Willy NGOMA
JF-Expert Member
- Feb 25, 2016
- 4,384
- 5,976
Chukua simu ya mke wako alafu mtumie meseji rafiki yake andika "Daah shost nina mimba"
Likija swali: "Ya nani hiyo shoga"? Chukua karatasi na kalamu anza kuandika talaka
Likija swali: "Ya nani hiyo shoga"? Chukua karatasi na kalamu anza kuandika talaka