Akamatwa kwa kudaiwa kuuza nyama ya binadamu

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,268
33,040





Nyama.jpg
Mkazi wa Kijiji cha Kihinga, Kata ya Bugarama wilayani Ngara mkoani Kagera(jina tunalo), anashikiliwa katika kituo kidogo cha polisi cha kata hiyo baada ya kutuhumiwa kuuza kilo moja ya nyama ya binadamu kwa Sh100,000.



Soma Zaidi »
 
Toba yailahi ina maana pesa ni bora zaidi koliko binadamu na hiyo bei naona watatumaliza hawa mashetani wala watu tena wana moyo wa yule munkar nakii lakini huyu anapewa amri na mungu au ndo mwisho wa hii dunia
 
Namshukuru Allah ktk mambo ya kula kula kweli ni mroho ila huwa na simile, hata kama ni nyama nanunua ktk butcher lenye uhakika, nakama niko safarini ndio sili hovyo hovyo nakuwa na biscuits na maji yangu ya kunywa hata safari iwe ya siku tatu sili hovyo kabisa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom