Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,318
- 33,125
Soma Zaidi »
kweli mwisho wa dunia umekaribia
Hii habari ni ya zamani Feb 2014 (BOFYA)
Mkazi wa Kijiji cha Kihinga, Kata ya Bugarama wilayani Ngara mkoani Kagera(jina tunalo), anashikiliwa katika kituo kidogo cha polisi cha kata hiyo baada ya kutuhumiwa kuuza kilo moja ya nyama ya binadamu kwa Sh100,000.
Soma Zaidi »
nani wateja wake?
Hadi maajabu yenye yanashangaa
umeona eeeh tunakoelekea siko kabisa
Sio Mwanga kiongozi....ni Ngara.huyo atakuwa mwanga...
Binadamu tumekua watenda maovu hadi shetani mwenyewe anasubiri....
Mbona hizi picha hazioneshi kama hii ni nyama ya mtu?