Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,144
- 166,077
Mmmmhh huyu babu naye ni njaa tu jamani, ila hapo mwisho sijaelewa, unasema anaibashiria CCM kushindwa au kushinda?
Mpwa Elli ujana wa Profesa wa matunguli Maji Marefu na Nchemba uzeeni ndo wanakuja kuwa wachawi kama huyu babu..
hili lichama linaamini sana mambo ya ushirikina na endapo wataidandia hii theory ya huyu mzee majibu yako wazi, akimfufua wanashinda akishindwa kumfufua vis-vesaMmmmhh huyu babu naye ni njaa tu jamani, ila hapo mwisho sijaelewa, unasema anaibashiria CCM kushindwa au kushinda?
nimechekaje? kweli kabisa kabisa