Ajitokeza kumfufua NYERERE

Ajitokeza kumfufua NYERERE

944738_554285484630700_523909365_n.jpg

maajabu ya mbeya hebu soma hii kwa makini kabisa.

Huyu mzee alifika katika studio za kyela fm,

anasema yeye anahitaji msaada anataka kwenda kumfufua mwl. Julius kambarage nyerere baba wa taifa aliyefariki miaka 15 iliyopita,

na huo ufunguo ameushika mkononi ndiyo wa kumfufulia!

Madai yake mzee huyu anasema anaenda kumfufua na mwalim ndiye atakuja kusimamia uchaguzi wa mwaka 2015.

Na pia anaibashiria ccm kuwa mshindi atatoka katika chama cha ccm.

wamruhusu tu itakuwa habari nzuri sana maana inauma sana kuona nchi inauzwa kwa pipi
 
944738_554285484630700_523909365_n.jpg

maajabu ya mbeya hebu soma hii kwa makini kabisa.

Huyu mzee alifika katika studio za kyela fm,

anasema yeye anahitaji msaada anataka kwenda kumfufua mwl. Julius kambarage nyerere baba wa taifa aliyefariki miaka 15 iliyopita,

na huo ufunguo ameushika mkononi ndiyo wa kumfufulia!

Madai yake mzee huyu anasema anaenda kumfufua na mwalim ndiye atakuja kusimamia uchaguzi wa mwaka 2015.

Na pia anaibashiria ccm kuwa mshindi atatoka katika chama cha ccm.

kwa hiyo akishindwa kumfufua na ccm ndo kwa heri?au hakuna uhusiano hapo!
 
944738_554285484630700_523909365_n.jpg

MAAJABU YA MBEYA HEBU SOMA HII KWA MAKINI KABISA.

Huyu mzee alifika katika studio za Kyela FM,

anasema yeye anahitaji Msaada anataka kwenda kumfufua Mwl. Julius Kambarage Nyerere baba wa Taifa aliyefariki Miaka 15 iliyopita,

Na huo ufunguo ameushika mkononi ndiyo wa kumfufulia!

Madai yake mzee huyu anasema anaenda kumfufua na Mwalim ndiye atakuja kusimamia uchaguzi wa mwaka 2015.

Na pia anaibashiria CCM kuwa mshindi atatoka katika chama cha CCM.

kavurugwa!
 
Mimi nashauri kama huyu babu aliwahi kuwa mtumishi wa umma, serikali ilimpe mafao yake alee wajukuu kwa amani kuliko kuja na hadithi hizi.
 
Back
Top Bottom