Akaunti ya dollar kati ya CRDB na Barclays

Faida za CRDB ni unapata MasterCard na pia unaweza kufanya online transaction. Downside yake ni makato ya transaction, sina US dollar akaunti benki nyingine (sina comparison) but I feel the fee is too much

It is damn too much. CRDB wana vikodikodi vingiii vya ajabu kwenye USD account. Vingine wanavirudia mara mbilimbili (labda kwa makusudi wakijua mtu hawezi kunotice hata usd 3.5). Nimehamia KCB
 
Hivi wadau kama akaunti yako ni ya shilingi na unaitumia kuingizia mshahara wako unaweza kuigeuza kuwa ya dolar ?? Na vipi hasara zake kwenye mshahara wako.... Pia napenda kujua faida za kuwa na akaunti ya dollar
Huwezi kuibadili akaunt hiyo kuwa ya dollar ispokua utatakiwa ufungue nyingine iwe ya dollar..
 
Wakuu mimi ni mfantabiashara ninaagiza vifaa vya ujenzi nakuuza.Lakini pia ninategemea kuvuna ngano na kuexport.
-Ninapata dollar kadhaa.Nahitaji mnifahamishe benki bora kwa akaunti ya us dollar.Kwa sasa nina akaunti ya dollar barclays.Nataka kujua na crdb bank kwa wazoefu wazoefu.Naogopa kuhusu Telegraphic Transfers manake benki zingine kufanya telegraphic transfers mpaka mshikane nashati.
Nenda Exim Bank, kwa Savings account unamaintain $ 100/ kama minimum balance na makato kwa mwezi ni $ 5/. Ukija kwenye Telegraphic transfer ndio utawapenda ni fasta kuliko wengine maana ndani ya masaa manne lazima pesa iwe imeshatumwa na isipotumwa kwa muda huo unarudishiwa TT charges uliyokatwa ambayo kwao ni $ 50/. Kesho yake tu pesa imeshafika mamtoni..
 
Equity wabovu sana, wanaruhusu transaction tano tu kwa siku kufanya online. Ni uzembe wa hali ya juu
Huwa na nunua vitu mara kibao aliexpress kupitia account yangu ya sh ya equity bank sijakutana na hiyo ishu. Hata T/T charges zao ni 40 dollars ambayo ni cheap kuliko nbc pamoja6na Crdb 80 dollars.
 
Nenda Exim Bank, kwa Savings account unamaintain $ 100/ kama minimum balance na makato kwa mwezi ni $ 5/. Ukija kwenye Telegraphic transfer ndio utawapenda ni fasta kuliko wengine maana ndani ya masaa manne lazima pesa iwe imeshatumwa na isipotumwa kwa muda huo unarudishiwa TT charges uliyokatwa ambayo kwao ni $ 50/. Kesho yake tu pesa imeshafika mamtoni..
Ninashkuru mkuu ila tatizo la exim ni matawi lakini pia nina jamaa yangu alikuwa na akaunti exim akanambia kwenye usd na online purchases exim ni vampires.
 
Izo zote za dollar mkuu?
Stanbic na Crdb, equity, post bank ni account za dollars mkuu. Nilikua natafuta huduma bora ndiyo maana nikawa nafungua account bank tofauti mpaka nilipofika equity roho yangu ikiridhika.
 
Huwa na nunua vitu mara kibao aliexpress kupitia account yangu ya sh ya equity bank sijakutana na hiyo ishu. Hata T/T charges zao ni 40 dollars ambayo ni cheap kuliko nbc pamoja6na Crdb 80 dollars.
Na mm pia ninampango wa kuanza kununua bidhaa mbalimbali nje ya nchi kwa Online.Ila shida kubwa n kuwa sielewi vizur jinsi ya kuanza mpaka kuletewa bidhaa.Naomba ushaur wako n wap nitapata ujuzi huo(theory and practice) ukizingatia mm nipo huku mkoan na huko Dar nitakuja hv karibun.
 
Karibu aliexpress wako poa sana na haijalishi uko wapi. Download app halafu register pamoja na sanduku lako la Posta. Sanduku la Posta ndilo watakua wanakutumia bidhaa zako, mi niko mbeya na mizigo yangu inafika vizuri tu.

Unaweza nunua mobile phones, accessories, nguo, jewelry, urembo, spare parts za magari nk. Unalipia kwa kutumia eidha visa au Mastercard.

Karibu
 
Nimekaribia mkuu
 
Online shopping si mbaya tatizo ni usalama wa pesa zako unakua hatarini sana ndio maana benki nyingi hii kitu hawana wanaipotezea kabisa kwenye products zao
 
Huwa na nunua vitu mara kibao aliexpress kupitia account yangu ya sh ya equity bank sijakutana na hiyo ishu. Hata T/T charges zao ni 40 dollars ambayo ni cheap kuliko nbc pamoja6na Crdb 80 dollars.

mkuu, kwa account equity naweza kufanya manunuzi online mfano ebay kulipia kwa paypal? nipe muongozo
 
bank charges ni kubwa sana crdb yaani hapa ofsini kuna account ya dolar kwa mwezi hyo benk charge ni mshahara wa mtu kabisa
Huo ndio ukweli CRDB dollar acc hainufaishi mwenye account yaani service fee kwaa mwezi ni kubwa kuliko riba utayopata mwisho wa mwaka, mfano kama una vidola vichache kwa kwezi wanakukata dolar 3 wakati kwa mwaka wanakupa nyongeza ya dollar 2.5
 
Kama ni hivyo wapo vzr zaidi ya barclays,wao wanakata kwenye $14
 
Karibu aliexpress wako poa sana na haijalishi uko wapi. Download app halafu register pamoja na sanduku lako la Posta. Sanduku la Posta ndilo watakua wanakutumia bidhaa zako, mi niko mbeya na mizigo yangu inafika vizuri tu.

Unaweza nunua mobile phones, accessories, nguo, jewelry, urembo, spare parts za magari nk. Unalipia kwa kutumia eidha visa au Mastercard.

Karibu

Mkuu naomba uzoefu wa kodi mana huwa wanakomoa hao watu kwa kukadiria tu mzigo ukifika
 
Parcels ndogo ndogo zinazo kuja kwa posta hazina ushuru unless ni mzigo wa thamani zaidi ya dola 200. Products nyingine pia aliexpress wanafanya free shipping.
 
kuna uzi unaelezea namna yakushop online.Andika online purchase utaziona zisome.Gata ukiwa huko huko utapata uluchokinunua online.
 
Chakufanya nikuwa na ac.pekee kwa ajili ya online purchase.either barclays or crdb.Mfano mimi nina akaunti binafsi ta hundi crdb na ninayo ya savings kwa ajili ya electronic&online purchases.
 
Parcels ndogo ndogo zinazo kuja kwa posta hazina ushuru unless ni mzigo wa thamani zaidi ya dola 200. Products nyingine pia aliexpress wanafanya free shipping.
Kwani mkuu,ili kutumiwa mzigo kwa njia ya posts(EMS) kama courier mwisho wa uzito n ngap?
 
Back
Top Bottom