Akikuchomekea mtoto dawa ni moja tu!

Akikuchomekea mtoto dawa ni moja tu!

Hii njia ni nzuri sana, yeye mwenyewe mwanamke atakua na msuto wa dhamiri kipindi chote, anaweza akawa anakonda kila kukicha wewe unanawiri tu kwa vile unaujua ukweli.

Kujua ukweli na kukubaliana nao ni nzuri sana.
 
Waliochomekea waume wao watoto mnajitokeza! Kwani anapomchana huyo mtoto anamuuzi huyo mtoto au anamwonyesha jinsi gani alijali wakati wa zuluma za Mama yake?
Wamepanic sana...mandenyi dada yangu hii ni story tu...mbona nyie hua mnawalisha watoto sumu kuwa baba yako ni wanawake na pombe tu!
 
Hilo ni bomu hatari sana unataka akamtoe roho au ajenge chuki na mama yake
Wakati anapata mimba ya mwanaume anaempenda unajua anasemaga nn? Hua anamwambia naomba nikubebee mimba pls..mume wangu hatajua...nipate kumbukumbu yako
 
Hii njia ni nzuri sana, yeye mwenyewe mwanamke atakua na msuto wa dhamiri kipindi chote, anaweza akawa anakonda kila kukicha wewe unanawiri tu kwa vile unaujua ukweli.
Kujua ukweli na kukubaliana nao ni nzuri sana.
Hatari mkuu...! Hiyo ngoma inacheza 50 sitini hivi...mtoto hapo ana 26 hadi 30
 
Hawa hakuwa anaitwa Lilith mkuu,it is a lie!

Lilith na hawa ni watu wawili tofauti, yaani adam alipoumbwa akamkuta lilith yupo, mungu akasema ishi nae huyo ubavu wako sasa lilith akawa mkorofi sana na mgomvi yeye muda wote anawaza maovu ikabidi adamu amtimue lilith akaenda kuanza kua malaya mtaani maana hana mume hapo ndio asili ya umalaya ilipoanzia.

Huyo Mungu akaja kustuka mbona Adam ni mnyonge, ikabidi ampige usingizi kwenye ubavu wake akapatikana hawa sasa ili kidogo waendane ikawa ndio balaa kubwa yule hawa ndio kamaliza show ya kula tunda la mti wa katikati , hivi unavoona duniani dhambi zote mwanaume anasababishiwa na mwanamke ni kiumbe asieridhika wala kueleweka
 
Back
Top Bottom