Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,757
- Thread starter
-
- #301
Daahh!! Sijui nisemeje.. Hii ndio type ya expertise tunayotaka, madini!!Mosi, hakuna suala la kutoka nje ya mada! Pili, bora umesema wazi kwamba "nyinyi mnaaamini kwamba video inatokana na maudhui....!" Sasa unless kama unataka na mimi niseme kama "mnavyoamini nyinyi!"
Sasa nirudi kwenye mada.
Jukwaa hili hili December 27, 2014 kuhusu video ya Mwana ya Ali Kiba nilisema:
December 27, 2014 hadi leo zaidi ya mwaka mmoja umepita na kuhusu video ya Diamond nimesema:Msisitizo kwenye RED & BLUE!!! Kwahiyo hapo utaona nilichosema dhidi ya video ya Diamond leo ndicho hicho hicho nilikisema dhidi ya Kiba zaidi ya mwaka mmoja uliopita kwahiyo hapo hakuna suala la u-Team!
Sasa tatizo lako wewe na wengine, unataka mtu akiimba "nikinywa maji nakuona kwenye glass" ndo basi tena unataka ionekane glass yenye picha ya mtu ndani yake. Sasa hiyo itakuwa ni kuzigeuza lyrics kuwa movie/video script!!! Naweka kumbukumbu sawa; hakuna dhambi kutengeneza story line lakini vile vile hakuna dhambi kutokuwa na story line basing on lyrics. Video script writer anaweza tu kuusikiliza wimbo mwanzo mpaka mwisho mara nyingi awezavyo kisha ana-develop theme! Story line atakayotengeneza itatokana na hii theme ambayo amei-develop na sio kugeuza mashairi kuwa ndio story line yeneyewe! Sasa ukiangalia Make Me Sing mwandishi alichoangalia ni kwamba wimbo unamzungumzia "my everything" wa mtu! Aka-develop maudhui ya namna gani mwanaume anakuwa tayari kwa lolote kwa "my everything" wake. Hapo akatumia robbery kuwasilisha message ya vile mtu alivyo tayari kwa lolote! Hata hivyo, kv ni sanaa mwandishi aka-conclude nini mwisho wa yote hayo! Umefanya tukio wajomba wakakuotea "my everything" wako mwenyewe ukamwacha!!!
Lakini kwa upande mwingine suala la story line works better kutegemeana na mashairi wa wimbo wenyewe! Kama umeisikiliza Utanipenda, just kwa mashairi yake tu unaweza kumsimulia mtu na akakuelewa! Yaani mashairi peke yake yanasimama kama hadithi na unaweza kutengenezea hata movie (sio video). Mfano mwingine ni Starehe. So, kwa mashairi kama hayo ndipo idea ya story line inayoendana na mashairi ya wimbo ina-work better!!
Punguza mahaba m@m@,aka ni rapa namba moja Afrika kusini na si Afrika,na kama kuna wimbo mbaya ni huuDakika na Sekunde yoyote kuanzia sasa Kijana Mtanzania ambaye hajawahi kutuangusha kimuziki atadondosha Video yake mpya aliyomshirikisha Msanii kutoka South Africa, AKA ambaye ndiye rapper bora kwa sasa barani Afrika.!
Wimbo unaitwa Make Me Sing..
============================
Mzigo huu hapa.!!
Shikamooooo Chibuuu...
=============================
Review..
Kama Diamond platnumz mwenyewe alivyosema jana kabla ya video hii kutoka kuwa sasa ni zamu ya kuiteka South Africa na America kwa video hii naamini tumeanza kutimiza lengo mapema sana katika kuiteka SA.! Ikumbukwe kwamba mwaka 2014, 2015 ilikuwa dedicated katika kuiteka West Africa na lengo hili lilitimia kwa 100%!!
So, nadhani kazi ya kupenentrate market ya SA imeanza kwa kishindo na Inshallah naamini kabla nusu hii ya kwanza ya mwaka haijaisha tutakuwa tumefanikiwa katika hilo na naamini kati ya May or June tutegemee bonge la video lingine la Chibu na moja ya mastaa wa kubwa wa marekani ila kwa sasa tuendelee kuenjoy Make Me Sing...
Go go go Chibu.!!!
We toka lin kopo la choon likakaa kabatini?Punguza mahaba m@m@,aka ni rapa namba moja Afrika kusini na si Afrika,na kama kuna wimbo mbaya ni huu
Kinyesi & KimbaMashabiki wa ALI KIMBA mshalishwa MAPELA mmeanza kujambajamba. bila breki[emoji3] [emoji3]
Jifunzeni kutofautisha Mbuzi & beberu...nyani & sokwe zen Simba & paka !!!!!!!
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hii hoja yako niliisahau! Video ya Got Money naifahamu kwahiyo hata nisipoiangalia tena bado naweza kuielezea. Nafahamu, unachotaka kusema ni kwamba wameiga hii video simply because video zote mbili zina-involve urushaji wa pesa!!nenda kaangalie video ya lil' Wayne ft T Pain-Got Money uje na maelezo ya kutosha,
mean while LUPELA mtu kakopy kwa Hussein Machozi....Video yenyewe wamecopy kutoka kwenye video ya get money lil Wayne ft t pain
Marekani vijijini labda[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]umemsahau na bradha Ali K...
lupela si imefanyika HOLLYWOOD..!!!
au umesahau mkuu..?
Mkuunaona umelike hii video YouTube, good. Mie ombi langu fanya ku subscribe basi kwa kijana wetu.
Less than 48hrs, zaidi ya 300K views.!!!
Tarararaaaaaaa tararaaaaaa!!
......... Sangoma wa nini nshanasa..!!
Mkuunaona umelike hii video YouTube, good. Mie ombi langu fanya ku subscribe basi kwa kijana wetu.
Ahsante mkuu. Tuna kila sababu ya kumuunga mkono kijana wetu. Si umeona mapokezi ya Turkana, Kenya leo.
It's done Mkuu..
Katika kitu chochote tunavutiwa na ule utofauti.... nyimbo za magari wameonyesha wengi sana tunataka new taste.... mnapokuwa na timu jaribu pia kuangalia kitu kilicho bora... dimond napenda kazi zake but video ya kiba ilikuw na utofauti ulionivutia sana
hivi karne hii ya 21 unatafuta kitu cha kipekee duh...labda utolee chooni unaku**a
Kiba kacopy wapiVideo yenyewe wamecopy kutoka kwenye video ya get money lil Wayne ft t pain