Kati ya CRDB na NMB, Ni benki ipi yenye makato makubwa kama ada ya uendeshaji wa akaunti kwa mwezi?

Ulisikia Wapi

JF-Expert Member
Sep 6, 2019
1,797
2,000
Wakuu, nisiwachoshe sana.
Kichwa cha uzi kama kinavyosomeka vyema kabisa hapo juu.

Ningependa kujua kati ya hizi Benki mbili yaani CRDB pamoja na NMB ni wapi wenye gharama kubwa katika makato kama ada ya uendeshaji wa akaunti kwa mwezi.

Ahsanteni na uzi tayari
 

Africa Tanzania

JF-Expert Member
Jun 13, 2015
1,433
2,000
Natumia bank zote hizo.... Nmb naona wako chini kidogo kigharama, crdb ya kimei ndio ilikuwa nzuri ila hii ya sasa ya hovyo! Simbanking yao na Atm zao zinaringa kama mtoto wa kike.... Mara zitoe mara zisuse! Dah anyway ngoja waje
 

o_2

Senior Member
Jul 20, 2017
196
250
BANK CHAGES ZAO ZIKO JUU SANA. SIJUI KWANINI BOT HAWAINGILII KATI ; KWANI HIZI CHARGES HAZINA JUSTIFICATION!!!
Juzi nikasema ngoja ni chungulie bank statement yangu...Kuna makato wamekata tarehe 11/4 Sasa nakajiuliza hii tarehe kumi na moja imekuwaje...

Umeme ukatwe, crdb na kwenye we ukatwe...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom