Akaunti ya dollar kati ya CRDB na Barclays

Akaunti ya dollar kati ya CRDB na Barclays

Sijui kiwango cha mwisho cha uzito kwa njia ya Posta mkuu. Sababu ya kuagiza parcels ndogo ni unafuu wa kodi kwangu halafu mimi pia ni unafuu wa kodi kutoka tra.
 
Sijui kiwango cha mwisho cha uzito kwa njia ya Posta mkuu. Sababu ya kuagiza parcels ndogo ni unafuu wa kodi kwangu halafu mimi pia ni unafuu wa kodi kutoka tra.
Parcels zikiwa kubwa pia mara nyingi suppliers wana opt kutumia DHL,FedEx
 
Equity bank kwenye account ya dollar hawana bank charges ila ukiwa unadraw pesa kuna %age fulani wanakata ikiwa above dola 1000
 
Nimefunga account zangu za CRDB na NBC.
Nimefungua FNB. Nimeridhika. Nafikiria kufungua NMB pia.
 
Nimefunga account zangu za CRDB na NBC.
Nimefungua FNB. Nimeridhika. Nafikiria kufungua NMB pia.
Fungua na nmb hawana tatizo.tena personal savings ac.na cheque book unapewa ukiomba
 
Parcels ndogo ndogo zinazo kuja kwa posta hazina ushuru unless ni mzigo wa thamani zaidi ya dola 200. Products nyingine pia aliexpress wanafanya free shipping.

mkuu, kwa account equity naweza kufanya manunuzi online mfano ebay kulipia kwa paypal? nipe muongozo
 
mkuu, kwa account equity naweza kufanya manunuzi online mfano ebay kulipia kwa paypal? nipe muongozo
Sijawahi nunua eBay mkuu, nime base zaidi aliexpress na Alibaba.com. Products unazotaka eBay unaweza zipata huku pia.
 
Sijawahi nunua eBay mkuu, nime base zaidi aliexpress na Alibaba.com. Products unazotaka eBay unaweza zipata huku pia.

ila kwa account ya equity naweza nunua aliexpress?
 
Akaunti ya dola ni majanga shika hela zako nunua dola fanya biashara haiwezekani ukawa na akaunti service charge kwa mwezi unajaza gari mafuta ya kwenda moro na kurudi
 
Wakuu mimi ni mfantabiashara ninaagiza vifaa vya ujenzi nakuuza.Lakini pia ninategemea kuvuna ngano na kuexport.
-Ninapata dollar kadhaa.Nahitaji mnifahamishe benki bora kwa akaunti ya us dollar.Kwa sasa nina akaunti ya dollar barclays.Nataka kujua na crdb bank kwa wazoefu wazoefu.Naogopa kuhusu Telegraphic Transfers manake benki zingine kufanya telegraphic transfers mpaka mshikane nashati.
Kafungue NMB wana akaunti ya dola isiyo na makato yoyote ya hovyo hovyo na unaweza ukapewa kadi ya Master inayokuwezesha kufanya online transaction mwenyewee ukiwa nyumbani tuu na simu yako au any network user...
 
nimeipenda mkuu.ntafika branch.vp telegraphic transfers kwa nmb.wako fasta?
 
nimeipenda mkuu.ntafika branch.vp telegraphic transfers kwa nmb.wako fasta?
Wako fresh ndani ya 24 hrs kitu ndani ya nyumba ila beneficiary bank wawe poa maana kuna baenki zingine magumashi ndio zinachelewesha...maana hii huduma inahusisha BOT kujua benefiaciary bank iko poa kama iko poa kitu fasta kwa TACH System(Tanzania Automated Clearing House Sustem)...
 
Kwa iyo kwa bank ya crdb bank account na nmb bank account katika gharama za mwezi wanakata kiasi gani? Na gharama za kutoa dollars ni ngapi?
 
Back
Top Bottom