zaidi ya wema yaani
 
No, neno halisemi hivyo,that is a cooked story,ni uzushi.The following is what the Word of God says,msipotoshe watu makusudi,mwogopeni Mungu.

Mwanzo 2:18-25
18 Bwana Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye.
19.Bwana Mungu akafanyiza kutoka katika ardhi kila mnyama wa msituni, na kila ndege wa angani, akamletea Adamu ili aone atawaitaje; kila kiumbe hai, jina alilokiita Adamu likawa ndilo jina lake.
20 Adamu akawapa majina yao kila mnyama wa kufugwa, na ndege wa angani, na kila mnyama wa mwituni; lakini hakuonekana wa kumsaidia Adamu aliyefanana naye.
21 Bwana Mungu akamletea Adamu usingizi mzito, naye akalala; kisha akatwaa ubavu wake mmoja, akafunika nyama mahali pake,
22 na ule ubavu alioutwaa katika Adamu Bwana Mungu akaufanya mwanamke, akamleta kwa Adamu.
23 Adamu akasema, Sasa huyu ni mfupa katika mifupa yangu, na nyama katika nyama yangu, basi ataitwa mwanamke, kwa maana ametwaliwa katika mwanamume.
24 Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja.
25 Nao walikuwa uchi wote wawili, Adamu na mkewe, wala hawakuona haya.
 
Wanawake sasa hivi wana roho ngumu kuliko Lilith (usiniulize ni nani), kukuchanganyia mtoto kwenye ndoa, kwake haombi hata ushauri.

Wewe cha kufanya kausha halafu jifanye hujui kabisa, then mpende huyo mtoto kweli kweli, hakikisha anasoma mpaka mwisho. Mpende kwa matendo na maneno.

Halafu akiwa mtu mzima mwambie mtoto ukweli bila kumwambia mama yake kitu, mwambie nilijua ila niliamua kukaa kimya, wakati huo akiwa na kazi yake, halafu kaa kimya.

Muziki utakaofuata hapo we kaa pembeni!
Mama yake akifariki kabla ya mtoto kumaliza kusoma.
 
Wanawake sasa hivi wana roho ngumu kuliko Lilith (usiniulize ni nani), kukuchanganyia mtoto kwenye ndoa, kwake haombi hata ushauri.

Wewe cha kufanya kausha halafu jifanye hujui kabisa, then mpende huyo mtoto kweli kweli, hakikisha anasoma mpaka mwisho. Mpende kwa matendo na maneno.

Halafu akiwa mtu mzima mwambie mtoto ukweli bila kumwambia mama yake kitu, mwambie nilijua ila niliamua kukaa kimya, wakati huo akiwa na kazi yake, halafu kaa kimya.

Muziki utakaofuata hapo we kaa pembeni!

Kumbe binadamu bado hujawajua.
Watu wanawazingua wazazi wao kabisa wa kuwazaa licha ya kutendewa Mema. Sembuse Baba WA kambo.

Dawa ni kuachana tuu. Hiyo ndio suluhu tangu zamani.
Lakini kama ni Mwanaume dhaifu au upo katika umri wa kutokuwa na ujanja. Basi kids kisabuni hivyohivyo
 
Unakamatwa na bangi halafu ulivyo mpuuzi unampiga tena makofi polisi.
 
Back
Top Bottom