All bank accounts with no monthly charges in Tanzania (Akaunti zote zisizo na makato ya mwezi Tanzania)

kufanakupona

JF-Expert Member
Jun 18, 2015
522
417
Chanzo cha data hizi ni kwenye official website ya benki husika, benki nyingine hazijawekwa sababu hazijaweka taarifa za akaunti kwenye website zao.
Kama unataka kufungua akaunti mpya kwa kutumia reference ya huu uzi, ukishaipoint akaunti ya benki unayoitaka, nenda kwenye webiste ya benki husika, halafu jiridhishe kwa kuangalia maelezo zaidi ya hiyo akaunti.

Zifuatazo ni benki ambazo hawajaweka taarifa za akaunti kwenye website zao:

Kenya Commercial Bank (KCB), Bank Of Africa (BOA), United Bank Of Africa (UBA), Commercial Bank Of Africa (CBA), First National Bank (FNB), Akiba Commercial Bank (ACB), Ecobank, Citibank, Mkombozi Commercial Bank (MKCB), Exim, Stanbic, FBME (No longer available in TZ), Guaranty Trust Bank (GTBank), Habib African Bank, I&M Bank, International Commercial Bank (ICB), National Industrial and Commercial Bank (NIC), People's Bank of Zanzibar (PBZ)
, United Bank Limited (UBL), TIB Development Bank, First Housing Finance, Letshego, Amana, Azania, Bank M, Bank of Baroda, Bank Of India.

Zifuatazo ni akaunti ambazo hazina makato kwa mwezi:

CRDB
-Junior Jumbo (Children)
-Dhahabu (Current/Fixed/Saving) (No ATM card)
-Niamoja (Groups)

NMB
-Wisdom (Retired)
-Chipukizi (Children)
-Chap Chap (Current/Fixed/Saving)

NBC
-Kikundi (Group)
-Malengo Savings (Current/Fixed/Saving)
-Pure Save (Current/Fixed/Saving)
-Chanua Savings (Children)

DTB
-Value (Current/Fixed/Saving) (No cheque)
-Super Salary (Group)
-Super Value (Current/Fixed/Saving)
-Premium Savings (Current/Fixed/Saving)
-Kisomi (Students) -Amani (Women)
-Faraja (Elders)

Barclays
-Student (Students)
-Bonus Savings (Current/Fixed/Saving)
-Junior Eagle (Children)

BancABC
-Mwangaza Junior (Children)
-Jiongeze Current (Current/Fixed/Saving)
-Fahari Savings (Family)

Equity
-Current (Current/Fixed/Saving)
-Equity Pensioner's (Elders)
-Jijenge (Current/Fixed/Saving)

Standard Chartered
-Hifadhi (Current/Fixed/Saving)
-Tajirika Savings (Current/Fixed/Saving) (No ATM card)
-Tajirika Junior Savings (Children) (No ATM card)

AccessBank
-Elimu (Students)
-Mikakati (Current/Fixed/Saving)

Dar Es Salaam Commercial Bank (DCB)
-Student Saving (Students)
-Young Saver (Children)

Mwalimu Commercial Bank (MCB)
-Mtoto (Children)

Tanzania Postal Bank (TPB)
-Minor (Children)

FINCA Microfinance Bank
-Hakika (Current/Fixed/Saving)
-Mipango (Current/Fixed/Saving)
 
Kwa lugha nyingine hizo Acc ni fixed Acc ambazo badala ya wewe kuzifaidi wanazifaidi Benki..ni wizi mkubwa sana huo.
-Katika list hapo juu, kuna akaunti nimezilebo kwa (Current/Fixed/Saving), maana yake akaunti inayotajwa inaweza kuwa current au fixed au saving, inatakiwa uende kwenye official web uangalie, je, hii akaunti ni current?, au fixed?, au saving?

-Ukipitia vizuri akaunti mojamoja kwenye official web yake, utagundua kuna akaunti nyingine nzuri, zina faida kwa unaefungua, hazina monthly fee, hazina minimum balance for maintaining account, hazina cheque fee,hazina sim-banking fee, hazina internet banking fee, hazina bank statement fee.

-Siyo akaunti zote zinambana mteja, akaunti nyingine zina unafuu kwa mteja, unapotaka kufungua akaunti, angalia details za akaunti unayoitaka. Wengi wanalia kwasababu hawakutaka kuuliza akaunti wanayofungua.
 
Maelezo yako mazuri sana. Je inawezekana kuhama akaunti ya monthly fee kwenda isiyo na malipo hayo?
Ndiyo, inawezekana kubadili akaunti moja kwenda nyingine, kuna njia nyingi za kubadili akaunti moja kwenda nyingine, nitataja ambazo nina uhakika nazo:
1: Toa pesa zote kwenye akaunti usiyoitaka, ifunge hiyo akaunti, fungua nyingine.
2: Ongea na benki, waambie nabadilisha akaunti.
Wajuzi wataongezea njia nyingine.
 
Accoint ambazo zinakuwa hazina makato ya mwezi kwa benki yeyote ile ni either Instant account or Saving accout..... Kwa NMB hapo ongezea MTOTO ACCOUNT, CHIPUKIZI ACCOUNT, PAMOJA ACCOUNT, BUSINESS SAVING ACCOUNT na BONUS ACCOUNT....
 
Accoint ambazo zinakuwa hazina makato ya mwezi kwa benki yeyote ile ni either Instant account or Saving accout..... Kwa NMB hapo ongezea MTOTO ACCOUNT, CHIPUKIZI ACCOUNT, PAMOJA ACCOUNT, BUSINESS SAVING ACCOUNT na BONUS ACCOUNT....
-Chipukizi account ipo, angalia vizuri.
-Mtoto account ni sawasawa na Chipukizi account, sifa zake zote ni sawa na za Chipukizi account.
-Pamoja account ni sawasawa na Niamoja account, haipo kwenye tovuti rasmi ya NMB.
-Business saving account haipo kwenye vyanzo rasmi vya NMB.
-Bonus account ipo, nitaiweka.
 
Back
Top Bottom