Akamatwa kwa kudaiwa kuuza nyama ya binadamu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,515
2,000

Mkazi wa Kijiji cha Kihinga, Kata ya Bugarama wilayani Ngara mkoani Kagera(jina tunalo), anashikiliwa katika kituo kidogo cha polisi cha kata hiyo baada ya kutuhumiwa kuuza kilo moja ya nyama ya binadamu kwa Sh100,000.Soma Zaidi »
 

makubazi

JF-Expert Member
Feb 15, 2013
2,048
1,195
Toba yailahi ina maana pesa ni bora zaidi koliko binadamu na hiyo bei naona watatumaliza hawa mashetani wala watu tena wana moyo wa yule munkar nakii lakini huyu anapewa amri na mungu au ndo mwisho wa hii dunia
 

naiman64

JF-Expert Member
Nov 22, 2013
5,757
2,000
Namshukuru Allah ktk mambo ya kula kula kweli ni mroho ila huwa na simile, hata kama ni nyama nanunua ktk butcher lenye uhakika, nakama niko safarini ndio sili hovyo hovyo nakuwa na biscuits na maji yangu ya kunywa hata safari iwe ya siku tatu sili hovyo kabisa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom